uchaguzi wa serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chakaza

    Wanaoharibu haki Yetu ya uchaguzi na waibao Kura, nisawa na vibaka je tuwaadhibu kivyetu vyetu?

    Jambo la Haki ya Kuheshimu Uchaguzi wa Viongozi na Uchaguzi wenyewe Linafanyika ulimwengu wote wa wastaarabu. Wafanyao hivyo mfano kwa uchaguzi huu wa serikali za mitaa ambako Watendaji wa Kata, viongozi kadhaa wa vyama na wagombea wao wanashiriki kuhujumu wananchi wasitumie demokrasia kuchagua...
  2. Torra Siabba

    LGE2024 Wakazi Isawima Tabora wataka kura za Maoni Zirudiwe

    EBigambo Byaba Bingi Muno hahaaaa Masenior wenzangu, Nilikua kwenye pita pita zangu hapa Kaliua Eneo maarufu kama Isawima nikakutana na Malalamiko ya wananchi ambao wanalalamikia wanafunzi kuchukuliwa na kisha kupigishwa kura kwenye kura za maoni zilizofanyika Octoba 24 Mwaka huu. Hali...
  3. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Tandale; Wanachama wa CCM wanadai waliomchagua kwa kura nyingi ajashinda lakini mwenye kura 17 ameshinda

    Jamani Moto unazidi kuwaka kutoka kwenye mitaa katika kura za maoni ndani ya CCM. Balaa nyingine wanachama wanadai walimpigia kura za ndiyo ety amekosa nafasi lakini mwenye kura zake 17 ameshinda. Mbona hapa bado tutayaona mengi jamani. Wakazi wa Tandale jijini Dar es Salaam 'wamechachuka'...
  4. Mindyou

    LGE2024 Arusha: Wana CCM waandamana mpaka Makao Makuu ya CCM Arusha kupinga matokeo ya kura za maoni. Makada wajipanga kunyimana kura!

    Wakuu Mambo yanaonekana kuwa si shwari huko ndani ya Chama Cha Mapinduzi kama tunavyoaminishwa Siku ya leo wanakijiji wa Mtaa wa Viwandani, Kata ya Unga Limited, wameonyesha kutoridhishwa na uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kumpitisha Rasuli Mshana kwenye kura za maoni WanaCCM hao...
  5. Erythrocyte

    LGE2024 Wakili Msomi atangaza kugombea Uenyekiti wa Kijiji kijijini kwao

    Kwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake. Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana aliwahi kubambikiwa kesi ya Uhujumu Uchumi na serikali ya Dikteta Magufuli kwa kosa la kugombea Udiwani...
  6. mdukuzi

    LGE2024 ''Asiwe mlevi kupindukia'' Sifa mpya ya wagombea wa CCM Serikali za Mitaa?

    Katika sifa za wagombea wa serikali za mitaa, wameongeza sifa moja mpya, eti asiwe mlevi kupindukia, nini kimewafanya CCM kuongeza sifa hii? Huko vijijini, statehe ya watazania ni pombe, kuna viongozi walikuwa wakija kwenye vikao au mkutanoni wamelewa chakari mpaka mkutano unageuka kituko
  7. Erythrocyte

    LGE2024 Rungwe: Hivi ndivyo Wagombea wa CHADEMA walivyochukua fomu za kugombea Uenyekiti wa Serikali za Mitaa

    Kama ulidhani Uchaguzi huu ni lelemama, na labda ulitarajia Wagombea wako watapita bila kupingwa kwa vile kuna kitisho cha kutekwa na kuuawa, basi anza kutafakari Upya Hawa hapa ni Wananchi wa Kata ya Ndato wakiwasindikiza Wagombea wa Chadema kuchukua fomu. Soma Pia: CHADEMA waanza kuchukua...
  8. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Kama Mtanzania utahudhuria kampeni za wagombea wa vyama vyote vya siasa ili kupima sera zao uchaguzi huu wa serikali za mitaa?

    Zimebaki siku chache kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika November 27, 2024 Nchi kote. Sasa kama wewe ni mwananchi wa Tanzania na umejiandikisha ili kupiga kura mwaka huu je utaudhuria kampeni zote ya wagombea kutoka vyama vyote vya kisiasa ili kupima sera zao au utabaki na...
  9. K

    LGE2024 CHADEMA Simiyu wachukua fomu, wasema "Safari hii hatutakimbia, watakimbia wenyewe"

    Pazia la kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika mwaka huu 2024 limefunguliwa Jana Oktoba 26, 2024 kwa mujibu wa TAMISEMI. Zoezi hilo ambalo litafanyika kwa siku Saba, Hadi Novemba 1, 2024, litaambana na kurudisha fomu kwa wagombea...
  10. B

    LGE2024 Katibu Mwenezi Ada Tadea Taifa amvaa Lema amtaka aache maneno. Wapinzani tujipange Uchaguzi ujao 2029

    25 October 2024 Zuberi Mwinyi Katibu Mwenezi taifa wa ADA TADEA " Wapinzani Hatukujiandaa kwa Uchaguzi wa TAMISEMI 2024, Tusiilaimu CCM https://m.youtube.com/watch?v=WKMTl38WQd8 Zuberi Mwinyi anaongeza kuwa vyama vya upinzani vyote Tanzania hatuna mawakala, hatuna wanachama wa kukifadhili...
  11. mdukuzi

    Kura za maoni CCM,mgombea aambulia kura moja,ana mke na watoto waliopiga kura kijijini kwake

    Huko Babati kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa kijiji,ameambulia kura moja kijijini kwake. Cha ajabu ana mke na watoto kadhaa hapo kijijini Kaibiwa kura? Familia imemtosa? Mimi na wewe hatujui Soma Pia: Dar: Vurugu wakati wa kupiga kura maoni kata ya Yombo Vituka
  12. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Wilaya ya Nachingwea jumla ya vituo 525 vitatumika kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu

    Msimamizi wa Uchanguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wilaya ya Nachingwea mhandisi Chionda Kawawa ametangaza rasmi jumla ya vituo 525 vitatumika kupiga kura katika uchaguzi wa mwaka huu tarehe 27/11/2024. Akizungumza na KITENGE TV Mhandisi Kawawa amesema kuwa wamejipanga kuhakikisha...
  13. K

    LGE2024 CHADEMA Simiyu: Hatutaruhusu majina yaliyoongezwa katika Daftari la Wapiga Kura yapige kura na hatutasusa

    Juzi zoezi la andikishaji wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, limehitimishwa kwa serikali kujipa kongele kubwa kuwa wananchi wengi wamejiandikisha. Sasa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Simiyu kimesema kuwa katika zoezi hilo wamegundua uwepo wa hujuma...
  14. Mindyou

    LGE2024 Shinyanga: Madiwani wa CCM wadaiwa kupigana hadharani wakati mchakato wa kura za maoni unaendelea

    Katika Kata ya Ibadakuli, Manispaa ya Shinyanga, kumetokea sintofahamu kubwa kati ya diwani wa kata hiyo, Msabila Malale, na diwani wa Vitimaalumu, Zuhura Waziri, wakati wa zoezi la kura za maoni za chama cha Mapinduzi (CCM). Tukio hili lilitokea jana wakati wagombea wa CCM walipokuwa...
  15. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Yaliojiri upigaji wa kura za maoni ndani ya CCM Mitaa ya kata ya Msigani Ockoba 23, 2024

    Kata ya Msigani inapatikana Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Kata hii inajumla ya Mitaa mitano ambayo ni Mtaa wa Msigani, Mtaa wa Temboni, Mtaa wa Malamba Mawili, Mtaa wa Msingwa na Mtaa wa Kwa Yusufu. Aidha kwa mwaka huu kumekuwa na muhamko mkubwa sana kwa wanachama wa CCM katika Kata...
  16. Q

    Pre GE2025 Idadi kubwa ya wapiga kura ndilo kaburi la CCM

    Duniani kote hakuna kitu kinachoogopwa na serikali dhalimu kama idadi kubwa ya wapiga kura. Baada ya Tume inayosimamia uchaguzi TAMISEMI kudanganya idadi halisi ya waliojiandikisha, kazi iliyo mbele yao kwa sasa ni namna gani watabadilisha hiyo idadi ziwe kura. Kwa mfano; Mwanza, Sensa ya 2022...
  17. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Kampeni za mtaa kwa mtaa kwa baadhi ya wanasiasa wa CCM mtaa wa Dovya kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa

    Wakuu Kwema! Leo nimekutana na moja ya mwanasiasa kutokea chama cha Mapinduzi ( CCM ) akijipigia kampeni kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. Tunafahamu kwamba CCM wametangaza ratiba za wanachama wao kuanza kuchukua fomu kuzijaza na kurududisha na kuanza kampeni za ndani na ndipo...
  18. The Watchman

    LGE2024 Tanga: CCM waanza kupiga kura za maoni kwa wagombea kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda ni mmoja kati ya washiriki katika zoezi la kupiga kura za maoni kuchagua wawakilishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wanachama wa CCM nchi nzima wanaendelea kutumia haki yao ya kupiga...
  19. Mindyou

    LGE2024 Kigamboni: CCM wararuana wenyewe kwa wenyewe. Vurugu zapamba moto kwenye Uchaguzi wa ndani ya chama

    Wakuu ni rasmi sasa mnara wa babeli wa CCM unaaanza kuanguka. Huko Kigamboni kwenye mkutano wao wa ndani ya chama umevurugika na kumetokea vurugu wakati wapo kwenye mchakato wa kura za maoni. Soma Pia: Vurugu zaibuka Uchaguzi wa CCM Kibosha Mkoani Pwani Hii ni ishara kuwa hata ndani ya...
  20. Erythrocyte

    LGE2024 Kura za Maoni za CCM ngumi zafumuka kila Mahali

    Kila yanapotolewa matokeo ngumi zinalipuka, yaani ni kila mtu na wake, hatari! Matofali na kila silaha zinatumika (Hakuna Polisi) Kama kuna Unapoona hakuna ngumi basi jua Matokeo hayajatolewa. Usiondoke Jf, Kama kuna maafa yoyote yatokanayo na hilo tutakuwekea hapa hapa
Back
Top Bottom