Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limesema ili kuhakikisha wananchi wanaitumia kikamilifu haki yao ya kuweka viongozi wanaowataka ni lazima kuwe na mfumo wa wazi, wa haki na unaowajibika katika kusimamia zoezi la uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa nchini, kwani madhara...
Baraza la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) limewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27. Wito huo umetolewa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo...
Wakuu,
Mbona ghafla kila sehemu wanaanza kuipongeza OR TAMISEMI? Yaani ni kama wote wamepewa script moja :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:, mbinu ni zile zile CCM hamjui kunyumbulika kabisa!
=====
Kupata mijadala kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special...
Salaam Wakuu,
Nimesikitishwa sana na Kitendo kilichofanywa na Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Siasa kinachogombea, kuingilia Mchakato wa Uchaguzi Serikali za Mitaa.
Huwa amekuwa akijipambanua Dunia na Chawa wake wameandika articles nyingi wakidai Dkt. Suluhu Hassan ni...
Wakuu,
Mchengerwa alitekeleza agizo la chama bana, kupuuzia haya mambo madogo madogo maana demokrasia yetu ni changa:BearLaugh: :BearLaugh:
Kupata habari za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika...
Wakuu,
Kazi kweliweli, huku Nchimbi anawaambia TAMISEMI walegeze kamba Demokrasia yetu bado changa, huku wanasema kila kitu kipo byeeee! Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
=====
Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za...
Wakuu,
Kwahiyo wale walioenguliwa kwa kigezo hiki wanakuwa ndio wamerudi kwenye kinyang'anyiro au ndio wameondolewa hivyo hivyo kwa uonevu?
====
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) imesema ujasiriamali ni kazi halali inayotambulika kiserikali, si sawa kutumika...
Kupitia andiko hilo la leo, Jumanne Novemba 12.2024 Kubenea ambaye ni mwanahabari nguli nchini na Mkurugenzi wa kampuni ya habari ya Mwanahalisi amedai kuwa kitendo cha vyama vya upinzani nchini kuendelea kushiriki uchaguzi huo ni sawa na kuhalalisha 'uhuni' unaoendelea, na hivyo kutahadharisha...
Wakuu,
Mambo ni moto kila sehemu, ni mwendo wa kuengua tu na kubakisha wa kupita bila kutoa jasho.
=====
Viongozi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Geita Mjini mkoani Geita, wamelalamikia kuenguliwa kwa majina ya wagombea wao wa nafasi za Uenyekiti...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wananchi wa Mbeya kuendelea kuiamini Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
Wakuu nikiri Mimi ni muumini wa haki bila kujali chama chochote Cha kisiasa.
Maslahi ya taifa na nchi yetu ndo muhimu zaidi kuliko maslahi ya chama au maslahi ya Kiongozi yoyote kwenye nchi hii
Nianze kunukuu maandiko ya Mfalme mwenye hekima aliyeandika na ukaingia kwenye maandiko Mtakatifu...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam Abas Mtemvu amewataka wanachama wa CCM wasioteuliwa katika kura za maoni kutulia na kuongeza nguvu kazi kwenye uchaguzi.
Mwenyekiti Mtemvu ameyasema hayo katika ziara ya Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
Wakuu,
Tambo zinazidi kurushwa, ni kweli watashinda, au mbeleko itasaidia washinde? Lucas Mwashambwa Tlaatlaah johnthebaptist
=====
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari...
Mamia ya wagombea wa vyama vya upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa ujao wameenguliwa kushiriki uchaguzi huo.
Chama cha ACT Wazalendo kimeripoti takribani asilimia 60 ya wagombea wake wameenguliwa kushiriki uchaguzi kwa sababu walizozitaja kukosa msingi wa kisheria na kanuni.
Kwa...
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN
YAH: CHANGAMOTO ZA UENDESHAJI WA ZOEZI LA UCHAGUZI NCHINI NA HASARA INAYOPATIKANA KWA TAIFA
Mheshimiwa Rais,
Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kuandika barua hii ya wazi kwako...
.nimepita mitaa mingi wananchi wanawaongelea na kuwajua wagombea wa CCM tu
.mitaa mingi haina ofisi za vyama vya upinzani
. CHADEMA tunafocus mambo hasi kama wizi ,wagombea kutokuwepo-wagombea ambao hata wananchi hatuwajui kuelekea uchaguzi baada ya kujikita katika zoezi zima .
.Kwa nchi...
WAGOMBEA 30 wa nafasi Uenyekiti kupitia Chama cha Wananchi( CUF) katika Wilaya ya Kinondoni wameenguliwa kugombea nafasi hiyo kwa madai ya kushindwa kujaza anuani kwenye fomu za kugombea.
Nipashe Digital imeshuhudia hali hiyo katika ofisi mbalimbali za mitaa zilizopo Wilaya ya Kinondoni...
Siku ya jana niliamua kwenda kuangalia jina langu kwenye ofisi husika kama tulivyoshauriwa, nilifika kwenye ofisi na kuzikuta karatasi zenye majina zikiwa zimebandikwa ukutani. Karatasi hizo zimeandikwa kwa kalamu yenye wino hafifu kwenye karatasi ya rangi hafifu ya njano hivyo kuyafanya majina...
Mtendaji wakitongoji cha Idugumbi kata ya utengule usongwe Jimbo la Mbeya vijijini amekimbia Ofisi nakuzima simu zake zote.
Kumekuwepo na huu mchezo ofisi za vijiji na mitaa kufungwa muda ambao wagombea wanahitaji kuchukua na kurudisha fomu. Hii ni mbinu ambayo inatumika kuweka ugumu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.