PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni ugonjwa hatari wa mfumo wa uzazi wa mwanamke. Usipochukua hatua mapema, madhara yake yanaweza kubadilisha maisha yako kabisa:
1️. Ugumba — Mirija ya uzazi huziba, mayai kushindwa kutunga mimba.
2. Mimba kutunga nje ya mji wa mimba — Hali hatarishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.