Wiki hi inayoishia nikiwa naelekea Changanyikeni nilibahatika kutembelea yanayoitwa Maonyesho ya Ubunifu pale Mlimani.
Aisee, kwa kweli inabidi vyuo hivi kujipanga upya. Maana dunia inaenda Mbele wao wapo Zama za mawe.
Sanamu la mabati mbona Fundi tu kitaa anatengeneza?
Utaalamu wenu mpaka...
Nimeangalia sana hii kitu. Yaani tunatumia gharama kununua vitanda bure.
Hii kitu unaweza tumia tu tofali, zege na ukachanganya tiles ikatoka safi zaidi ya hapo
Mwenyekiti wa Nccr mageuzi amempongeza Rais Samia kwa kubuni salamu mpya ya taifa ya " Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania "
Mbatia amesema salamu za kidini za asalam aleykum Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo na Mwanakondoo ameshinda tumfuate zilikuwa zinaligawa taifa...
Kila mwanadamu ni sehemu moja ya muundo mkubwa, wa milele - gia za kibinafsi katika saa ambayo haina mwisho. Ingawa hauwezi kuelewa kabisa kusudi lako, sehemu yako ni muhimu kama wafalme na malkia wakuu wa sayari hii.
Wengine huhisi kana kwamba ukosefu wa utajiri au ushawishi wa muda mfupi...
Hawa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) sijui wamekumbwa na nini, mara nyingi sare zao siyo 'unique' kabisa. Je, hawana watu wabunifu wa kuja na sare zenye 'akili'?
Maendeleo yoyote husukumwa na ubunifu! (Creativity)
Ili mwanasayansi agundue lazima asukumwe kufanya ubunifu!
Ili mfanya biashara atambulishe fursa lazime atangulize ubunifu!
Ubunifu ni Imani ya kutarajia suruhisho!
Endapo watu wakiongozwa kwa vitisho na sheria mbovu Imani hiyo ya ubunifu...
Fuatilia mbashara hapa
RAIS Samia Suluhu Hassan leo ataongoza waombolezaji kumzika Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli.
Jeneza lililobeba mwili wa Hayati Dkt. Magufuli likiwa Kanisani kwa ajili ya Misa ya Mazishi
Kaburi la Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Mama Janeth...
Waimbaji wa muziki wa dini na kijamii wanasumbua sana WhatsApp inbox.
Kila kukicha unakuta naomba subscribe kwenye channel yangu, au uangalie hii video yangu KUUNGA Mkono huduma yangu.
Nadhani hii ni poor Digital marketing plan. Wekezeni kwenye content sisi tutazitafuta tu.
Nguvu kubwa...
Hafla ya kutoa tuzo ya mpango wa utalii wa MKSE imefanyika hivi karibuni mjini Nairobi, Kenya. Kwenye halfa hiyo, waziri wa utalii wa Kenya Bw. Najib Balala amesema mpango huo ni sehemu muhimu ya kukuza sekta ya utalii, moja ya nguzo za uchumi wa nchi hiyo, na unalenga kuyapongeza mashirika...
Wanasimba na Watanzania kiujumla ni kama tumepitishwa kwenye mlolongo wa matukio kadhaa kutoka klabu yetu andamizi kwa muda mfupi.
Kwa lugha iliyokuja na meli matukio haya tungeita 'Surprises. Mara Simba Super Cup na sasa Visit Tanzania. Ukiangalia bila kuweka ushabiki yote ni Ubunifu...
Mtanzania mwenzetu abuni umeme utokanao au kwa kutumia sumaku?
sijaelewa kama njia hiyo kwani haikuwepo? na je hakuna kabisa chanzo kingine cha energy kama mafuta, upepo , au hata solar ya kuizungusha hiyo sumaku ili itoe umeme? yaani ni sumaku tu ndio chanzo pekee?
Naibu waziri ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe David Lusinde (Mb) amesema kitendo cha ubunifu wa ujenzi wa shule tatu za mchepuo wa kingereza ambazo zitakuwa zinamilikiwa na Serikali kupitia Halmashauri ya Arusha Dc zitasaidia kuchochea kasi ya Ujenzi wa madarasa kutokana na mapato ya shule hizo kila...
Mh. Magufuli ameanza mizunguko yake kote nchini, na kama kawaida viongozi wengine wamekuwa wakipata shida kwa maswala anuwai, lakini zaidi ni uzembe.
Na kama kawaida, watu wamekuwa wakilalamika kwamba Rais ni mkali sana jambo ambalo nimeshangazwa nalo.
Kwa maoni yangu, rais anapaswa kuwa mkali...
Waja JF,
Kwenye majukwaa ya kampeni za uchaguzi, Godless Lema na Halima Mdee wamekuwa wakitumia clips zenye maneno ya wapinzani wao kuonyesha jinsi walivyo vigeugeu katika maisha yao, wenye kutoa ahadi za uongo, nk. Leo wanasema hili na kesho wanasema lile na kwa hiyo wasiaminiwe na wananchi...
Habari za leo ndugu na marafiki, natumai mu wazima wa afya njema. Bado naendelea na uchoraji na ubunifu wa ramani za nyumba bomba.
Hii ni moja ya ramani ambayo naendelea nayo na hapa ndipo nilipofikia kwasasa. Ila bado haijamalizika bado naendelea kuipamba zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.