uchaguzi wa serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. maganjwa

    Pre GE2025 Nini mipango ya CHADEMA uchaguzi Serikali za Mitaa?

    Mimi nawasalimu wote humu ndani Imani yangu mko salama Nauliza tu je CHADEMA wamejipangaje kushinda uchaguzi serikali za mitaaa? Muda unayoyoma na hakuna mabadiliko kwenye daftari ya wapiga kura wanashindaje uchaguzi? Wameandaaa mfumo Gani Kwa Kila Kijiji CHADEMA kupata kura Tanzania...
  2. A

    Pre GE2025 Hivi CCM huwa wanashindana na nani kwenye uchaguzi?

    1. CCM nao wanachekesha Sana aisee. Yaan eti nao wanajipanga Kwa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 mbona 2019 waliachiwa viti vyote nchi nzima? 2. Panic ya nn mwaka huu. Watulie kusubiri "kutangazwa" washindi bila kupingwa.
  3. ChoiceVariable

    Pre GE2025 Kwanini Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Usihusishe na Diwani?

    Diwani ni Kiongozi wa ngazi ya Serikali za Mitaa,iweje awe sehemu ya Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge ambao wanawakilisha ngazi ya Taifa? Madiwani ni kama Wabunge wa ngazi za Mamlaka ya Serikali za Mitaa ,sasa iwaje tuwe tunawacuagua uchaguzi Mkuu. Binafsi Huwa siwajua wagombea udiwani Kwa...
  4. Roving Journalist

    LGE2024 Matukio Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa wa Mbeya

    Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mkoa iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watukatika Mkoa wa Mbeya ni 2,343,754; wanaume 1,123,823 na wanawake 1,219,926 Mji wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni Waingereza mnamo...
  5. Roving Journalist

    LGE2024 Matukio Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Iringa

    Iringa ni mkoa uliopo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, kati ya latitudo 6.540 na 100, na longitudo 33 na 37° Mashariki. Mkoa huu unachukua eneo la kilomita za mraba 58,936. Iringa ni mji wenye mandhari mazuri, uliopo katikati ya sekta ya chai nchini Tanzania. Umejengwa kwenye mteremko wa...
  6. Roving Journalist

    LGE2024 Matukio Yaliyojiri Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Rukwa

    Mkoa wa Rukwa ulianzishwa mwaka 1974 baada ya kugawanywa kutoka mikoa ya Tabora (Mpanda) na Mbeya (Sumbawanga). Mwezi Julai 2010, Serikali ya Awamu ya Nne iligawa Mkoa wa Rukwa na kuanzisha Mkoa mpya wa Katavi. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu...
  7. Roving Journalist

    LGE2024 Matukio Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Katavi

    Mkoa wa Katavi una Halmashauri tano (5) na majimbo ya uchaguzi matano (5) ambapo Jimbo la Mpanda Vijijini linaongoza kwa kuwa na watu wengi (371,836) likifuatiwa na Jimbo la Mpanda Mjini (watu 245,764). Jimbo lenye idadi ndogo ya watu ni Katavi ambalo lina watu 118,818. Matokeo ya Sensa ya Watu...
Back
Top Bottom