uchafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Expensive life

    Sebuleni kunakaa TV na makochi pekee hivyo vingine vyote ni uchafu

    Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu. Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni. Note: Hiyo...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Paza sauti, taja taasisi za umma/serikali ambazo zinapaswa kufutwa, kubinafsishwa au kuunganishwa. Jana serikali imethubutu, lakini bado uchafu upo

    Hello! Natanguliza shukrani kwa serikali kwa uamuzi makini wa kufuta baadhi ya taasisi zake na zingine kuziunganisha. Nadhani ni mwaka jana kama sijakosea nilileta uzi wa kutaka serikali ifute au iunganishe baadhi ya taasisi zake kwakuwa zingine zimekuwa mzigo na zingine kukosa ufanisi. Few...
  3. and 300

    Lagos inanuka uchafu na Rushwa!

    1. Watanzania tujifunze kujivunia kwetu japo sisemi sisi Ni Bora kabisa Ila tunajitahidi 2. Binafsi, nimetembelea miji kadhaa Afrika (Kigali, Nairobi, Kampala, Bujumbura, Johannesburg, Durban, Cape Town, Windhoek, Gaborone, Cairo, Algiers, Lusaka) na nje ya Afrika (London, Vienna, Zurich...
  4. T

    Changamoto ya mafuriko Dar es Salaam, wananchi inapaswa kujikana, kuukataa uchafu ili mitaro ya maji ifanye kazi vizuri

    Wanajamvi kama uzi unavyojieleza,binafsi tatizo kubwa la changamoto ya mafuriko yasiyoisha nimeona kwenye suala la uchafu wa mazingira uliokithiti kama chanzo ambayo inaathiri kwa kiasi kikubwa mitaro na njia za maji. Karibuni kwa mjadala zaidi tuisaidie serikali cha kufanya ili kujinusuru na...
  5. Mganguzi

    Mlipuko wa kunguni ufaransa, ni uchafu ama ni pigo la Mungu?

    Tañgu zama na zama ufaransa na hasa jiji la Paris ndio limekuwa linasifiwa kwa usafi na ustaarabu! Hata ukitembelea majiji mengine usafi kwa wafaransa ni jadi Yao ! Hao kunguni wametoka wapi ? Nini chanzo chake ? Kwa afrika mtu akiwa na kunguni hata mmoja kwenye shati yake ni tukio la aibu na...
  6. A

    Zanzibar uchafu ni utamaduni?

    Punde ukifika Zanzibar Kwa njia ya Ndege au boti utakutana na uchafu usiomithilika (kuanzia Bandarini Hadi Mjini). Unabaki kujiuliza je huu utamaduni Ni Jambo la kawaida kisiwani au ni nini? Tatizo Ni nn haswa?
  7. Kiplayer

    Vazi la dela lina vyote ustaarabu na uchafu

    Likivaliwa na mwanamke kwa lengo la kujistili linaongeza ustaarabu. Shida likivaliwa Ili chura arukeruke basi linaonekana ni vazi la kimalaya.
  8. Intelligence Justice

    Barabara ya 4-8 na eneo lote la Ngamiani jijini Tanga kwanini serikali hailitendei haki kwa kuhimiza ujenzi wa nyumba za kisasa na kuondoa uchafu?

    Wakuu, Wagosi wa kaya wamo vibarazani huku jiji lao limetelekezwa kurejeshewa hadhi yake ya zamani. Reli waliboreshewa na hayati JPM mpaka stesheni ilikarabatiwa ikabaki kidogo treni ianze safari kwenda huko lakini mipango ikaenda hali jojo hadi leo. Swali kwa serikali, kwanini jiji hilo...
  9. U

    Waziri Biteko ongea yote kuhusu ufisadi wa kutisha uliokuta hapo wizara ya nishati lasivyo utaubeba wewe huo uchafu

    Nakushauri kijana biteko usidanganyishwe na nafasi ya unaibu wa waziri sijui nini hivyo ni vyeo visivyokuwa na mbele wa maana kwa TANGANYIKA kwasababu havitambuliki . Tunapata taarfa kuwa kuna mtu ameondolewa apo Ili kumuepusha kuchafuka kwa ufisadi na umepelekwa wewe kuficha aibu ya ufisadi wa...
  10. richaabra

    TANROADS Mbagala mpo au mmelala, mbona pachafu hivi?

    Juzi nilipita zakiem pale hadi Rangi 3 mida ya saa 6 usiku, aisee nlichokiona ni zaidi ya uchafu hata kama watu wanatafuta rizki sio kwa uchafu ule. Bara bara imejengwa mpya alafu kuna watu wanauza machungwa katikati ya barabara pambezoni, yaani kilichonishangaza ni mtu kafunga biashara alafu...
  11. D

    Maendeleo ya mtu yana uzuri asilimia 30 tu zinazobakia asilmia 70 ni uchafu mtupu ambao hubaki siri yake maisha

    Siyo kwa ubaya lakini! Naomba kuwatia moyo wenye uwezo mdogo kama mimi wa ugali na dagaa na tembele! Ukweli ni kwamba sisi tuko bora kuliko hao wanaoonrkana wamefanikiwa! Tunachofanya ni halali, tunachochuma ni jasho la haki tunagawana na familia maisha yanasonga! Wanaoonekana wamefanikiwa...
  12. Hakuna anayejali

    Uchafu wa mazingira huleta athari nyingi kwetu

    Mji au mtaa unaweza kuwa mzuri, watu wakavutiwa napo kuishi na kuwekeza, lakini kama eneo ni chafu basi ni chanzo cha mlipuko wa magonjwa na watu kuchukia eneo hilo. Hivyo ni muhimu watu wa afya kulitambuwa hilo, ushuru unalipwa ili huduma ya uondoaji taka ifanyike kwa wakati. Je, kwanini...
  13. Kamanda Asiyechoka

    Aibu kubwa Rais kutembea na 'chawa' wake na kuwalipa kutetea anapokosolewa anapofanya makosa

    Aibu kubwa sana, yaani kumbe wanagombea posho na UVCCM? This is a misuse of public funds.
  14. LAETUS

    SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    Nishati
  15. Roving Journalist

    Mkandarasi wa Usafi Kata ya Mbuyuni - Morogoro haonekani, hali ya uchafu ni mbaya mtaani

    Hali ya usafi wa mazingira ilivyo Mkoani Morogoro katika Kata ya Mbuyuni, Mtaa wa Msikiti wa Masai karibu na Muslim University of Morogoro. Mkandarasi wa usafi anaitwa Kajenjere lakini inadaiwa zaidi ya mwezi hajafika eneo husika kukusanya taka, hivyo kusababisha hali kuwa mbaya hadi taka...
  16. beth

    Siku ya Mazingira Duniani (Juni 05): Tumeshindwa kabisa kudhibiti uchafu wa taka za plastiki?

    Maadhimisho ya Siku hii hufanyika kila Juni 05, na kwa mwaka 2023 yanaangazia zaidi Uchafu wa Mazingira unaotokana na Taka za Plastiki, na jinsi ya kukabiliana nao Zaidi ya Tani Milioni 400 za Plastiki zinatengenezwa Duniani kila mwaka. Inakadiriwa kuwa, Tani Milioni 19 hadi 23 huishia...
  17. S

    Kwanini bajeti ya Waziri Mchengerwa haina kelele za rushwa kama wizara ya Makamba?

    Bajeti ya Waziri Mohamed Mchengerwa imewasilishwa bungeni leo hadi sasa hakuna kelele zozote za rushwa kwa wabunge kama ilivyokuwa kwa wizara ya nishati. Heko wizara ya maliasili kwa kuendesha mambo yenu kwa uwazi na kuacha wabunge waichambue bajeti yenu kwa manufaa ya watanzania sio wenzenu wa...
  18. D

    Tatizo sio NEMC, uchafu wa Mazingira ni ugonjwa wa akili unaotakiwa utibike Kisaikolojia. Hata baadhi ya Viongozi wanaumwa

    Chimbuko la kelele lipo kiimani na kisaikolojia. Nashauri NEMC Pelekeni hoja Wizara ya Elimu ili watakapoboresha mitaala yao, somo la Sayansi kimu lifundishe kwa kina madhara ya uchafuzi wa mazingira ikiwemo kelele. Tukumbuke kwamba baadhi ya viongozi wanaumwa huu ugonjwa wa kisaikolojia na...
  19. R

    DOKEZO Soko la Ilala, Dar es Salaam kwa uchafu huu itakuwa chimbuko la kipindupindu kama cha Msumbiji. Lifungwe

    Wakuu, kwa wakazi wa jiji la Dar tunatumia SOKO la Ilala kujipatia mahitaji yetu pale, ni aibu na udhalilishaji wa binadamu kuona binadamu anaweza kununua kitu cha kwenda kula toka pale. SOKO hili lipo kama mita 150 toka ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam na km 5-6 toka Ikulu ya Magogoni...
  20. Hance Mtanashati

    Angalizo kwa wote wanaotaka kufanya uchafu siku ya leo

    Sina maneno mengi sana ila tu ninapenda kuwakumbusha kumuasi Mungu siku ya leo ni sawa na kumuasi Mungu siku ya Qiyama. Kama wewe muislamu umefunga siku 30 na ukaweka nadhiri kufanya mambo yasiyo mpendeza Mungu siku ya leo mfano kuzini, kunywa pombe, kudhulumu nk elewa ni sawa na umemuasi Mungu...
Back
Top Bottom