KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amoss Makalla ameitaka Chadema kuacha visingizio vya kulalamikia wagombea wake bali iseme ukweli kuwa haikufanya maandalizi kuingia katika Uchaguzi wa serikali za mitaa.
Pia, amesema chama hicho...
Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Balozi , Dk. Pindi Chana amekinadi Chama cha Mapinduzi huku akiwaomba wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024.
Ameyasema hayo katika Mkutano wa hadhara...
CHADEMA iliingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu 2024 ikiwa na malengo mawili.
Kwanza CHADEMA walikusudia kuonesha kwamba kwa kutumia mfumo huu wa uchaguzi unaopendelewa na CCM, uchaguzi hautakuwa huru wala wa haki.
Jambo la pili ambalo CHADEMA walikusudia kuonesha ni kwamba...
Wakuu,
Mbona kama kuna watu wame-targetiwa kutokana na tangazo hili?
Jeshi la polisi mkoani Kagera limewataka wananchi wa mkoa huo kushiriki uchaguzi wa serikali za mtaa kwa utulivu kwakuwa limeimarisha ulinzi na usalama kwenye maeneo yote ya mkoa huo kuelekea kwenye siku ya uchaguzi huo...
Kuna maeneo utaona sijui chauma, UDA ,ACT n.k
Vinaweza kupewa baadhi ya vijiji au ubalozi..
Ili kufukia mashimo nchi ionekane ina demokrasia..
Ila once again CHADEMA poleni
Hii itakuwa zaidi ya 2020..
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kitongoji cha Madiga, Kijiji cha Darajani, Kata ya Kipatimu, Jimbo la Kilwa Kaskazini, Mkoa wa Lindi, Katibu Mkuu Kiongozi wa Baraza Kivuli la Mawaziri la ACT Wazalendo, Idrisa Kweweta amewataka Wananchi kuikataa CCM kwa vitendo.
Soma...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza na wanahabari leo, Jumatatu Novemba 25.2024 ametoa wito kwa wakazi wa jiji hilo waliojiandikisha kwenye daftari la mkazi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Novemba 27.2024 ili kuchagua viongozi wa serikali za mitaa wanaowataka.
Sambamba...
Mbunge wa Jimbo la Pangani na Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameendelea na kampeini jimboni Pangani katika kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Aweso akiambatana na wajumbe wa kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Pangani ameendelea kuwanadi wagombea wa CCM kata kwa kata na kijiji kwa kijiji huku...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukisikia chama kiongozi basi hii ndio Maana yake.Ambapo CCM imeonyesha ukubwa wake , umadhubuti wake,uimara wake na uhodari wake katika kuwafikia wananchi.kwa hakika siasa ni sayansi na CCM imethibitisha wazi kuwa ni bingwa wa sayansi ya siasa katika Nchi hii,kikanda na...
Kauli za kishujaa zinazidi kutawala kutoka kwa viongozi wa CHADEMA. Hii ni kuwajengea kujiamini wananchi katika kipindi hiki cha uchaguzi wasibabaishwe na watu wenyenia ya kuharibu uchaguzi.
==================
Mwenyekiti wa CHADEMA @chadematzofficial Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, amesisitiza...
Bado siku moja kutoka sasa kuelekea katika siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika Novemba 27, 2024.
Wagombea kutoka vyama mbalimbali wamendelea kunadi sera zao na Ilani ya chama ili wananchi wakafanye hukumu yupi anafaa kuwa kiongozi katika Kitongoji, Kijiji, au Mtaa wao...
Wakuu,
CCM wameendelea kutoa tambo na confidence waliyonayo katika kushinda Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa.
Soma pia: Msimamizi wa Uchaguzi Njombe: Hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga zoezi la uchaguzi
Kwenye kampeni za CCM za kuwanadi wagombea wote wa kijiji cha Tandala wilayani...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, amewataka wananchi wa mtaa wa Kampuni, kata ya Misunkumilo, Mpanda Mjini, kujitokeza kwa wingi na kufanya maamuzi sahihi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Soma pia: Mwenyekiti CHADEMA Katavi...
Wakuu,
Vuguvugu la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa limeendelea kuwa kali.
Hivi karibuni Dotto Biteko ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya (CCM) Taifa ametoa tahadhari kuwa hata kama vyama vya upinzani vimeahidi kutojitoa kwenye Uchaguzi lakini bado vitapigwa tu.
Soma pia...
Wakuu,
Akiwa kwenye kampeni siku ya leo Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema CHADEMA haitosusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu kama ilivyosusa mwaka 2019 na kusema pamoja na changamoto za kuenguliwa kwa Wagombea wao bado wataendelea kushiriki Uchaguzi huo.
'Tuliwasusia...
"Kama mnavyosikia kote wagombea wameenguliwa hata hapa kwetu Ikungi hali ni hivyohivyo, lakini mwamba huu hapa Tundu Lissu umefanya kazi na kazi ya wananchi mwakani nikuchagua Diwani, Ubunge lakini Rais tunaye ambaye ni Tundu Lissu" Mzee, Jumanne Mwiko Kuahanya maarufu kama (Waodimo) kutoka...
Ukitazama hii picha kiongozi huyu ameonyesha hisia na hamasa kubwa katika kuhakikisha anatimiza majukumu yake bila kujali hali aliyokuwa nayo.
Nyie! kuna watu wanavipenda vyama vyao katika kila mazingira.
==============
Katibu Mwenezi wa Kata ya Iganjo, mkoani Mbeya, Muhamed Mwanitwe akiwanadi...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Pamoja na Mikutano kadhaa aliyohutubia leo, Mwenyekiti wa Chadema amefika Mbalizi na kuwaomba wananchi wachague Wagombea wa Chadema ili kuepuka laana ya Mungu
Wakati CHADEMA ikipita huku na kule kuomba Kura Wao wanahangaika kuomba Msamaha
Swali ni Je...
Kwa ngazi ya viongozi wa serikali za mitaa ndio msingi wa kuja kupata wabunge ambao wataisimamia vyema serikali.
Tukiwa na bunge imara lenye meno tutaweza kuisimamia serikali.
Njia pekee ni kuichagua CHADEMA na si wapinzani wengine.
Viongozi wa serikali za mitaa watatengeneza njia ya kupata...
Video: Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Suphian Nkuwi akiwanadi wagombea wa serikali za mitaa kupitia CCM Kitongoji cha Ikungi, Novemba 23, 2024.
Suphian Nkuwi amesema CHADEMA imebarikiwa maneno matupu lakini CCM imebarikia Maji, umeme, barabara, afya, elimu bora.
Soma Pia:
Singida: Wagombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.