uchafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mirindimo

    Beach ya Ununio kunafanyika uchafu mpaka kwa Watoto wadogo

    Tunapoendelea na sakata la mashoga na mambo mengine yanayotia aibu na kinyaa, wazazi mnaoruhusu watoto wenu wa kike na wa kiume kwenda Ununio Beach wanafanya uchafu kul, kuweni makini lindeni watoto wenu. Maana usitegemee serikali ije ikulindie Serikali itapiga soga la siasa tu lakini pale kuna...
  2. Nyendo

    Ushawahi kushindwa kula chakula kwa uchafu wa mazingira au mpishi?

    Kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana, na wao wanaona ni sawa. Kuna sehemu nilienda wakaanza kuandaa chakula, mara nikaona mpishi anapika mara akafutia sufuria na kanga aliyojifunga, nikasema tobaa hiki chakula siwezi kukila tena. Usafi ni muhimu sana kwa mpishi kwani ukizingua kwenye usafi...
  3. Nyenyere

    Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu

    Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
  4. Mohammed wa 5

    Wachina wanaongoza kwa uchafu

    Habari za asubuhi Wana JF, Leo ni malalamiko kidogo kwa Hawa ndugu zetu wachina. Mzee ana nyumba mkoa X hii ni nyumba ya kupangisha nyumba kubwa ya kisasa na ina fensi ipo mazingira mazuri kupata mpangaji sio shida. Kuna wachina tuliwapangisha Wana Kama miezi mitano, kwenye pango wako vizuri...
  5. mirindimo

    Africana uchafu unatupwa ovyo barabarani

    Hali inakokwenda unaweza kuta ucahfu umetupwa mlangoni kwako na huna kumfanya yoyote. Sisi ni wachafu sana.
  6. R

    Mnaoweka mkojo kwenye chupa na kutupa barabarani mnakwaza

    Hivi mtu unafikira nini mpaka unatoa haja ndogo na kuweka kwenye chupa na kisha kwenda kutupa mtaani? Huoni kwa kufanya hivyo mbali na kuharibu mazingira unahatarisha afya za wanaotumia barabara hiyo? Kawe, DSM Hizo kwenye video siyo petroli au pombe, ni mkojo! Lita mbili na zaidi! Mbaya...
  7. Mchokoo

    DOKEZO Magari taka kumwaga uchafu pembezoni mwa Tawi la Mto Zinga Mwanagati, Ilala, Serikali mko wapi?

    Waziri wa Mazingira upo? Mbunge upo, Diwani upo, Jiji mpo, Waziri wa Afya upo, NGO mko wapi, wakazi wa maeneo haya tunaangamia? Mbona hamumsaidii Rais wetu mpendwa Samia, ilihali amewaamini kuwaweka kwenye nafasi hizo? Wananchi wakianza kufa msiseme hamkuambiwa. Hapa Mwanagati wilayani, Ilala...
  8. BigTall

    Vikapu vya kuhifadhi uchafu kwenye daladala za Dar es Salaam navyo ni uchafu pia

    Mamlaka za Mkoa ndani ya Dar es Salaam zilibuni jambo zuri la kuwepo kwa ndoo au mifuko au vyovyote unavyoweza kuviita vile vya kuhifadhia uchafu kwenye daladala. Lakini pamoja na hivyo nimefanya uchunguzi ambao si rasmi, nimegundua kuwa ndoo nyingi au hivyo vifaa vingi vinavyotika kuweka...
  9. DR HAYA LAND

    Suala la Usafi na Uchafu lipo hivi

    Mtu Msafi anapoona Uchafu katika Mwili wake, Gheto au nyumba barabarani nk anapata Hasira na kero katika moyo wake. Na kwa mtu mchafu Uchafu kwake sio tatizo mfano kwa Mtu msafi hawezi kulala na Malaya au kuingia kwenye magheto ya mademu wa kimboka Mula ndani pachafu pananuka lakini Mtu anazama...
  10. Roving Journalist

    Serikali yatoa ufafanuzi madai ya Uwanja wa Mkapa kutia aibu kwa uchafu

    Uwanja wa Mkapa kabla ya kuanza kwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Al Hilal, Februari 5, 2023. Pia soma: Uwanja wa Mkapa unatia aibu, nani awajibike?
  11. BigTall

    Kabla ya kupandisha nauli ya Mwendokasi, DART zingatieni uchafu na huduma mbovu vituo vya Mwendokasi

    Mkiwa mbioni kupandisha nauli,uchafu umekithiri vituoni kwenu hapo ni Kimara na huduma imezorota madirishani kwa cashiers kila muda kujifanya hawana change #badilikeni
  12. sifi leo

    Kwenye vita hii natoa tahadhari kwa Balile, Kigwangalla vua nguo uoge ili utakate

    Niona vita kali kati ya Hamisi Kigwangalla Mbunge na ndugu yangu Ta Balille, Chanzo cha vita ni RIPOTI aliyoitoa Balile na wenzake mbele ya Makamu wa Rais siku za hivi karibuni. Za chini chini inasemekana Kigwangalla anapambana RIPOTI ile kusema ni uongo mtupu, Ta Balille anampotosha Makamu wa...
  13. Gaddaf i06

    Wana JF, uandishi wa lugha mchanganyiko ni uchafu! Ni sawa na kuhifadhi sufuria kitandani (kero)

    Kwanza kabisa, nakutakia afya njema kama ya kwangu.. Bila kinyongo kabisa naomba niweke hapa kero yangu juu ya waandishi baadhi wa hoja hapa jf Kama utaguswa tafadhali usikasirike wala kutukana, ni kitu ambacho kinafanywa na watu wengi, hata hvyo si kero kwa wengi/wote. Ruksa kutoa kero yako...
  14. JanguKamaJangu

    Wananchi Kagera walia na uchafu mtaani

    Baadhi ya wakazi wa Kata za Bilele na Bakoba katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wameiomba serikali kuwachukulia hatua kali wananchi ambao wanazalisha taka na kuzitupa katika Mto Kanoni, maana kufanya hivyo wanahatarisha afya na usalama wao. Wakazi hao wamesema kuwa tatizo hilo...
  15. BigTall

    Uchafu wa uchaguzi uliotajwa kufanyika CCM, huu ndio mfano mmoja wapo (video)

    Hiki ndiyo kilichokuwa kikitokea kwenye uchaguzi wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Simiyu ambao ulifanyika Alhamis ya wiki iliyopita, Novemba 17, 2022 Huu anayeonekana ‘staa wa muvi’ ni Diwani wa Viti Maalum Wilaya ya Maswa, Witness Philipo (Mama Dwese) akionekana kuweka...
  16. n00b

    Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Nimeona hii article sehemu nikaona niwashirikishe wenzangu ili kama mna jamaa zenu wenye matatizo haya ili kuyakabili. Kutoka harufu ukeni kunaumiza sana. Kama kuna njia nyingine watu mnajua basi wasaidie ambao wanahitaji msaada wenu. === Tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni Kutunza uke na...
  17. music mimi

    Mwanamke unakubalije kunuka kikwapa? Kikwapa ni alama ya uchafu

    Huwa nashangaa sana mwanamke anaenuka kikwapa. Kwa kifupi kikwapa ni uchafu na mwanamke anaenuka kikwapa ni mchafu. Kuna njia nyingi za kuzuia harufu ya kwapa. Kupaka deodorant ni njia easy kabisa ya kuzia jasho baya la kwapa. Kuna deodorant mpaka za elfu 5. Pia wanasema kuna njia za asili...
  18. I

    UCHAFU MTAA MBEZI A & B

    Tunaomba msaada katika hili
  19. google helper

    SoC02 Uchafu unatukwamisha sana watanzania kupiga hatua kimaendeleo katika nyanja zote. Hakika sisi ni wachafu sana

    Uchafu ni maudhui, matendo au mata inayopatikana mahali pasipotakiwa kwa wakati usiotakiwa. Hatuwezi kutenganisha maendeleo na usafi au mpangilio wa kila kitu, kila siku katika mambo yote yanayotuzunguka. Uchafu katika nchi yetu sio jambo geni kabisa maana uchafu upo kila mahala. Uchafu...
  20. Jade_

    SoC02 Tusilishwe Uchafu Kilimo Kiboreshwe

    Umefika sokoni kununua maharage unakuta yamepangiwa magunia tofauti. Muuzaji anakueleza kuwa kila aina ya maharage yapo ndani ya gunia lake, na unaona yana mwonekano wa kutofautiana. Anaandisisha kuwa maharage haya ni ya soya, haya huku ni mekundu na yale kule ni ya njano. Mchuuzi huyo...
Back
Top Bottom