uchaguzi mkuu 2030

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vijana na Uchaguzi wa 2030: Funzo kutoka kwa Jihan

    Great Thinkers, Ushindi wa Jihan Dimack katika Miss Grand International 2026 nchini Thailand umetupa somo kubwa kuhusu nguvu ya umoja. Watanzania waliungana kumhamasishia kura na kumuunga mkono kupitia mitandao na mikusanyiko mbalimbali. Kwangu, namna vijana walivyojitoa katika kampeni hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania CCM yajipanga na kujiweka mguu sawa kuelekea uchaguzi wake wa ndani 2027, uchaguzi wa serikali za mitaa 2029 na uchaguzi mkuu 2030

    Baada ya uchaguzi mkuu wa 2025, CCM iliketi chini na kujitathimini, kujisahihisha, kujirekebisha na kuweka mikakati ya kufanya vizuri zaidi kuelekea 2030, utamaduni ambao umekua na manufaa makubwa sana kwa chama hicho tawala Tanzania. Tayari CCM imeanza kujipanga na kujiweka mguu sawa mapema...
  3. JamiiForums Tanzania Antony Mtaka ni presidential material? Maoni yangu kuelekea 2030

    Mmoja wa viongozi wanaonivutia zaidi ni Antony Mtaka anaonekana kuwa karibu na wananchi na mwenye msisitizo wa utekelezaji wa majukumu kuliko maneno mengi huyu ana uwezo wa kuwasiliana na wananchi wa kawaida. Tanzania inahitaji viongozi wenye uwezo wa kusikiliza, kusimamia utekelezaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…