uchafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    Uvivu na uchafu ni mapacha ambao ukiwakumbatia utaishi maisha ya ovyo ovyo sana

    Binadamu anapaswa kuwa msafi, hii ni moja ya tofauti kati yetu na wanyama ingawa wote ni jamii ya mamalia. Sisi tunaoishi kwenye chumba kimoja ambacho ukifungua macho asubuhi unaangalia vyote unavyomiliki, inapaswa kujiongeza sana. Bila kujiongeza unakaribisha panya na mende ndani. Unakuta...
  2. Kishimbe wa Kishimbe

    'Pubic hair' sio uchafu

    Natumaini wadau wa JF mnafaidi mapumziko ya weekend bila stress! Twende kwa mada! Ni hivi, baada ya kuangalia clip ya video fulani ya XXX nikaanza kusoma comment za wadau ambazo nashindwa kukubaliana nazo 💯/💯! Kikubwa ninachotofautiana na wadau wengi ni kuyachukulia mavuzi (pubic hair) kama...
  3. Willima

    KERO: Tegeta Kwa Ndevu Machinjioni uchafu umekithiri

    Kero hii ni kubwa na inasumbua watu wengi sana, na uchafu huo unatokana na kuwa karibu na jalala na pia kuwa karibu na machinjio ya ng'ombe. Uchafu huu unasababisha harufu mbaya inayo fika hadi kwenye nyumba za watu, na pia kuanikwa kwa mbolea ya ng'ombe kunasababisha uwepo wa wadudu kama nzi...
  4. N

    SoC02 Vijana "Uchawa" ni Uchafu na Umasikini unasahaulisha ajenda zetu

    Kwenye mnakasha huu nitaangazia Ajenda za vijana na matatizo yanayo wakumba na Suluhu ya Changamoto zao. Kulingana na sensa ya 2012 vijana ndio kundi kubwa kwenye muundo wa demographic ya nchi yetu.Vijana wanachukua kwa makadilio zaidi ya 75%. "Uchawa" vijana wao huita hivyo wakiimaanisha ili...
  5. M

    Wamarekani wanajadiliana uchafu hadharani kwenye baraza lao la seneti: Wanajadili kuhusu haki za wanaume kutoa mimba

    Unaweza usiamini lakini nndivyo ilivyo. Heated debate in US Senate erupts over abortion rights for men A Republican senator who doesn’t believe men can get pregnant was called “transphobic” Huyo hapo juu ni "mwanamume" anapigania uhuru wa kutoa mimba!! Iko hivi, mwanamke anaweza kuamua tu...
  6. sanalii

    Ni usafi mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa na kisha kutawadha baada kumaliza

    Unless unakojoa polini kwenye majani, sehemu yene mchanga mwingi au vile vyoo special vya juu hasa vinavyokuaga stand za mabasi au vyoo vya kulipia au vile vya shimo la moja kwa moja unaweza ukasimama, ila hivi vyoo vya sink na kwengineko ni uchafu mwanaume kukojoa umesemama. Ukikojoa kwa...
  7. JanguKamaJangu

    Usafi waanza kufanyika Soko la Kawe baada ya uchafu kukithiri kutokana na mvua

    Baada ya Jamii Forums kuripoti kuhusu Soko la Kawe kuwa chafu kutokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni Jijini Dar es Salaam, mamlaka zimeanza kuchukua hatua ya kufanya usafi sokoni hapo. Barabara ya kuelekea sokoni hapo imeanza kufanyiwa marekebisho ya kuwekewa vifusi, ambapo awali kulikuwa...
  8. M

    Makonda aliweka nidhamu jiji la Dar na kusafisha uchafu wa maadili uliokuwa umekithiri. Sasa hivi Dar ni kama Jahanamu

    Paul Makonda alisimamia misingi ya maadili ndio maana alidhibiti vibaka , wavuta madawa, wezi , wavuta unga na mashoga. Sasa hivi Dar wavuta unga na mashoga wamekithiri kama jahanamu. Nenda Buguruni, Tandika na Magomeni ushoga ni kama kawa. Watoto wa kiume wanajipaka lipstick. Wavuta bangi na...
  9. Wordsworth

    Mashuleni na Vyuoni ni Kuchafu

    Hivi chuoni kunakuwaje na kunguni? Wanashindwaje kupiga dawa kila baada ya muda fulani? Kuna chuo cha afya hapa Nala Dodoma wanafunzi wanataka kuhama kwasababu kunguni wamezidi. Wakaguzi, wenye mamlaka, mpo wapi? Mnaacha hizi taasisi zijiendeshe na kufuga uchafu? Au mmeshiba rushwa mpaka...
  10. Expensive life

    Baadhi ya mama ntilie wanatulisha uchafu

    Hii ni sekta moja wapo inayowapati kina mama wengi sana kipato, lakini tatizo limekuwa kwenye kuboresha mazingira yao ya kazi. Hii imenitokea zaidi ya mara tatu maeneo tofauti tofauti, nimeagiza msosi kabla bado sijala nikasema ngoja nikague kijiko aiseeeh ni aibu, nimeletewa kijiko kinaonekana...
  11. GIRITA

    Wanaume walalamikia uchafu wa wake zao

    Kutoka Kijiji cha Kagumoini, eneo bunge la Gatundu Kusini, kaunti ya Kiambu nchini Kenya wamelalamikia wakidai kuwa wake zao ni wachafu kupindukia. Wanaume hao wanalalamika kuwa wake zao wanashindwa hata kubadilisha nguo kwa zaidi ya wiki moja, hali ambayo inachochea ndoa nyingi kuvunjika...
  12. beth

    Ripoti: Uchafuzi (Pollution) husababisha vifo vingi kuliko COVID-19

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira ambayo imetolewa leo, imesema uchafuzi unaofanywa na kampuni pamoja na nchi mbalimbali husababisha vifo vingi kuliko hata vifo vinavyosababishwa na janga la COVID-19 Kulingana na ripoti hiyo, dawa za kuwaua wadudu, plastiki na uchafu kutokana na vifaa...
  13. Muuza simu used

    Wanawake mlioolewa badilikeni

    Hii tabia imekuwa kero sana hasa kwa wanawake walioolewa yaani ukimkuta nyumbani unashindwa kutofautisha mama mwenye nyumba ni yupi na house girl ni yupi. Yaani wote wanavaa nguo kama vibarua fulani hivi waliochoka na maisha, utakuta wife mara kavaa yeboyebo hata sio saizi yake, mara kandambili...
  14. Dr Matola PhD

    Wakati CCM ikisafisha uchafu bandani kwake, Chadema malizeni mchakato wa kikatiba kuwafukuza covid 19

    Wala sihitaji kuandika gazeti hapa, raha ya mchuzi wa mbwa ni ukiwa wa moto. Ccm inasafisha takataka bandani mwake na tarehe 2 February tutapata spika mpya, hivyo nashsuri chombo cha juu cha maamuzi cha chadema kimalize mchakato wa kuwafuta uanachama hawa covid 19 na tarehe 2 February Chama...
  15. Job Richard

    Biashara ya ukahaba ni kaa la moto Dar

    Licha ya juhudi zilizowahi kufanywa na viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kudhibiti biashara ya ukahaba na uzururaji jijini humo, shughuli hiyo inaendelea kama kawaida, Mwananchi limebaini. Baadhi ya viongozi waliowahi kuongoza Dar es Salaam, akiwemo Paul Makonda walianzisha kampeni za kupambana...
  16. seedfarm

    Uhaba wa Maji Dar es Salaam: Harufu zimeanza kuwa kali maofisini na Majumbani

    Watu wa Dar es Salaam, Mambo yamekuwa sio mambo, ni harufu kali na uchafuzi wa mazingira unatokana na uhaba wa maji Familia zenye watu wengi ni shida na balaa, Watu wana nawa uso tu, nguo hazifuliwi zinanuka jasho Je, CCM ni ile ile au hii nyingine Na joto kali sio Dar es Salaam tu bali...
  17. Miss Zomboko

    Uchakavu na Uchafu katika Masoko ya Chakula

    Masoko ya chakula nchini yamekuwa katika hali ya uchakavu na uchafu hivyo kuhatarisha afya za watumiaji wa huduma za masoko hayo hususani wanawake ambao ndio watumiaji wakubwa wa huduma hii. Hii ni kinyume na Sheria ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa ya mwaka 1982 (kama iliyorekebiswa) inayozipa...
  18. Tindo

    Kwa kinachoendelea Mahakamani kwenye kesi ya Mbowe, imedhihirika CHADEMA walikuwa sahihi kutokwenda Mahakamani baada ya uchaguzi Mkuu wa 2020

    Kuna watu wengi waliituhumu CHADEMA kwa kutokwenda mahakamani baada ya kuporwa uchaguzi Mkuu wa 2020. Cdm walisema baadhi ya taasisi za umma zilizoingiziwa uozo wa siasa chafu za ccm, ni pamoja na mahakama. Kwa sasa kwenye kesi hii ya Mbowe ushahidi unazidi kukaa wazi, na bado kesi haijafika...
  19. Crocodiletooth

    Hongera RC Makalla, hakika vibanda vya Machinga ulikuwa ni uchafu

    Hakika nimepita leo sikuamini. (CBE) Pia mkuu wetu wa mkoa Hapo karibu na ofisi yako zilipo ofisi za TFF ni machinga lakini pameoza
  20. Red Giant

    Viwanda vinavyouza vinywaji kwenye chupa za plastiki vinatakiwa kuwajibika na uchafu wa chupa hizo

    Baada ya rambo kuondoka mjini, sasa uchafu uliotamalaki ni chupa za plastiki. Za maji, soda, juisi nk. Nilisikia serikali ina mpango wa kuwawajibisha wenye viwanda lakini sijajua ikoje. Uchafu huu umesambaa sana hasa kwa miji midogo ambako hakuna waokota makopo. Itafutwe namna Wazalishaji wa...
Back
Top Bottom