uchaguzi wa serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    LGE2024 Profesa Shivji ashangazwa na ripoti mpya ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ataja maeneo yaliyopwaya kwenye ripoti hiyo!

    Wakuu, Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Issa Shivji, amesema kuwa ripoti ya tathmini ya namna redio zilivyoripoti Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, iliyotolewa na Shule ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC), ilipaswa kuchambua mchakato mzima wa uchaguzi huo na...
  2. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Katibu Mkuu, ACT, Ado Shaibu: Kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tulikamata watu kadhaa wenye kura feki ikiwemo Polisi

    Kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tulikamata watu kadhaa wenye kura feki ikiwemo Polisi. Hakuna aliyechuliwa hatua. Hakuna hata faili la uchunguzi lililofunguliwa. Kwa ukimya wake juu ya jambo hili IGP anatuma ujumbe kuwa Polisi wanashiriki wizi wa kura" Ado Shaibu, Katibu Mkuu, ACT Wazalendo...
  3. John Manoni

    Kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, watendaji na viongozi wa CCM waliwatisha wananchi na kuwabebesha kura feki

    Wadau,anayedanganya kwamba CCM itaendelea kushinda uchaguzi kwa kura na siyo mtutu wa bunduki ni yule ambaye huwa anasinzia sinzia kama kuku wa kideri,akizinduka hupayuka payuka hivyo. Kwa uchaguzi wa wenyeviti Mitaa,vitongoji na vijiji, 2024,kama ambavyo hapakuwa na tofauti na 2019 na...
  4. Erythrocyte

    Pre GE2025 Napinga kauli za Rais Samia kwamba Uchaguzi wa Serikali za mitaa ulikuwa wa Utulivu na Amani

    Hata kama wanasema Mkubwa hakosei na wala hapingwi, lakini ni lazima ifahahamike kwamba Mungu amekataza Wanadamu kushiriki dhambi ya uongo. Na kwa vile Mimi namuogopa Mungu kuliko wanadamu nakataa uongo huu wa wazi bila kujali aliyeutoa ni nani. Hivi Uchaguzi ule ambao Wagombea wa Chadema...
  5. Mindyou

    Tabora: Viongozi wa dini wataka viongozi wapya wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa na hofu ya Mungu na kuwatendea haki wananchi

    Wakuu, Baadhi ya Viongozi wa dini katika kata ya Kigwa wilaya ya Uyui mkoani TABORA wametaka viongozi wa serikali za vijiji na vitongoji katika kata hiyo waliochakuliwa katika uchaguzi wa Serikali za mitaa mwezi uliopita kutenda haki na kuwa na hofu na Mwenyezi Mungu wakati wakitimiza majukumu...
  6. Mr Why

    CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake ili ajenge chama, usidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi

    CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake nyingi ili ajenge chama, msidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi Tundu Lisu ni kivuruge ni mwanasiasa mzuri sana lakini tatizo lake ana mdomo mrefu sana Kuweni na Heshima na Adabu mnapomzungumzia Mbowe Nani...
  7. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Issa Ussi Gavu: Ushindi wa CCM kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni juhudi za wanachama

    Wanachama wa CCM ndiyo ilikuwa silaha ya ushindi kwa chama chao. Mh lakini ukitupia kwa jicho la tatu je ni kweli wanachama pekee yao au kuna namna ilifanyika tangu mwazoni? ================== Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kuwa ushindi wa kishindo ulioupata kwenye uchaguzi wa Serikali za...
  8. The Watchman

    LGE2024 Maazimio ya mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    MAAZIMIO YA KAMATI KUU Baada ya kutafakari matukio hayo na mengine, Kamati Kuu ya Chama imeazimia mambo yafuatayo; 1. Kamati Kuu inatamka kwamba kilichotokea tarehe 27 Novemba, 2024 hakukuwa na uchaguzi halali, huru na haki bali uporaji na uhalifu wa kiuchaguzi. 2. Kamati Kuu inalaani mauaji...
  9. Pascal Mayalla

    Pongezi CCM, kwa Ushindi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Pongezi Pia Upinzani kwa kidogo mlichokipata, muwe na shukrani ili 2025 mpatiwe kikubwa!

    Wanabodi, Makala yangu gazeti la Nipashe ya leo 01/12/2024. Paskali
  10. Mindyou

    LGE2024 ACT Wazalendo wamsimamisha kazi kiongozi aliyesifia na kupongeza mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Haya jamani mliokuwa mnasema kuwa ACT Wazalendo ni CCM B mna salamu zenu hapa. Nimeona hivi karibuni Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Jimbo la Momba, Himid Yaled Siwale amesimamishwa uongozi kutokana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, akipongeza kuwa Uchaguzi wa Serikali za...
  11. Mindyou

    Mke wa mgombea wa CHADEMA Manyoni : Nilimwambia Polisi naomba usimuue mume wangu lakini alimpiga risasi nne

    Wakuu, Nimekutana na video ya mke wa Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed akielezea namna ambavyo polisi walimkamata na kumuua mume wake kwa kumpiga risasi nne. Mama huyu anasema kuwa aliwaomba polisi wasimuue mumewe...
  12. Gabeji

    Prof. Mkumbo ameshindwa kujibu maswali ya Boniface wa CHADEMA kwenye mdahalo wa Tathimini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Tathmini ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana chini ya kituo cha Star TV, uliongozwa na Chief Odemba. CHADEMA iliwakilishwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface, CCM iliwakilishwa na Prof. Mkumbwa, na ACT Wazalendo walikuwa na Makamu Mwenyekiti wao. Prof., kwa akili kabisa...
  13. L

    LGE2024 Lissu Alitaka CHADEMA Ishinde uchaguzi Kupitia Kura ya Nani Wakati yeye Mwenyewe Hakupiga Kura?

    Ndugu zangu Watanzania, Unajua kuna watu na wanasiasa hapa Nchini wanaweza kufikiri watu wote ni wajinga kama wao au watu hawana akili au watu hawajitambui au watu ni Manyumbu au kufikiria labda watanzania ni vichaa na mambumbumbu. Hivi inaingia vipi akilini kwa mtu mwenye akili Timamu na...
  14. Mindyou

    LGE2024 Zitto Kabwe: Tunatangaza kususia ofisi za viongozi wote waliochaguliwa kwa kura bandia mpaka Uchaguzi ufanyike upya

    Wakuu, Baada ya purukushani na kuwepo kwa vitendo vya wizi na udanganyifu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo amewahimiza wananchi kususia na kugomea viongozi wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa Zitto amesema kuwa hakuna haja ya wananchi kuzipa imani...
  15. Bams

    Wananchi Wawakatae Viongozi wa kupachikwa

    Kila mmoja ameshuhudia jinsi uchaguzi wa Serikali za mitaa ulivyoharibiwa na taasisi za usimamizi. Ni dhahiri kulifanyika maandalizi ya kutosha toka mwanzo kuuharibu uchaguzi huu, ndiyo maana kuliwekwa mpaka kanuni za kuwalinda watakaoharibu uchaguzi. Wananchi wana haki ya kuwakataa na...
  16. Mohamed Said

    LGE2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mzimuni Yamejirudia ya Mwaka wa 2020

    UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA MZIMUNI YAMEJIRUDIA YA MWAKA WA 2020 https://fb.watch/w8Q90VtSG-/ Nimefika kituoni kwangu Magomeni Mapipa Shule ya Mzimuni kupiga kura saa tatu asubuhi na nilikutana na vurugu. Kulikuwa na shutuma kuwa kuna kitabu cha wapiga kura kimeghushiwa na kuna watu...
  17. Don Gorgon

    LGE2024 Dodoma: Wenyeviti 36 na wajumbe wa serikali za mitaa 180 waapishwa Halmashauri ya Mji Kondoa

    Wenyeviti 36 na wajumbe wa serikali ya mitaa 180 katika Halmashauri ya Mji Kondoa Mkoani Dodoma wameapishwa tayari kuanza kutekeleza majukumu yao katika serikali za mitaa. Akizungumza baada washindi hao kula kiapo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kondoa Mji, Majaliwa Said amewaasa viongozi hao...
  18. Waufukweni

    LGE2024 Wenyeviti na Wajumbe 1,953 wa Manispaa wala kiapo cha Uadilifu baada ya kushinda Uchaguzi

    Jumla ya wenyeviti na wajumbe 1953 leo Novemba 28.2024 wameongozwa kula kiapo cha uaminifu na uadilifu na Hakimu Mkazi Mahakama ya Mwanzo Illuminata Lutakana mara baada ya viongozi hao kushinda uchaguzi uliofanyika Novemva 27 mwaka huu. Akizungumza baada ya zoezi la hilo liliofanyika katika...
  19. B

    LGE2024 Mara: Watu wasiojulikana wavunja ofisi ya kijiji na kuiba masanduku ya kura

    Watu wasiojulikana wamevunja ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Nyandewa na wengine kuiba masanduku ya kura na kutokomea nayo kisha kuyatelekeza porini huku watu watano wakikamatwa baada ya kukutwa na silaha mbalimbali, ikiwamo panga na visu kwa lengo la kufanya uhalifu katika zoezi la Uchaguzi wa...
  20. P

    LGE2024 Polisi watoa ufafanuzi kuhusu zoezi la uchaguzi Njombe

    Wakuu, Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe limetoa ufafanuzi kuhusiana na Zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo lilifanyika tarehe 27.11.2024 mkoani Njombe. Ni kwamba Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe lilijipanga vema katika kushughulikia matukio yote ambayo yanahusiana na masuala...
Back
Top Bottom