Wana Jukwaa!
Tukiwa tunasubiri muda wa asubuhi kwenda kupiga kura katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa ambao unafanyika leo Novemba 27, 2024.
Kuna hii video imenishangaza na kujikuta nacheka na kutafakari sana. Ambapo inawaonyesha makanda wa CCM wakiwa nyumbani kwa mtu wanaosha vyombo na...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo na Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Amina Ali Mzee wameendelea na Kampeni Mkoa wa Arusha huku wakiwaombea Kura kwa Wananchi Wenyeviti wa Mitaa, Vijiji na Vitongoji wanaotokana na CCM ili CCM ishinde kwa kishindo nchi...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye katika eneo la Kiwalala katika Jimbo la Mtama Mkoani Lindi, amefunga mkutano wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoani Lindi na kuwataka Wananchi wajitokeze kwa wingi kesho kupiga kura huku akionesha...
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Cherehani Emmanuel ameendelea na ziara ya kuwafikia Wananchi katika maeneo yao kutoa hamasa kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji Jimboni kwake ambapo leo mbali na kuwanadi wagombea ameshiriki pia shughuli za kilimo na Wananchi wa Kijijii cha...
Katibu wa siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Katavi Ndg.Teonas Revocatus Kinyonto Amewaomba wananchi kuchagua viongozi walioletwa na Chama cha Mapinduzi kwani wameandaliwa kuwa viongozi watakaotanguliza maslahi Mapana ya wananchi katika Maeneo yao.
Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo na Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Alexander Mnyeti, amewataka wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kesho kupiga kura kama walivyojiandikisha.
Akizungumza katika Kata ya Usagara wakati akifunga kampeni za Chama...
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Aliyekuwa kada wa CHADEMA Mch. Peter Msigwa amewaomba radhi wanachama wa CCM kwa maneno aliyokuwa akiyasema wakati akiwa upinzani.
Msigwa amesema, "CCM niwaombe radhi kwa maana nilikuwa mtata sana, ni kama yule kipofu Nilikuwa kipofu sasa naona, kama...
Halmashauri ya Lushoto imebidi kuongeza vituo vya kupigia kura 64 katika maeneo mbalimbali kutokana na kuwepo malalamiko ya baadhi ya wananchi kuwa kuna sehemu vituo vipo mbali na hawataweza kufika huko.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya...
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wametakiwa kutojihusisha vitendo vya Uvunjifu wa amani katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na badala yake Wajitokeze kupiga kura kwa kuwachangua viongozi wa Serikali za Mitaa ili waweze kusimamia shughuli za maendeleo katika Maeneo yao.
Soma Pia: Special...
📍Bukoba_Kagera
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Comred Faris Buruhani, amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Kagera kwamba vijana wa Chama Cha Mapinduzi watakuwa mstari wa mbele katika kulinda na kudumisha amani na utulivu kabla, wakati na baada ya zoezi la upigaji kura litakalofanyika kote...
Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Mhe. Sebastian Simon Kapufi wakati akiwaombea kura katika Kampeni wagombea wanaotokana na CCM amewashukuru Wananchi wa Mpanda Mjini kwa kuwaamini wagombea wa CCM kwani inaonyesha wanakubalika katika maeneo yao.
"Wananchi wote itakapofika tarehe 27 Novemba, 2024...
Wakuu,
Nimelia sana baada ya kuona picha hii ya Tundu Lissu akiwa anahutubia huko Singida.
Najua kuendesha chama cha siasa Tanzaniani ngumu hasa upande wa kifedha lakini ifike hatua mjipe thamani kama Chama Kikuu Cha Upinzani.
Hivi inakuwaje mtu mzito kama Tundu Lissu mnamsimamisha kwenye...
Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini, Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wananchi kuchagua Viongozi wenye uwezo wa kushughulika na changamoto zao kwa urahisi ili kuweza kuwaletea...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (CCM) Mkoa wa Geita , Manjale Magambo amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu wanauita ni Uchaguzi maalumu ambao utakwenda kuvizika vyama vya upinzani.
Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara...
Wakati God bless Lema wa Arusha na Pambalu wa Mwanza wakiendelea kulialia, Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu yuko Ikungi Singida na mambo yanakwenda vizuri
Kadhalika mkoani Mbeya mh Sugu anaendesha seminar ya Mawakala na wanakwenda vizuri
Suphian Juma naye yuko Ikungi bampa to bampa...
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewataka wananchi mkoani Lindi kujitokeza katika uchaguzi WA serikari za mtaa ili kuchagua viongozi watakao waongoza katika awamu ijayo.
Kassim majaliwa amesema hayo mkoani Lindi katika uwanja WA Majaliwa stadium katika fainali za Jimbo cup ambapo fainali...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Simiyu Ndg.Shemsa Mohamed ameendelea na ziara yake yenye jina la Siku Saba za Moto ambapo tarehe 25 Novemba, 2024 aliweka kambi katika Jimbo la Kisesa akitembelea Kata ya Bomani ,Kata ya Isengwa na Mwasengela.
Ndg.Shemsa amekutana na kuzungumza na...
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka wadau wa uchaguzi kuendelea kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali iliyowekwa kwaajili ya Kusimamia shughuli za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mrindoko ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake...
Mbunge Viti Maalum Arusha mjini Catherine Magige, Amewahasa wananchi wa Kata ya Endamariek Kijiji Cha Endamariek wilayani Karatu kushiriki kwa Ukamilifu katika zoezi la upigaji wa kura za ndiyo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024.
Amewahasa wananchi hao...
Inajulikana wazi kuwa CCM hawawawezi CHADEMA katika sanduku la kura, hivyo imeweka nguvu kubwa kwenye figisu na dhulma.
CCM tayari wameonesha taa nyekundu ktk hatua za mwanzo kwa kuwaengua wagombea wa chadema 16,0000, na baada ya rufaa wagombea 5,000 tu ndiyo wamerejeshwa. Pia viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.