uchaguzi serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. USSR

    Pre GE2025 CCM na vyama vingine vipo mitaani na mitandaoni kutafuta kura cha uchaguzi wa mitaa, CHADEMA wapo Mahakamani kupinga uchaguzi

    Wanahangaika mahakamani kupambania uchaguzi wa serikali za mitaa usimamishwe wenzao wako busy kusaka kura mtaa kwa mtaa huku wakijua mahakimu na majaji wote wanateuliwa kutoka CCM, watasubiri sana. Wapo mitandaoni kutukana viongozi wenzao wapo mitandaoni kusaka kura USSR
  2. Matulanya Mputa

    Pre GE2025 Tutegemee kuhama kwa wanasiasa baada ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa na pia atakayeongoza huo ndiye mshindi 2025

    Uchaguzi wa serikali za mitaa ni turufu kwa vyama vya siasa vyama hivyo ni CCM, CHADEMA, ACT-WAZALENDO hivi ndiyo vyama leo vinazungumzwa ata vijiweni. Japo nchi yetu kutokuwa na chaguzi za huru na haki kama ikitokea uchaguzi unakuwa wa huru na haki kwa 80 % basi tutakuwa tumepata uelekeo wa...
  3. B

    Ridhiwani Kikwete ashiriki ziara ya Katibu Mkuu wazazi- Bagamoyo, aeleza utekelezaji wa Ilani ya CCM na ushiriki uchaguzi Serikali za mitaa

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze lililopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ameshiriki kupokea Ugeni wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Cde Ally Salum Hapi katika wilaya ya Bagamoyo...
  4. Matulanya Mputa

    Pre GE2025 Kitendo cha Mahakama kwenda kutoa hukumu ya TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni kuzidi kubariki uovu wa CCM

    Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Maono yangu kwakua nimeoteshwa ni kwamba Mahakama na Jaji atakayetoa hukumu atatoa maamuzi ya...
  5. I

    Ili uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024 uwe wa haki, mambo kadhaa yanaweza kufanywa

    Ili uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024 uwe wa haki, mambo kadhaa yanaweza kufanywa: 1. Uwazi na Uadilifu wa Mchakato wa Uchaguzi. Vyombo vinavyosimamia uchaguzi, kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi, viwe na uwazi katika kuendesha mchakato wa uchaguzi kuanzia usajili wa wapiga kura, uteuzi...
  6. Black Butterfly

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 ulikuwa na utata mwingi sana. Unatarajia nini katika Uchaguzi wa mwaka huu (2024)?

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania mwaka 2019 ulikuwa tukio kubwa la kisiasa nchini, ambapo wananchi walichagua viongozi wa vijiji, mitaa, na vitongoji. Huu ulikuwa uchaguzi wa awali wa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Maandalizi na Uchaguzi Uchaguzi huu ulifanyika tarehe 24 Novemba...
  7. Subira the princess

    Pre GE2025 Ni mtu asiye kawaida anayeweza kuiamini hii tume ya uchaguzi isiyo huru

    Wasalaam. Ndugu zangu wadanganyika hakika sisi ni wadanganyika na tumekua tukidanganyika tangu kuanzishwa kwa vyama vingi vya siasa mwaka 1992. Hapo nyuma kulikua na chombo cha kusimamia uchaguzi kilichoitwa tume ya uchaguzi Tanzania ambapo viongozi wake wote walichaguliwa na mwenyekiti WA CCM...
  8. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Upinzani nchini hauna ngome wala uhakika wa kushinda hata kiti kimoja kwenye uchaguzi Serikali za Mitaa wala uchaguzi mkuu baadae mwaka ujao

    Ni bayana, Upinzani nchini mpaka sasa hawana ngome wala uhakika wa mahali au eneo la uchaguzi ambalo wanaweza kishinda hata kiti kimoja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu, na ule wa diwani au mbunge kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao... Kwenye nafasi ya Urais upinzani ni...
  9. Nyendo

    Pre GE2025 Rais Samia: Waacheni wajifunze, muda wao wa kuendesha dola bado

    Rais Samia akizungumza na wananchi wa kata ya Laela ,Wilaya ya Sumbawanga Vijijini Rukwa mesema leo tarehe 17 Julai 2024 ikiwa siku ya mwisho ya kukamlisha kwa ziara yake ya siku tatu "Wengine waacheni waendelee kujifunza bado wachanga, muda wao wakuendesha Dola bado Kabisa" "Lazima tuwe na...
  10. Roving Journalist

    LGE2024 RC Chalamila: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Dar kwa Uhuru na Haki

    "Rais Samia Suluhu Hassan ni mwana demokrasia wa kwanza katika Nchi yetu, kwahiyo ni wito wake kuwaomba watanzania na wana Dar es Salaam wote kuhakikisha Tunashiriki kwa kiasi cha kutosha ili tuweze kichagua Viongozi tunaowataka, na mwisho tuepuke malalamiko kwa kuchagua au kwa kutohusika...
  11. Roving Journalist

    LGE2024 Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro - Novemba 27, 2024

    HISTORIA FUPI Mkoa wa Kilimanjaro ulianzishwa rasmi mwaka 1963 kwa Tangazo la serikali Na.450 la mwaka huo ukiwa na wilaya za Kilimanjaro na Pare. Kabla ya Uhuru Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa ni sehemu ya Jimbo la kaskazini (Nothern Province) lililokuwa linaundwa na wilaya za Arusha na Mbulu...
  12. J

    Pre GE2025 Nini sababu ya Ushiriki mdogo wa Vijana katika Uchaguzi Tanzania?

    Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Uchaguzi ikiwemo Kugombea Nafasi mbalimbali na Kupiga Kura ni hatua muhimu za Kidemokrasia na huchangia kuleta Mabadiliko ya Mifumo ya Utawala Je, huwa unashiriki katika Michakato hiyo? Kama haushiriki ni kwasababu gani? Kwa maoni zaidi, shiriki katika...
  13. Richard

    Pre GE2025 Rais Samia na CCM wametimilisha msemo wa wahenga kwamba kelele za vyura kwenye dimbwi hazimzuii ng'ombe kunywa maji na ushindi ni lazima 2025

    Kabla ya kuanza uchambuzi wangu ningependa kutoa angalizo kuwa mimi siko upande wowote ule. Naandika maoni, uchambuzi au mapendekezo yanotokana na yale tunoyaona, kusikia na pia kuyasoma katika vyombo vya habari au mitandao ya kijamii. CCM chama tawala Tanzania tangu kuanzishwa kwake kimeshika...
  14. Kyambamasimbi

    Vijana wasomi mlioko mtaani, elezeni vilio vyenu kupitia uchaguzi serikali za mitaa 2024

    Katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa vijana chagueni viongozi watakaojua kuwa mko mtaani na mnachangamoto nyingi. Nawasilisha.
  15. Cute Wife

    Rasimu ya Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mtaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa Katika Mamlaka za Miji za Mwaka 2024

    Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mtaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa katika Mamlaka za Miji za Mwaka 2024. Pia soma: Je, umeziona na kuzisoma kanuni mpya za uchaguzi wa serikali za mitaa? Kanuni hizi zitatumika katika Mitaa yote iliyomo katika maeneo ya Mamlaka...
  16. S

    Pre GE2025 INEC yafafanua hoja ya TAMISEMI kusimamia Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Nimelia sana, nilipoiona hii taarifa. --- Kuna upotoshaji umeenea kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndiyo ina wajibu wa kuendesha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ibara ya Tano Ibara ya Tano, ibara ndogo ya tatu D, inasema, Bunge litatunga...
  17. R

    Pre GE2025 Je, umeziona na kuzisoma Kanuni mpya za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Nimejiuuliza zilipo kanuni za kusimamia uchaguzi wa serikali za mtaa. Nimezisaka mitandaoni na kwenye gazeti la serikali zijaziona. Lakini Mzee Lipumba na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi wanasema kanuni zipo tayari. Mwana CCM mwenzangu umeziona kanuni hizi mpya za uchaguzi? Nani amezitunga? Je...
  18. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025: Hizi ni Katiba mbali mbali za vyama

    Kazi kwenu wananchi na watia nia
  19. Nyendo

    Pre GE2025 Upi ushauri au maoni yako kwa anayekusudia kugombea nafasi yoyote nchini?

    Unamshauri nini au una maoni gani juu ya mtu yoyote anayekusudia kugombea nafasi yoyote ya uongozi nchini kufuatia uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa na Serikali kuu? Unamshauri nini azingatie na nini asijekirudia ambacho ulikiona kwa wagombea wengine kwenye chaguzi za nyuma? Mwaka huu wa 2024...
  20. J

    Pre GE2025 Chadema yaahidi Ushindi wa kishindo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Dar es Salaam

    Uongozi mpya wa Chadema DSM umeahidi Ushindi wa kishindo katika Uchaguzi wa Serikali za mitaa Ahadi hiyo imetolewa na viongozi wa Ilala, Kinondoni na Ubungo kwamba hakuna Mtaa utabaki CCM Baada ya Uchaguzi Source: Mwananchi ============== Dar es Salaam. Wenyeviti wapya wa mikoa ya kichama wa...
Back
Top Bottom