Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye Kikao amehoji;
"Wananisema kuwa sina Pesa, siwezi kuendesha Chama, hebu watueleze pesa za Jana usiku zilitoka kwa nani? Tumeshuhudia vitendo vya rushwa kwenye Uchaguzi wa BAVICHA"
Soma, Pia:
• Kimeumana! mjumbe adakwa akidaiwa kugawa...
Godbless Lema amesema kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwambia mara kadhaa kwamba amechoka na anataka kuachia uongozi wa chama.
Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA
"Mwenyekiti Mbowe mimi amenambia zaidi ya zaidi ya mara tano mwaka jana...
Wakuu
Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema (Bazecha), John Mwambigija maarufu ‘Mzee wa upako’ akiomba kura kwa wajumbe huku miongoni mwa sera yake ni kuwapeleka wajumbe wa baraza hilo kuhiji Makka.
Uchaguzi huo unaendelea usiku huu Jumanne Januari 14, 2025 katika ukumbi wa...
Wakuu,
Siku ya jana aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini kupitia akaunti yake ya X aliahidi kwamba siku ya leo Tarehe 14 January 2024 atakuwa anazungumza na wanahabari.
Wengi wameshuku kuwa huenda Lema atazungumzia kuhusu Uchaguzi wa CHADEMA na kuainisha ni mgombea gani ya...
Kutoka Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam (leo, Jumanne ya Januari 14.2024) vurugu zimeshuhudiwa tena kati ya wanahabari na baadhi ya vijana wa BAVICHA ambao wamepinga wanahabari kuwepo kwenye ukumbi wa uchaguzi, wanahabari waliingia ukumbini hapo baada ya kuruhusiwa na msimamizi wa uchaguzi huo...
Hali ya rushwa ndani ya CHADEMA inatisha watu waadilifu hiki chama hakiwafai tena tafuteni chama kingine,
Hii CHADEMA sio ile mnayoijua.
Habari za rushwa CHADEMA ni za kiwango Cha Juu sana,
Lissu, Lemma, Heche find your ways CHADEMA si chama tena.
Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025
"Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua mamilioni ya Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wanataka mabadiliko kwahiyo nitaendelea mapambano ndani ya...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameulizwa kuhusu ushiriki katika kuondoa ukomo wa muda wa uongozi katika Katiba ya chama hicho.
Pia, Soma:
- Mbowe: Lissu alikuwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, na ndiye alitunga vifungu vya kuondoa ukomo wa uongozi kwa viongozi wakuu na wajumbe wa...
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa na Mgombea wa Uenyekiti, Tundu Lissu kwenye mahojiano na Wasafi Media amesema;
"Nachotaka kusema ni kwamba Uchaguzi huu kumekuwa na fedha nyingi sana..sana, ambazo wala sio za CHADEMA, (lengo la fedha hizo) ni kuhakikisha kwamba CHADEMA inakua na...
Sintofahamu imezuka katika uchaguzi wa viongozi wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), baada ya wajumbe kumtilia shaka mmoja wa wagombea aliyekuwa akitoa nauli.
Uchaguzi wa Bavicha unaendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Januari 13, 2025.
Pia, Soma...
https://youtu.be/cI7hJHpYUOA?si=QZSStKHprjHvB6Rm
Leo SIMIYU imeungana na mikioa mingine 17 katika kutoa tamko la kumuunga mkono Mhe Lissu hadharani,
Hali inazidi kuwa ngumu kwa upande wa Freeman Mbowe baada ya wajumbe 75% kutoka Mikoa mbalimbali kutangaza kumuunga mkono Tundu Lissu,
John Heche amesema kuwa Tundu Lissu ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi wa Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa, akisisitiza "hilo liko wazo na halipingiki"
Licha ya kumuunga mkono Tundu Lissu, John Heche alichukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Wakuu wakati mkutano mkuu wa Bavicha ukiendelea leo, mjumbe mmoja aeleza kwa masikitiko kuwa hawajalipwa pesa za kujikimu walizohaidiwa.
"Tuliambiwa jana tutapewa pesa ya kujikimu mpaka leo hatujapewa, mnawezaje mkaipinga rushwa ilhali mnaitengeneza?" - Mjumbe wa mkutano mkuu Bavicha
Kupata...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema ni kweli kwenye uchaguzi huu watanyukana lakini baada ya kunyukana, watakutana kwenye boksi la kura kisha baada ya hapo watapeana mikono.
Mbowe ameyasema hayo wakati akihutubia Baraza la Baraza la Vijana wa Chadema...
BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati akiingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wamekutana kuamua viongozi...
Kada wa CCM Mchungaji Peter Msigwa amesema Freeman Mbowe hastahili kuongoza CHADEMA hata kwa Sekunde 2 kwasababu hana jipya.
"Ningekuwepo ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mbowe hastahili kuongoza kile Chama hata kwa Sekunde 2."
Pia, Soma: Mchungaji Msigwa: Ningependa...
Uchaguzi Mkuu wa Bavicha ndio tukio kuu kwa siku ya leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wanakutana kuamua viongozi watakaoongoza Baraza hilo kwa kipindi kijacho.
Kichwa cha Habari ni maneno ya Busara Kutoka Kwa Kiongozi mkubwa wa Dini ya Islam Shehe Ponda
Shehe Ponda anasema Chadema inaelekea Hatarini Tukihubiri Demokrasia basi Tuitekeleze na tukidai Katiba Mpya turekebishe za kwetu na Kwenye Ukomo tuwe mfano
Ukurasani kwake X ni kauli ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.