ubunifu

  1. Ubunifu: mapambo mbalimbali

  2. Ubunifu mchanganyiko: unaweza kuona jinsi tulivyoachwa mbali na wenzetu

    Hapa ni plastic free society.. Wanajaribu kupunguza matumizi ya vifungashio vya plastic vyenye madhara
  3. Ubunifu: Mixer ya matunda kwa ajili ya kupunguza uzito na kitambi

    Yanasaidia pia kuboresha ngozi, hamu ya kula, nguvu za mwili.. Mmeng'enyo wa chakula nknk
  4. Ubunifu: Vijumba vya kupunga upepo na sehemu ya wageni

    Money talk bandugu . ukiwa nazo huhitaji kubanana na watoto sebuleni.. Wala weekend huhitaji kuikimbia nyumba yako.. Pembeni ya garden yako unaweza kuweka kitu kama hiki❤❤❤
  5. Ubunifu jiko la nje la kisasa

    Hizi ni dizaini za majiko ya nje kwa ambao wameshajipata au kwa ambao viwanja vyao ni vikubwa na wanapenda vitu vizuri Bar wanajenga heshima kama kawa lakini home nako hawakusahau Heshima juu ya heshima
  6. Ubunifu: vyombo vya mbao kwa kutumia miundo ya wanyama

  7. Ubunifu wa parking na sideways kwa kutumia tiles na pavements blocks

    Ukisikia finishing ni kaburi la pesa basi hapa ni eneo mojawapo Hizo tiles na paving blocks zinauzwa kwa square meter Kisha kuna gharama ya usafiri Halafu kusawazisha na kusindilia vizuri eneo Kuna gharama za zenge, rough cement au mchanga Kuna ufundi Kuna usafi wa kila siku.. Ama kweli kizuri...
  8. Ubunifu wa kutumia majani ya miti

    Wanasema sanaa ni kila kitu hasa ukiwa msanii wa sanaa.. .. Sio usanii wa wizi na udanganyifu lakini Leo tunaangazia kwenye sanaa ya majani ya miti.. Unaweza kuona ni kwa kiasi gani tukiwekeza kwenye ubunifu na sanaa tutatatua tatizo la ajira kwa kiwango gani... Wahitimu wengi watapata ajira na...
  9. Hivi bado hamasa ya maneno ya mdomoni na ubunifu wa maandish vinaweza kukupatia mrembo kama zamani au siku hizi unakaguliwa kwanza ndio utupe sound?

    Zamani unakuta unakalili wimbo wa westlife ili uuchomeke ndani ya mistali ambayo utakayokuwa unampiga mtoto mzuriz na kusema kwwli mtoto alikuwa ana appreciate kikamilifu haswaa. Ila sasa hivi katoto ka miaka 20, kanakuanaglia juu hadi chini kama unafanania mtu wa kumpeleka beach wiki mara 3😂😂
  10. Mbozi: Taasisi za elimu zahimizwa ubunifu wa miradi ya maendeleo ili kujiendesha

    Viongozi wa Taasisi za Elimu wakiwemo Wakuu wa Shule, wilayani Mbozi, wametakiwa kuwa wabunifu wa miradi ya kimaendeleo, katika maeneo yao ya shule, hali ambayo itawasiaidia wanafunzi kujifunza stadi za maisha pamoja na kuwapatia kipato ambacho kitasaidia kuendesha shughuli za shule ikiwemo...
  11. Ubunifu; vitanda vya pallets (chaga za kubebea mizigo mizito)

    Ujio wa wachina na viwanda vyao umeturahisishia maisha kwenye sekta nyingi na mambo mengi.. Vitu tulivyokuwa tunatumia gharama kubwa kuvimilki siku hizi sio ishu tena Kwa malighafi zilizopo na ubunifu unaoongezeka kila uchao tunafaidika na mengi kila uchao.. Hapa Leo ni ubunifu wa vitanda vya...
  12. Ubunifu saa za ukutani za mbao na miti

  13. Ubunifu wa kutumia chupa tupu za plastic na madumu tupu

  14. Ubunifu wa Picha na Videos kwa AI: Shiriki na Tazama Kazi za Kisanii za Akili Bandia!

    Karibu kwenye mada hii maalum kwa wapenzi wa teknolojia na ubunifu! 🌟 Katika zama hizi za akili bandia (AI), tunaweza kutengeneza picha za kuvutia kwa kutumia teknolojia ya AI. Katika mjadala huu, tunakaribisha: ✅ Kushiriki picha/video zilizotengenezwa na AI. ✅ Kujadili uwezo wa AI katika...
  15. Ubunifu njiti za kiberiti/kibiriti

    Ni ubunifu nzuri rahisi na wa aina yake wenye faida nzuri sana.. Ya an I bunda moja la vibiriti 12 la shilingi 500 linaweza kukupa faida mpaka ya laki kutokana na ubunifu utaofanya Tatizo la huu ubunifu ni moja tuu.. MOTO.. Weka mbali kabisa na moto kwakuwa kosa moja la mwali wa moto linaweza...
  16. Ubunifu wa vifuu vya nazi

    Jamani fursa zipo kwenye kila kitu mpaka vile ambavyo huwezi kiuvidhania.. Leo ni zamu ya vifuu vya nazi kwenye mapambo ya maua.. Vifuu vina mpaka mapambo ya mwilini lakini leo tunaanza na maua kisha vingine vitafuata
  17. Ubunifu wa kutumia kamba za katani

  18. Ubunifu vyombo vya jikoni kwa kutumia malighafi mchanganyiko

    Hivi vinafaa zaidi kwa watoto, sehemu za jumuiya ama kwa wapenda ng'areng'are.. Usukumani hivi utauza sana (joke)😂 Kama si mpenzi wa rangirangi hivi havikufai kabisa.. Vipite kama huvioni😂
  19. Ubunifu wa kutumia tairi chakavu za gari

  20. Ubunifu wa meza

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…