Kila anayefuga chawa ni mchafu.
Pia, chawa ni wachafu.
Kila mfuga chawa ni dhaifu.
Chawa ni dhaifu.
Ili kufuga chawa, lazima uwe mchafu na mwenye damu ya kutosha.
Unaipata wapi damu ya kuwanyonyesha chawa bila kunyonya?
Kuna kipindi mnyonywaji anaweza kuwa mnyonyaji.
Chawa na mfuga chawa, wote...