Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jensita Mhagama (Mb) Peramiho, amewapongeza Wenyeviti wa Mashina na Kata kwa kazi nzuri wanayofanya ya kulinda na kukipigania Chama Cha Mapinduzi.
Pongezi hizo amezitoa wakati alipokutana na kufanya vikao na Wenyeviti wa Mashina...
https://www.youtube.com/watch?v=st-YFWzMvWQ
RAIS SAMIA: UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA WA HAKI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema haki, demokrasia, sheria na utawala bora utadumishwa kwa watu wote wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika...
Nielekee kwenye mada.
Naona mambo yanaendelea na joto linaendelea kukolea. Katika chama cha Mapinduzi kile kiitwavyo uhuru wa kugombea utaleta doa kwa wale wasiokubaliana na Mama. Wanauhuru kugombea na Mama lakini haiwezekani kujitokeza hadharani.
Hawa watafukia vichwa vyao ardhini hadi 2030...
MBUNGE CHEREHANI ATOA MADAWATI 975 YA MIL 63.3: MAADHIMISHO MIAKA 47 YA CCM
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kupitia Ofisi ya mbunge ametoa madawati 975 yenye thamani ya Shilingi 63,375,000 ili kuimarisha sekta ya elimu ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanafunzi wanakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.