uchafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss_Irene

    Wanaume wachafu msiutumie uchafu wenu kama ndio uanaume

    Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta makalio" Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa...
  2. namraroh

    Siasa inavyochangia Uchafu ndani ya Jiji la Dar es Salaam

    Habari za leo wanabodi, Ni matumaini yangu tupo salama na tunaendeleza mapambano dhidi ya Uviko 19, ni vyema tukachanje ndugu zanguni!!! Niende moja kwa moja kwenye mada yangu, Swala la usafi katika jiji letu la dar isalaam linaendelea kuwa kitendawili kigumu kwa wakazi wa jiji hili na mamalaka...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Simujanja zimeharibu wake za watu. Wanashinda wanapakuwa picha za ngono na kujifunza uchafu kupitia wassapu

    Teknolojia imekuja na mambo mengi. Sasa hivi kila mwanamama anataka amiliki simujanja. Na akishamiliki simujanja basi anajiona ana kila kitu. Siku hizi wamebakiza kupakua picha za ngono na kutupana wassapu huku wakijifunza uchafu. Wameharibia kabisa.
  4. Huihui2

    DPP Mwakitalu ondoa uchafu huu ofisini kwako; Ukipuuza usitulaumu

    MASALIA YA MTANDAO WA BISWALO OFISI YA MASHTAKA Hawa wanadaiwa kuwa sehemu ya mtandao au genge la aliyekua DPP Bw. Biswalo Mganga. Hofu dhidi ya genge hili ni ukweli kwamba walikua 1.wafuasi (loyal); 2. wanufaika (Beneficieries) na 3. watekelezaji au wawezeshaji wa mipango au madili ya dhuluma...
  5. robinson crusoe

    #COVID19 Hizi dawa za COVID-19 ni siasa au tuna malengo gani? SUA hiki kitu gani?

    Kwa wasiwasi wangu, koo lilipokwaruza tu, nikajua COVID-19 hiyo. Nikabugia chupa langu. Hapa nilipo niko hoi kwa kuharisha usiku kucha. Ni uchafu gani tunauziwa na taasisi za serikali? Watu wa SUA bado munacheza na afya zetu kama enzi iliyopita? Ni kweli hiki ndo kiwango cha utaalamu wa chuo...
  6. Digital base

    Njia rahisi ya kung'arisha sink na tiles zako zenye uchafu sugu pasipo kupoteza muda na hela katika njia ambazo hazifanyi kazi

    Habari ya leo wapendwa,leo nimekuja na somo la usafi kwa wale wanao penda usafi. Vifaa. 1.Dawa ya kung'arisha masink na Tiles 2.Gloves 3.Mask 4.Viatu vya kufinika miguu. 5.Brash ngumu kubwa na ndogo. NAMNA YA KUSAFISHA Kabla huja fungua dawa vaa gloves,mask na viatu miguuni kisha...
  7. Abdul Ghafur

    Kuhusu Tatizo la Uchafu Dar, Madrassatul Abraar tuna wazo litakalokuwa suluhu ya kudumu

    Naomba kwanza tumsikilize Mkuu wa Mkoa. Video clips zinachelewa kupanda lakini In shaa Allah tutazipandisha, ni muda tu. Baada ya kumsikiliza mkuu wa mkoa na tatizo la uchafu na biashara kuwa kiholela mitaa ya Dar. AlhamduliLllah Madrassatul Abaraar darasa la vifaa vya ujenzi tumekuja na...
  8. Pascal Mayalla

    Pongezi kwa DPP Mpya. Kama itampendeza, aanze kwa kutumia Nolle, kusafisha Uchafu wote wa mtangulizi wake...

    Wanabodi, kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huwa nawaletea zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huandikwa kwa swali, na kukuachia wewe msomaji uhuru wa kuchangia na kutoa jibu lolote. Makala hizi zitakuwa zinatoka kwenye Gazeti la Nipashe, kila siku za Jumapili. Makala...
  9. Digital base

    Angalia ujuzi wangu na uzoefu katika usafi hasa uchafu sugu ikikupendeza tushirikiane au nipe nafasi kiwandani, ofisini au hotelini kwako

    Habari ya leo wapendwa, Mimi ni mjasiriamali najihusisha na usafi wa aina mbalimbali nimejikita zaidi katika uchafu sugu. Mfano: 1.Masink yote yaliyo kuwa na uchafu sugu Kama unjano ama kufubaa nang'arisha na kurudisha kuwa jipya kabisa. 2.Tiles za ukutani ama za chini zilizo na...
  10. Digital base

    Na ng'arisha masink,sofa na tiles zilizo na uchafu sugu pamoja na kuua wadudu kama kunguni na mende

    Habari ya leo wakuu, Mimi ni mjasiriamali nnaye jihusisha na usafi nimejikita zaidi katika uchafu sugu ulio shindikana mfano kung'arisha masink yaliyo na uchafu sugu,Tiles zilizo na uchafu sugu,sofa zilizo na uchafu sugu na vyote nang'arisha kurudi kuwa na muonekano mpya kabisa haijarishi aina...
  11. kidawisee

    Dawa gani nzuri ya kuondoa uchafu sugu kwenye sink?

    Habari za muda huu, naomba kujua njia za kusafisha sinki langu, nmetumia Aro imegoma, nimetumia sabuni zaidi ya 3, nimetumia cocacola imegoma. CHANZO: Manjano ya uso yalimwagika sehemu ya sinki, yalikaa muda kama week mbili, nilivyorudi nasafisha paweka weusi, Ndio naangaika kuutoa umegoma...
  12. A

    Si Harmonize wala Rayvanny anayewatetea hawa Wanawake bali kila mmoja anatoa uchafu kwake na kuwapakaza hawa wanawake walivyo zero nao wanacheka tu

    Hivi hawa dada zetu wana matatizo gani mbona vitu vidogo kuelewa wao huwa vinawapa tabu sana Hawajui kuwa Harmonize na Rayvanny wemewageuza uwanja wa kiki na kila mmoja anacheza kwa staili yake. Leo mama mtu hana hata habari kuwa anavyomlea mwanae ni kama anamuandaa Wema Sepetu wa baadae na...
  13. Cannabis

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu MOI wakumbushwa matumizi sahihi ya choo, waonywa kuachana na tabia ya kutumia barakoa kama 'toilet paper'

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Moi kilichopo nchini Kenya wakumbushwa matumizi sahihi ya choo, ambapo wameonywa kuachana na tabia ya kujisaidia kwenye sakafu za hosteli za chuo hicho na kutumia barakoa kama 'toilet paper'. Onyo hilo limetolewa tarehe 15/02/2021 na uongozi wa Hosteli za Chuo hicho.
  14. Miss Zomboko

    Maendeleo ya Utalii Zanzibar: Uchafu watajwa kuwa kikwazo

    Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mh Lela Mohamed Mussa amewataka wakuu wa Wilaya kuanzisha siku maalum kwa ajili ya kusafisha vivutio vya utalii. Hayo ameyasema katika uzinduzi wa kampeni ya usafi kwa maendeleo ya utalii katika kisiwa cha Kwale Mkoa Mjini Magharibi siku hiyo maalum ya siku ya...
  15. goukun wadey

    Kwanini baadhi ya madereva na makondakta wa daladala ni wachafu?

    Tanzania na hasa Dar es Salaam, kuna uchafu wa kutisha ambao hautajiki kabisa sijajua kwa nini, ni mazoea au hauonekani, sio rahisi kusikia utajwe na watu serikalini, binafsi, mashirika, wala viongozi wa umma. Nakumbuka usafi wa Jumamosi ulivyozingatiwa lakini huu wa makondakta na daladala zao...
  16. R

    Dawa ya kutoa uchafu kwenye pasi

    Habari za Jumatatu WanaJamiiForums hope mpo poa. Sasa basi nisiwachoshe kuna pasi yangu hapa nyumbani naona inataka kuniharibia nguo zangu ina uchafu mweusi kwa chini ni mgumu sana kutoka umeshaniunguzia nguo zangu mara kadhaa. Nimejaribu kununua panadol nisigue uchafu nilitumia nguvu nying...
  17. MENISON

    Uchafu mweupe wakati wa kufanya mapenzi

    Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani, Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi. Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua. Hivi huu ni ugonjwa au?
Back
Top Bottom