Ukichelewa kutibu au Kupona PID haya yatakutokea

Ukichelewa kutibu au Kupona PID haya yatakutokea

Joined
Mar 7, 2025
Posts
65
Reaction score
88
1*QXoMZ31o6_rjRx0YEgdW3g.jpeg

PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni ugonjwa hatari wa mfumo wa uzazi wa mwanamke. Usipochukua hatua mapema, madhara yake yanaweza kubadilisha maisha yako kabisa:

1️. Ugumba — Mirija ya uzazi huziba, mayai kushindwa kutunga mimba.

2. Mimba kutunga nje ya mji wa mimba — Hali hatarishi inayohitaji upasuaji.
3. Maumivu sugu ya nyonga — Maambukizi huacha makovu yanayokuletea maumivu ya kudumu.
4. Tubo-ovarian abscess — Kutoka usaha tumboni; hali mbaya sana inayoweza kusababisha kansa.
5. Vifuko vya mayai kupasuka — Hatari kubwa kwa afya ya uzazi.
6. Kuthiri upevushwaji wa mayai — Kupunguza uwezo wa kupata ujauzito.
7. Mzunguko wa hedhi kubadilika — Homoni zako kupoteza usawa (hormonal imbalance).

Dalili za PID Unazopaswa kutafuta tiba haraka​

  1. Maumivu ya chini ya tumbo
  2. Kutokwa na uchafu usio wa kawaida ukeni wenye harufu mbaya/muwasho
  3. Maumivu wakati wa tendo la ndoa
  4. Maumivu wakati wa kukojoa
  5. Hedhi isiyo ya kawaida
  6. Ukavu ukeni
Ukweli ni huu

Kila siku unavyoahirisha matibabu, unampa PID nafasi ya kuharibu maisha yako ya uzazi na afya yako ya baadaye.

Usiendelee kuteseka kimya

Karibu ofisini kwetu Mwanza — Mkolani kupata tiba salama na ya uhakika.

Utapata dawa ya kukuondolea kabisa hili tatizo ndani ya siku tano tu unakuwa umepona.

Pia kama uko mbali, huduma inakufikia popote ulipo tunakutumia Dawa.
Simu / Whatsapp: +255 747 558 143
 
Back
Top Bottom