Antony Mtaka ni presidential material? Maoni yangu kuelekea 2030

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Mmoja wa viongozi wanaonivutia zaidi ni Antony Mtaka anaonekana kuwa karibu na wananchi na mwenye msisitizo wa utekelezaji wa majukumu kuliko maneno mengi huyu ana uwezo wa kuwasiliana na wananchi wa kawaida.

Tanzania inahitaji viongozi wenye uwezo wa kusikiliza, kusimamia utekelezaji wa miradi na kuunganisha watu wa makundi tofauti.

Kwa mimi binafsi naona ni miongoni mwa watu ninaowaona wana sifa za kuwa "presidential material". Kama ataendelea kujenga rekodi nzuri ya utendaji na kupata uzoefu zaidi wa kitaifa, sioni ajabu kama mwaka 2030 au miaka inayofuata jina lake likaanza kutajwa katika mijadala ya urais.

Nimeangalia umri wake nikashangaa kumbe kazaliwa 1983 me nilikuwa namuona mkubwa sana nikajua kazaliwa labda 1973.vipi maoni yako anaweza akatuvusha huyu au misimamo ndo ileile ccm hata aje YESU hakuna maajabu itafanya?
 
mmoja wa viongozi wanaonivutia zaidi ni Antony Mtaka. anaonekana kuwa karibu na wananchi na mwenye msisitizo wa utekelezaji wa majukumu kuliko maneno mengi huyu ana uwezo wa kuwasiliana na wananchi wa kawaida. Tanzania inahitaji viongozi wenye uwezo wa kusikiliza, kusimamia utekelezaji wa miradi na kuunganisha watu wa makundi tofauti.
kwa mimi binafsi naona ni miongoni mwa watu ninaowaona wana sifa za kuwa "presidential material". Kama ataendelea kujenga rekodi nzuri ya utendaji na kupata uzoefu zaidi wa kitaifa, sioni ajabu kama mwaka 2030 au miaka inayofuata jina lake likaanza kutajwa katika mijadala ya urais.nimeangalia umri wake nikashangaa kumbe kazaliwa 1983 me nilikuwa namuona mkubwa sana nikajua kazaliwa labda 1973.vipi maoni yako anaweza akatuvusha huyu au misimamo ndo ileile ccm hata aje YESU hakuna maajabu itafanya?
Nchi hii ili iendelee inahitaji viongozi radical kama Lissu, Magufuli (lkn aliye smart), Mwabukusi n.k
 
mmoja wa viongozi wanaonivutia zaidi ni Antony Mtaka. anaonekana kuwa karibu na wananchi na mwenye msisitizo wa utekelezaji wa majukumu kuliko maneno mengi huyu ana uwezo wa kuwasiliana na wananchi wa kawaida.

Tanzania inahitaji viongozi wenye uwezo wa kusikiliza, kusimamia utekelezaji wa miradi na kuunganisha watu wa makundi tofauti.

kwa mimi binafsi naona ni miongoni mwa watu ninaowaona wana sifa za kuwa "presidential material". Kama ataendelea kujenga rekodi nzuri ya utendaji na kupata uzoefu zaidi wa kitaifa, sioni ajabu kama mwaka 2030 au miaka inayofuata jina lake likaanza kutajwa katika mijadala ya urais.

Nimeangalia umri wake nikashangaa kumbe kazaliwa 1983 me nilikuwa namuona mkubwa sana nikajua kazaliwa labda 1973.vipi maoni yako anaweza akatuvusha huyu au misimamo ndo ileile ccm hata aje YESU hakuna maajabu itafanya?
First thing first: Wewe una uwezo na upeo wa ku-spot presidential material? Hili tatizo la ''kipofu'' mmoja kuibuka na kusema ''kipofu'' mwenzake anafaa kuwa rais nalo ni tatizo kubwa. Mkuu, siku-offend kwa namna yoyote hapa ila mimi nadhani tukiingia kwenye mtego wa kujadili mawazo hatari kama yako, nchi yetu itazidi kudidimia. What most needed kwa nchi yetu sasa hivi ni ku-fix kwanza mifumo na katiba yetu kabla hatujaingia kwenye mijadala kama hii. Kwa hali ya mfumo wa sasa, hata umpe Lissu urais, ataharibu.
 
Yes yupo vizuri ila nadhani mfumo ndo unambeba zaidi .

Ukiwa RC au DC ni rahisi kuonekana unafanya kazi ila endapo akiwa Mbunge na waziri unaweza kuona picha tofauti au akiwa Rais .
Angekuwa vizuri asingekuwa kwenye huu utawala wa wauaji. Kama kuna mtu yuko weye uongozi, na haoni shida ya Samia basi huyo mtu hafai.
 
mmoja wa viongozi wanaonivutia zaidi ni Antony Mtaka. anaonekana kuwa karibu na wananchi na mwenye msisitizo wa utekelezaji wa majukumu kuliko maneno mengi huyu ana uwezo wa kuwasiliana na wananchi wa kawaida.

Tanzania inahitaji viongozi wenye uwezo wa kusikiliza, kusimamia utekelezaji wa miradi na kuunganisha watu wa makundi tofauti.

kwa mimi binafsi naona ni miongoni mwa watu ninaowaona wana sifa za kuwa "presidential material". Kama ataendelea kujenga rekodi nzuri ya utendaji na kupata uzoefu zaidi wa kitaifa, sioni ajabu kama mwaka 2030 au miaka inayofuata jina lake likaanza kutajwa katika mijadala ya urais.

Nimeangalia umri wake nikashangaa kumbe kazaliwa 1983 me nilikuwa namuona mkubwa sana nikajua kazaliwa labda 1973.vipi maoni yako anaweza akatuvusha huyu au misimamo ndo ileile ccm hata aje YESU hakuna maajabu itafanya?
Ww matako kabisa mmegeuza urais km ugoni
 
Gentleman,

Agenda ya taifa kwa mwaka 2030-2040 ni Dr.Emmanuel John Nchimbi. Full Stop. :1Head:
 
Angekuwa vizuri asingekuwa kwenye huu utawala wa wauaji. Kama kuna mtu yuko weye uongozi, na haoni shida ya Samia basi huyo mtu hafai.
Kwahiyo sativa ni presidential material simply kwakua sio sehemu ya utawala huu?
Come on !!! Huwezi waweka level moja ya kiuongozi samia, simbachawene, nchimbi nj kisa tu wote utawala mmoja ingelikua ivyo Magufuli asingekua Rais.
 
Back
Top Bottom