uchaguzi serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    LGE2024 Mahakama yaipa Ruhusa TAMISEMI kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Oktoba 28.2024 imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa Mahakamani hapo na Watanzania watatu (3) ambao ni Bob Chacha Wangwe, Bubelwa Kaiza na Dkt. Ananilea Nkya dhidi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa...
  2. T

    SI KWELI Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza nafasi za kazi uchaguzi serikali za mitaa

    Nmeona tangazo kwenye baadhi ya makundi huko mtandaoni kuwa Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza nafasi za kazi kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
  3. M

    LGE2024 Uandikishaji Daftari la Wapiga Kura umefanyika kihuni Halmashauri ya Songea. Baadhi ya wananchi wameandikiana majina

    Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa umefanywa ‘kihuni sana’ hapa Songea Moja ya changamoto kubwa ambayo niliiona katika mchakato wa Uandikishaji Wapiga Kura katika Daftari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mtaa ni Wananchi wengi kukosa elimu ya mchakato huo, hilo likachangia...
  4. Chachu Ombara

    LGE2024 Makalla: CCM ipo tayari kupokea matokeo yoyote ya uchaguzi Serikali za Mitaa

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, Amos Makalla akizungumza hayo leo Oktoba 22, 2024 wakati wa hafla ya kupokea taarifa ya zoezi la uandikishaji wa daftari la mkazi la uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa CCM ipo tayari kwa matokeo yoyote...
  5. Roving Journalist

    LGE2024 Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

    https://www.youtube.com/live/iqytGMZ2IcA?si=lDqC4sL9BZTHvY1J Muhtasari wa matokeo ya uandikishaji Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura. Hii ni sawa na asilimia 94.83 ya lengo la kuandikisha watu 32,987,579, ambapo wanaume ni takribani 15,236,772 sawa na asilimia...
  6. J

    LGE2024 Hamasa kubwa ya wananchi kujiandikisha, pongezi ziende kwa Rais Samia

    HAMASA KUBWA YA WANANCHI KUJIANDIKISHA, PONGEZI ZIENDE KWA RAIS SAMIA Nchi inayoongozwa katika misingi ya kidemokrasia inaamini kuwa kielelezo cha kwanza cha Demokrasia ni haki ya kuamua, yaani kuchagua au kuchaguliwa. Katika kuiishi imani hiyo, serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe...
  7. erasto Samwel

    Chadema shukeni ngazi za chini

    Ushauri wangu kwa Viongozi wa juu fanyeni juu chini mpeleke pesa ngazi za chini za chama za Mitaa na kata huko ndiko kuna kazi kubwa na zinahitaji pesa sana. Hizo nguvu za juu mzilete chini. Mfano mawakala wanahitaji pesa wanahitaji chakula ili zoezi liwezekane vizuri. Kuna maeneo mawakala wa...
  8. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Ndasaba Ruhoro ashuhudia ugawaji wa Miche ya Kahawa Ngara, ahamasisha kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    NGARA: MICHE YA KAHAWA YAGAWIWA KWA WANANCHI WILAYANI - NGARA Mhe. Ndasaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara amefika kwenye vitalu vya Kahawa na kushuhudia ugawaji wa Miche hiyo katika Vitalu vinavyopatikana katika Jimbo la Ngara ikiwa ni pamoja na kitalu cha Kata ya Nyakisasa kilichopo...
  9. K

    LGE2024 Simiyu: Watumishi NMB wahimizwa kujiandikisha orodha ya Wapiga Kura Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Prisca Joseph Kayombo amewahimiza watumishi wa Benki ya NMB na watumishi wengine wa Sekta binafsi Mkoani Simiyu kwenda kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura ili wapate haki yao ya msingi ya kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ametoa rai hiyo alipozungumza...
  10. K

    LGE2024 Je Wananchi wamegoma kujiandikisha Daftari uchaguzi serikali za mitaa? Na hii ni hali ilivyo baadhi ya vituo Wilaya ya Bariadi na Maswa

    Ni kama wananchi wamesusia hili zoezi linaloendelea kwa sasa, la kujiandikisa katika daftari la mkazi kwa ajili ya kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Swali hapa la kujiuliza Je? Wananchi wamesusia? Wananchi hawajui umuhimu wa hili zoezi? Je Wananchi wamekata tamaa kutokana...
  11. J

    LGE2024 Mchengerwa aonesha uadilifu wa kipekee kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 2024

    𝑵𝒂, 𝑺𝒂𝒊𝒅 𝑻𝒂𝒏𝒌𝒊𝒍𝒆. Tanzania inaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa novemba 2024, uchaguzi ambao ni kiini muhimu katika usimamizi na maendeleo ya jamii zetu. Katika maandalizi ya uchaguzi huu, 𝐖𝐚𝐳𝐢𝐫𝐢 𝐰𝐚 𝐎𝐟𝐢𝐬𝐢 𝐲𝐚 𝐑𝐚𝐢𝐬 𝐓𝐚𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐳𝐚 𝐌𝐢𝐤𝐨𝐚 𝐧𝐚 𝐒𝐞𝐫𝐢𝐤𝐚𝐥𝐢 𝐳𝐚 𝐌𝐢𝐭𝐚𝐚, 𝐌𝐡𝐞. 𝐌𝐨𝐡𝐚𝐦𝐦𝐞𝐝 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐧𝐠𝐞𝐫𝐰𝐚...
  12. Lugano Edom

    LGE2024 Tujitokeze kujiandikisha uchaguzi Serikali za Mitaa

    Ndugu zangu, wanajamii Forum TUJITOKEZE kwenye kujiandikisha daftari la wapiga kura serikali za mitaa na vijiji. Kwani Halichukui muda mwingi .. Majina yako matatu, miaka yako... Sahihi yako tu. Dakika moja tu unakuwa umeondoka.
  13. Suley2019

    LGE2024 Godbless Lema: Kata ya Igama Walimu wanawaambia Wanafunzi wasio na vigezo wajiandikishe

    Godbless Lema kupitia Akaunti yake ya Mtandao wa X anaandika na kuweka video inayodaiwa kuwa wanafunzi wa kata ya Igama (Njombe au Morogoro) wameagizwa na Walimu wao kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyia November 27, 2024. Tazama video hapo Juu. Post ya Lema hii...
  14. Hismastersvoice

    LGE2024 Uandikishaji huu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hauna tija, ni kupoteza wakati

    Leo mchana nimekwenda kujiandikisha kuhusiana na uchaguzi ujao wa serikali za mitaa, kuna jambo moja fikirishi ni, nini nia na madhumuni ya kuandikisha. Nimeandikwa jina langu, umri na nikaweka sahihi. Nilichoandikwa ni jina na umri tu! majina yetu hujirudia rudia, hapa sijui ni mkazi wa mtaa...
  15. Chachu Ombara

    Pre GE2025 Waziri Lukuvi atembea ofisi za ACT Wazalendo; Asema chaguzi zitakazofanyika wakati wa utawala wa Rais Samia zitakuwa zenye heshima, huru na haki

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Ndg. William Lukuvi akiwa ameambatana na Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mtungi leo 07/10/2024 ametembelea Ofisi za Makao Makuu ya ACT Wazalendo na kupokelewa na Kiongozi wa Chama Ndg. dorothy Semu aliyeambatana na Katibu Mkuu...
  16. and 300

    LGE2024 Wasanii watumike kampeni Uchaguzi Serikali za mitaa

    Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.
  17. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Rais Samia Kuzindua Rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa Oktoba 11, 2024

    RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa mnamo tarehe 11.10.2024 Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma. Taarifa hiyo...
  18. Mr Geniuz Km

    LGE2024 Vipi, mtaani kwako muamko kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024?

    Hali ya vyama vya siasa zikoje katika maeneo yenu katika uchaguzi huu mdogo wa Serikali za mitaa , na je , Muamko wa wananchi ni wakiwango gani?
  19. Cute Wife

    LGE2024 Ally Hapi: Vyama vingine ni watoto shughuli za watu wazima hawataziweza, uchaguzi serikali za mitaa Isaka Kahama chagueni CCM

    Wakuu, Watoto wadogo CHADEMA na wengine umejumbe umewafikia, mna nini cha kuoffer wananchi waone CCM ni pumba wawachague na kuwachagua nyinyi? ====== "Tushikamane na serikali yetu na chama chetu CCM katika chaguzi zinazikuja za serikali za mitaa, tuwachague wagombea wanaotokana na CCM...
  20. Cute Wife

    LGE2024 Ruvuma: Rais Samia asema wananchi wasifanye makosa Uchaguzi Serikali za Mitaa, rangi za kuchagua ni Njano na Kijani

    Wakuu, Kama Rais mwenyewe afanya kampenzi za uchaguzi wakati ambao sio stahiki, unategemea wanachama wenzake huko chini watafanya mambo tofauti? ==== Kafanyeni kweli kwenye serikali za mitaa. Zitakuja rangi nyingi kuwashawishi mpige kura lakini rangi yetu tunayoijua ni kijani na njano...
Back
Top Bottom