uchaguzi wa serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    LGE2024 Umejiandikisha? Jambo gani kubwa umekumbana nalo likakushangaza?

    Mimi: Niliulizwa JINA, JINSIA na UMRI tu. Sikuombwa details nyingine zozote zaidi ya hizo. Hivi, tuko serious kweli?
  2. Subira the princess

    LGE2024 Ukweli mchungu, CHADEMA wameshashindwa uchaguzi kabla ya uchaguzi wenyewe

    Wasalaam Nitasema kidogo tu tena kwa ufupi kabisa. Kwa mtu mwenye akili timamu ukiangalia uandikishaji wa wapiga kura katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa utaona wazi kwamba CCM wameandikisha wapiga kura wengi karibu nchi nzima. Hapa haijalishi wametumia mikono au miguu ila wanefanikiwa...
  3. Mindyou

    LGE2024 Kigoma: Wakala wa CHADEMA arushiana maneno na Afisa uandikishaji baada ya kukatazwa kugusa daftari lenye orodha ya waliojiandikisha

    Wakuu, Kuna hii video kutokea huko Kasulu mkoani Kigoma inayomuonesha Afisa mwandikishaji ambaye amebainisha kuwa amepewa marufuku na TAMISEMI kwamba mawakala wa upinzani hawatakiwi kugusa daftari la orodha ya wapiga kura. Mvutano wa wawili hao umesababisha mabishano makubwa kati yao! Soma...
  4. Mindyou

    LGE2024 Mwenyekiti wa UVCCM, Mohamed Kawaida amvaa Lema wa CHADEMA. Aitaka TAMISEMI iendelee kusajili wanafunzi kwenye daftari!

    Wakuu, Baada ya kuwepo kwa concern kutoka kwa wadau mbalimbali kwamba wanafunzi wanatolewa madarasani ili wakaandikishwe kwenye daftari, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Kawaida amejitokeza kutetea sakata hilo. Kawaida alisema kuwa ni sahihi kwa wanafunzi kuandikishwa ili wakapige kura iwapo...
  5. Mindyou

    LGE2024 Shinyanga: Mwanafunzi wa miaka 16 akutwa na wakala wa CHADEMA akiwa anajiandikisha kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Apigwa maswali mazito!

    Wakuu, Hii ni video nimekutana nayo huko mtandaoni yaani X ambapo wakala huyu wa CHADEMA alikutana na mwanafunzi huyu wa miaka 16 akiwa anataka kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura. Baada ya kuhojiwa maswali mawili matatu, dogo kaanza kujing'ata ng'ata. Tukio hili limetokea huko...
  6. J

    LGE2024 Mchengerwa aonesha uadilifu wa kipekee kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 2024

    𝑵𝒂, 𝑺𝒂𝒊𝒅 𝑻𝒂𝒏𝒌𝒊𝒍𝒆. Tanzania inaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa novemba 2024, uchaguzi ambao ni kiini muhimu katika usimamizi na maendeleo ya jamii zetu. Katika maandalizi ya uchaguzi huu, 𝐖𝐚𝐳𝐢𝐫𝐢 𝐰𝐚 𝐎𝐟𝐢𝐬𝐢 𝐲𝐚 𝐑𝐚𝐢𝐬 𝐓𝐚𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐳𝐚 𝐌𝐢𝐤𝐨𝐚 𝐧𝐚 𝐒𝐞𝐫𝐢𝐤𝐚𝐥𝐢 𝐳𝐚 𝐌𝐢𝐭𝐚𝐚, 𝐌𝐡𝐞. 𝐌𝐨𝐡𝐚𝐦𝐦𝐞𝐝 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐧𝐠𝐞𝐫𝐰𝐚...
  7. Mindyou

    LGE2024 Zoezi la Uandikishaji wa wapiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umefikia asilimia 45. Tanga yaongoza!

    Waziri wa TAMISEMI , Mohamed Mchengerwa, ametangaza kuwa uandikishaji wapiga kura wa serikali za mitaa umefikia asilimia 45 ya idadi ya watu wanaostahiki kushiriki tangu zoezi hilo lilipoanza tarehe 11 Oktoba 2024. “Kufikia jioni ya tarehe 14 Oktoba 2024, siku nne tangu kuanza kwa zoezi hili...
  8. Mindyou

    TAMISEMI wajitafakari! Tazama wanafunzi wa under 18 wakiwa wanapangishwa mstari mchana kweupe ili wakajiandikishe kupiga kura!

    Wakuu, Nikiwa napiga round mbili tatu mtandaoni nimekutana na video hii ambapo wanafunzi waliotajwa kutokea shule ya sekondari wakiwa wanapangishwa mstari wakajiandikishe kupiga kura. Mbaya zaidi kwenye hii video, huyu mzungumzaji anasema kuwa wanafunzi hao sio wakazi wa eneo hilo! Mbona...
  9. Waufukweni

    LGE2024 Waziri Mchengerwa atangaza tarehe ya kuchukua na kurudisha Fomu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, siku zaongezwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, ametangaza rasmi tarehe ya kuchukua na kurejesha fomu za kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa ni kuanzia tarehe 26 Oktoba hadi Novemba 1, 2024. Mchengerwa amewasihi wananchi wote wenye sifa za kugombea, kama...
  10. kichongeochuma

    LGE2024 Serikali itoe elimu kuelimisha wananchi umuhimu wa kujiandikisha, huo utaratibu wa kuwafata majumbani kuwaandisha haulisaidii taifa

    Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha , Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana ambulia matusi na kejeli na pia haiwajengei wananachi utaratibu wa kuona ni wajibu kujiandikisha na...
  11. J

    LGE2024 Shekhe Bashiri Abdala wa CHADEMA akosoa zoezi la uapishaji Mawakala Tarime

    Kuna figusi zinaendelea kila mahali tunapoelekea uchaguzi serikali za mitaa. Msikilize Shekhe Bashiri Abdalla Mwenyekiti wa Chadema Tarime mjini akielezea kinachoendelea. PIA SOMA - LGE2024 - Wananchi wahimizwa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Tarime mji
  12. Mindyou

    LGE2024 Godbless Lema: Nendeni mkajiandikishe ili wakishinda kwa wizi, tujue wameshinda kwa wizi!

    Kada wa CHADEMA, Godbless Lema akizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni amewataka wananchi kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, licha ya changamoto za ukiukwaji wa taratibu na sheria. Soma pia: Lema wa CHADEMA afichua madudu mazito kwenye zoezi la uandikishwaji wa...
  13. Mindyou

    LGE2024 Lema wa CHADEMA afichua madudu mazito kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Asema Serikali inaiba Uchaguzi

    Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akiongea na wanahabaru hivi karibuni amezungumzia namna ambavyo kumekuwa na hujuma kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa. Lema amesema kuwa kuna baadhi ya viongozi wa serikali wanafanya mbinu ikiwemo...
  14. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Vijana Jitokezeni kwa Wingi Kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa - Mbunge Tauhida Gallos Nyimbo

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewaomba Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mwera kushirikiana na Viongozi wao ili waweze kuwaletea maendeleo. Akikabidhi vifaa vya ujenzi ikiwemo Mifuko ya Saruji na Mchanga katika Tawi la CCM...
  15. Erythrocyte

    LGE2024 Kama umekuta kituo cha Kuandikisha Wapiga kura hakina Wakala wa Chadema Toa Taarifa kupitia uzi huu, nitafikisha kwa Wahusika

    Yeyote aliyeona Kwenye Kituo chochote Tanzania labda Hakuna Wakala wa Chadema, Basi atoe Taarifa kupitia Uzi huu (Siyo PM), Mimi nitawasiliana na Viongozi wa Chadema kwa njia mbalimbali na kuwapa Taarifa haraka iwezekanavyo. Au kama umemkuta Wakala wa Chadema ana shida yoyote kituoni hapa, iwe...
  16. Chachu Ombara

    LGE2024 Ado Shaibu: Wasimamizi wa vituo vya uandikishaji wapiga kura kuwanyima mawakala kujua idadi ya waliojiandikisha ni bomu

    Katibu Mkuu chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema kuwa utaratibu wa wasimamizi wa vituo vya kuandikisha wapiga kura kuwanyima mawakala haki ya kujua idadi (orodha) ya wapiga kura waliojiandikisha siku husika ni bomu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27...
  17. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Mahakama Kuu Kanda ya Songea yatoa mafunzo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mahakimu wa Mkoa wa Ruvuma

    Mahakama Kuu Kanda ya Songea imetoa mafunzo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa waheshimiwa mahakimu wakazi kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma. Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Huntlcub Ruhuwiko mjini Songea,yamefunguliwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu...
  18. Erythrocyte

    LGE2024 Vijana wa CHADEMA Waingia mitaani Kuhamasisha Wananchi kujiandikisha

    Hili ni jambo ambalo baadhi ya Wale wengine wamenuna. Vijana hawa wanafanya kazi hii iliyopaswa kufanywa na TAMISEMI huku Waziri wa Wizara hiyo akizunguka na Diamond huko Ikwiriri wakitafuta Eneo la kujenga Ukumbi wa Burudani. Soma Pia: Wito kwa Vijana wote wa Tanganyika, kujiandikisha...
  19. Roving Journalist

    Pre GE2025 Tofauti ya Daftari la Kudumu la Wapigakura na Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa

    Kwa ufahamu tu: Tofauti kati ya Daftari la Kudumu la Wapigakura na Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa Daftari la Kudumu linasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa ajili ya Kumchagua Diwani, Mbunge na Rais kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa...
  20. J

    Pre GE2025 CCM itatoka Madarakani pale tu itakapochokwa na wananchi lakini siyo kwa kuzidiwa Mbinu za Siasa na Vyama vya Upinzani!

    Huko Ndio Ukweli CCM ina mikakati mipana sana Muda mfupi uliopita nimepigiwa Simu na Mjumbe wa Nyumba 10 akinijulisha Uandikishaji Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Umeanza Leo na anesema " chonde chonde Komredi sambaza ujumbe kwa Wananchi wote Wenye mapenzi mema na CCM" Sasa Ndio...
Back
Top Bottom