Hafla ya kutoa tuzo ya mpango wa utalii wa MKSE imefanyika hivi karibuni mjini Nairobi, Kenya. Kwenye halfa hiyo, waziri wa utalii wa Kenya Bw. Najib Balala amesema mpango huo ni sehemu muhimu ya kukuza sekta ya utalii, moja ya nguzo za uchumi wa nchi hiyo, na unalenga kuyapongeza mashirika...