residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Exactly.Angekuwa vizuri asingekuwa kwenye huu utawala wa wauaji. Kama kuna mtu yuko weye uongozi, na haoni shida ya Samia basi huyo mtu hafai.
Yeyote ambaye anamtumikia shetani, hafai kwa chochote.
Kama upo unatumikia serikali hii uaji, basi wewe hufai kuwa kiongozi, maana kiuhalisia huna utu, huna ubinadamu, huna dhamira (kama unayo haikusuti), hujui jema wala baya, huna hofu ya Mungu, huna huruma, huna reasoning, huna maadili.
Kwa ufupi, kama upo ndani ya hii serikali ya kishetani, basi nawe ni shetani.