Chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia shule kuu ya uandishi wa habari na mawasiliano kwa umma (SJMC) kwa miaka kadhaa kimekuwa kikitekeleza mradi unaojulikana kama 'Yearbook' ukiwa ni utafiti kuhusu “Ubora wa Maudhui ya Vyombo vya Habari Tanzania. Katika mwaka 2024 utafiti huo ulichunguza uripoti...
Leo, tarehe 6 Machi 2025, Wakili Mwanaisha Mndeme amewasilisha shauri la uchaguzi katika Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani, akiwawakilisha waliokuwa wagombea wa uchaguzi wa serikali ya kijiji cha Tambani, wilayani Mkuranga, kupitia chama cha ACT Wazalendo.
Shauri hilo limewasilishwa...
"Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu kama tumeshinda serikali za mitaa kwa asilimia 98 nategemea kabisa ushindi ni huohuo katika uchaguzi...
Wakuu,
Tumemaliza Uchaguzi wa Serikali za Mitaa November, 2024 na sasa tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025.
Tumeona hamasa zikifanywa na watu mbalimbali juu ya ushiriki wa wanawake katika ngazi mbalimbali, lakini je, inatosha?
Uchaguzi wa serikali za mitaa umeisha, ushiriki wa...
Wakuu,
Hivi vyama vya upinzani vilikuwa wapi kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuanza? Yaani Uchaguzi umeisha ndo wanaanza kutoa maoni?
Maoni haya yana umuhimu gani sasa hivi kama CCM wameshapora Uchaguzi na kushinda asilimia 99?
Naanza kuamini hivi vyama kweli ni CCM B...
Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, huhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa
https://www.youtube.com/watch?v=DRuPxvMW3Fk
Mchakato tulioumaliza sasa hivi (Uchaguzi wa Serikali za Mitaa) yametokea yale yale ya...
Chadema ilipoteza mwelekeo kwenye Njiapanda ya utawala kati ya JK na JPM. Unajua ukitaka kuwa loyal simamia kile unachokiamini mwanzo mwisho hata kama adui akija akaanza kukisimamia unachokiamini ungana nae, akienda tofauti achana nae.
Kwanini kwa JK CDM ilikuwa na Nguvu na kwa JPM ikaanza...
Wakati wa mapambano ya kutafuta haki, unatakiwa kutafuta umoja wenye nguvu na kila mwenye dhamira njema bila ya kujali ukubwa au udogo wake.
Pamoja na maneno mengi hasi na chanya, binafsi naamini vyama kama ACT Wazalendo na CUF, vina watu makini, wenye ushawishi, utashi na dhamira njema, na...
Wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji na wajumbe wa halmashauri ya kijiji kundi maalumu wanawake na mchanganyiko wameapishwa katika kata tofauti tofauti za wilaya ya Makete mkoani Njombe
Uapisho huo umefanyika leo Novemba 28, 2024 na kuongozwa na Hakimu Mkazi Denis Rwelamiba Mjwahuzi siku moja...
1. Ikiwa Bunge, Mahakama, vyombo vya ulinzi na usalama na kila kitu vipo mikononi mwa mtu mmoja:
Je, kuna demokrasia hapo?
Je, kuna haki hapo?
Kwa kifupi, ni kwamba kama mchakato mzima wa uchaguzi utaendelea kuratibiwa na wateule wa Rais, watendaji wa serikali na waajiriwa wa serikali iliyopo...
Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi mkubwa katika Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe, hasa katika Kijiji cha Goye.
Ushindi huu umeonyesha umaarufu na ushawishi mkubwa wa CHADEMA katika eneo hilo.
Ona namna shule, madaraja barabara na shule pia hospitali zinavyojengwa .
Je ni Mtanzania gani angechagua upinzani?
Hii ndio sababu ya wagombea CCM kupita bila kupingwa kwa asilimia 90.
Kwa uchafuzi uliotokea leo kwenye so called uchaguzi, Sahau kabisa kuwa kutakuwa na uchaguzi Tanganyika.
Diaspora isaidie nchi yetu maana kutokea kwa ndani si rahisi, kutokana na sheria walizozitunga za kuwakinga hata wauaji as long as walikuwa kweye bussiness ya uchafuzi
Kutokea hapa...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amepiga kura katika kituo cha shule ya msingi Dodoma Mlimani iliyopo Mtaa wa Salmini kata ya Tambukareli.
Baada ya kupiga kura amezungumza na Waandishi wa habari ambapo amewahimiza wakazi wa Dodoma kutimiza haki yao ya kikatiba kwa kujitokeza...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Iringa Mjini kimesusia uchaguzi wa serikali za mtaa kwa Kilee walichokiita kutoridhishwa na mwenendo mzima wa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Iringa mjini.
Akizungumza na Nuru Fm mwenyekiti wa Chama Cha Dermokrasia Na Mandeleo {Chadema} Jimbo...
Hellow people!! Hope mko salama sana na mnaendelea vizuri huko mlipo!
Leo ni siku ya uchaguzi, na nimebahatika kushiriki!!
Kwa ufupi sana naomba nitoe my observations:
👉Hakukua na uchaguzi bali hitimisho la kalenda ya utaratibu kwamba kama taifa Huwa tuna uchaguzi wa serikali za mitaa kabla...
TAARIFA KWA UMMA
Matukio mbalimbali ambayo yametolewa taarifa mpaka muda huu wa saa nne kamili asubuhi, leo tarehe 27 Novemba, 2024 siku ya kupiga kura, uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Mauaji
Tumepokea taarifa za viongozi wetu kuuwawa usiku wa kuamkia leo kama ifuatavyo:
1. Jimbo la Manyoni...
MBUNGE GHATI CHOMETE: CCM IMEJIPANGA VIZURI, LAZIMA ITASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 26 Novemba 2024 ahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwaombea kura wagombea wa CCM Wilaya ya Musoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.