Antony Mtaka ni presidential material? Maoni yangu kuelekea 2030

Antony Mtaka ni presidential material? Maoni yangu kuelekea 2030

Wale vijana walikuwa wanahojiwa ITV siku iie.
Wale vijana wamekumbatiana mabega,wameshikana mabega.
Wanasema KIkwete hafai kuwa Rais.
Wanasema,yule mwingine ndie anafaa kuwa Rais.
Halafu mmoja anamuuliza mwenzake," Yule mwingine anaitwa nani vile?"
Anaambiwa,Wilbod Slaa
Anasema,huyo huyo,ndie anafaa kuwa Rais.
Oooh kwa maana hiyo unamesa ni Slaa wee ndiyo unaona anafaa Kaka.
 
Back
Top Bottom