Money talk bandugu . ukiwa nazo huhitaji kubanana na watoto sebuleni.. Wala weekend huhitaji kuikimbia nyumba yako.. Pembeni ya garden yako unaweza kuweka kitu kama hiki❤❤❤
Hizi ni dizaini za majiko ya nje kwa ambao wameshajipata au kwa ambao viwanja vyao ni vikubwa na wanapenda vitu vizuri
Bar wanajenga heshima kama kawa lakini home nako hawakusahau
Heshima juu ya heshima
Ukisikia finishing ni kaburi la pesa basi hapa ni eneo mojawapo
Hizo tiles na paving blocks zinauzwa kwa square meter
Kisha kuna gharama ya usafiri
Halafu kusawazisha na kusindilia vizuri eneo
Kuna gharama za zenge, rough cement au mchanga
Kuna ufundi
Kuna usafi wa kila siku.. Ama kweli kizuri...
Wanasema sanaa ni kila kitu hasa ukiwa msanii wa sanaa.. .. Sio usanii wa wizi na udanganyifu lakini
Leo tunaangazia kwenye sanaa ya majani ya miti.. Unaweza kuona ni kwa kiasi gani tukiwekeza kwenye ubunifu na sanaa tutatatua tatizo la ajira kwa kiwango gani... Wahitimu wengi watapata ajira na...
Zamani unakuta unakalili wimbo wa westlife ili uuchomeke ndani ya mistali ambayo utakayokuwa unampiga mtoto mzuriz na kusema kwwli mtoto alikuwa ana appreciate kikamilifu haswaa.
Ila sasa hivi katoto ka miaka 20, kanakuanaglia juu hadi chini kama unafanania mtu wa kumpeleka beach wiki mara 3😂😂
Viongozi wa Taasisi za Elimu wakiwemo Wakuu wa Shule, wilayani Mbozi, wametakiwa kuwa wabunifu wa miradi ya kimaendeleo, katika maeneo yao ya shule, hali ambayo itawasiaidia wanafunzi kujifunza stadi za maisha pamoja na kuwapatia kipato ambacho kitasaidia kuendesha shughuli za shule ikiwemo...
Ujio wa wachina na viwanda vyao umeturahisishia maisha kwenye sekta nyingi na mambo mengi.. Vitu tulivyokuwa tunatumia gharama kubwa kuvimilki siku hizi sio ishu tena
Kwa malighafi zilizopo na ubunifu unaoongezeka kila uchao tunafaidika na mengi kila uchao..
Hapa Leo ni ubunifu wa vitanda vya...
Karibu kwenye mada hii maalum kwa wapenzi wa teknolojia na ubunifu! 🌟 Katika zama hizi za akili bandia (AI), tunaweza kutengeneza picha za kuvutia kwa kutumia teknolojia ya AI.
Katika mjadala huu, tunakaribisha:
✅ Kushiriki picha/video zilizotengenezwa na AI.
✅ Kujadili uwezo wa AI katika...
Ni ubunifu nzuri rahisi na wa aina yake wenye faida nzuri sana.. Ya an I bunda moja la vibiriti 12 la shilingi 500 linaweza kukupa faida mpaka ya laki kutokana na ubunifu utaofanya
Tatizo la huu ubunifu ni moja tuu.. MOTO.. Weka mbali kabisa na moto kwakuwa kosa moja la mwali wa moto linaweza...
Jamani fursa zipo kwenye kila kitu mpaka vile ambavyo huwezi kiuvidhania.. Leo ni zamu ya vifuu vya nazi kwenye mapambo ya maua.. Vifuu vina mpaka mapambo ya mwilini lakini leo tunaanza na maua kisha vingine vitafuata
Hivi vinafaa zaidi kwa watoto, sehemu za jumuiya ama kwa wapenda ng'areng'are.. Usukumani hivi utauza sana (joke)😂
Kama si mpenzi wa rangirangi hivi havikufai kabisa.. Vipite kama huvioni😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.