uchaguzi wa serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    LGE2024 Mkurugenzi wa TAMISEMI: Waandishi wa habari msitumie neno "Kukatwa Wagombea", ni kinyume na kanuni za Uchaguzi

    Wakuu, Mnaweza kuta CCM ni chaneli ya vituko na vichekesho huko duniani. Kwani Vimbwanga vinaendelea katika kipindi hiki ambacho taifa linaelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hivi karibuni Stephen Motambi ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi wa Serikali za Mitaa kutoka Ofisi ya Rais Tawala...
  2. Mindyou

    LGE2024 Kada wa CHADEMA amlipua Makalla wa CCM mbele ya wanahabari. Amwambia aache kiherehere, asema CCM haijajiandaa na Uchaguzi!

    Wakuu, Inaonekana kauli za Amos Makalla za hivi karibuni zimewakera sana viongozi wa CHADEMA ambao hivi karibuni wamejitokeza rasmi kumjibu. Akiwa anazungumza kwenye mikutano tofauti tofauti, Makalla amekuwa akisema kuwa CHADEMA wamekuwa wakilalamika sana kuonewa kwa sababu hawajiandaa na...
  3. Mindyou

    LGE2024 Mkuu Wa Mkoa Simiyu: Mwananchi ukishapiga kura rudi nyumbani ukalale. Mambo ya Uchaguzi achia mamlaka za Uchaguzi!

    Wakuu, Hivi mna uhakika hawa viongozi wanaoteuliwa na Rais huwa wanafanyiwa vetting kweli kabla ya kupewa vyeo? Wakati nazunguka leo mtandaoni nimekutana na clip ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi ambaye ni kama alikuwa anatishia wananchi kushiriki katika zoezi la kulinda kura...
  4. The Watchman

    LGE2024 Babati: Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, amewataka wagombea kuwasilisha mapingamizi mapema

    Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara Khalifan Matipula ametoa wito kwa wagombea ambao hawajawasilisha mapingamizi yao kuyawasilisha mapema ili yaweze kufanyiwa kazi kwa wakati. Pia soma: Lindi: Wasajili wasaidizi wa Uchaguzi wadaiwa...
  5. Mindyou

    LGE2024 Lindi: Wasajili wasaidizi wa Uchaguzi wadaiwa kujifanya wagombea wa vyama vya siasa ili kuwawekea mapingamizi wapinzani

    Wakuu, Crackdown ya kuengua vyama vya upinzani kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa inaendelea. Huko Lindi, viongozi wa CUF na ACT Wazalendo wameoneshwa kusikitishwa na hivyo kuwatupia lawama wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kile kinachodaiwa kuenguliwa kwa wagombea...
  6. Mtoa Taarifa

    LGE2024 TAMISEMI yaongeza muda wa kupokea Rufaa za Wagombea wa Serikali za Mitaa, yaagiza walioenguliwa kwa kutodhaminiwa na Vyama warejeshwe

    Waziri wa TAMISEMI, Mohamedi Mchengerwa ametangaza kuongeza muda wa Kamati za rufani za Wilaya wa kupokea, kusikiliza na kutoa uamuzi wa rufaa iliyowasilishwa kwa muda wa siku mbili zaidi kutoka November 13, 2024 na sasa rufaa zitapokelewa, kusikilizwa na kutolewa uamuzi hadi November 15,2024...
  7. mwanamwana

    LGE2024 CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa

    "Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Rais wa Tanzania nilipofanya naye mazungumzo, ambacho tumekiona wapo wagombea wengi sana wa vyama...
  8. Mindyou

    LGE2024 Njombe: Wagombea wa ACT Wazalendo Wilaya ya Ludewa na Wilaya ya Njombe waenguliwa wote

    Wakuu huko mkoani Njombe mambo yameendelea kutokota kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa. Nimekutana na hii clip imenipa sonona sana ambapo Katibu wa ACT Wazalendo mkoa wa Njombe, Stanley Mbembati, amesema kuwa wagombea wote wa ACT Wazalendo wilayani Ludewa wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro...
  9. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Tundu Lissu: Uchaguzi huu umeisha na sasa tujipange upya na turudi kwenye hoja za msingi ikiwemo Katiba Mpya na Mfumo huru wa uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu amesema katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu 2024 umekishwa kikubwaa watapigania wagombea waliobaki tu lakini huu kifupi umekwisha. Aidha amesema sasa na wanapaswa kujipanga upya na kurudi na hoja za msingi kama Katiba mpya, Mfumo uhuru...
  10. Mindyou

    LGE2024 Shinyanga: TAKUKURU yathibitisha uwepo wa rushwa kwenye Uchaguzi. Yadokeza Machawa kupelekwa Mbuga Za Wanyama na wapinzani kuhongwa ili wajitoe

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) katika wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, hivi karibuni imeficchua kwamba baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wanatoa rushwa kwa wagombea ili kujitoa kwenye uchaguzi na hivyo kuwapa nafasi wagombea wao kupita bila upinzani. Soma pia...
  11. M

    Tumechoka kusikia kelele za CHADEMA

    CHADEMA hebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya, acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwa Wagombea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Unakuta wana CHADEMA mtaa mzima wamekusanyika wanalia kama watoto wadogo eti wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro...
  12. Mindyou

    LGE2024 Father Kitima: Wizi wa kura ni dhambi, Viongozi wa dini mmekaa kimya!

    Wakuu wakati joto la uchaguzi likiendelea kushamiri, Padre Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ameendelea kuhoji maswali mazito kuhusiana na jinsi mchakato ulivyo. Kitima amehoji maswali kuhusu ukimya wa viongozi wa dini kwenye uchaguzi akisema kuwa...
  13. F

    Nape effect: Kosa la Nape ni kuzungumza ukweli kuhusu chaguzi za Tanzania. Hajawakosea wananchi, amewakosea wenye mamlaka

    Nape kwa asili ni mtu mwenye mizaha, tabia hii imemsaidia kwingi lakini pia imemuumiza katika mambo mengi. Sio mara ya kwanza kwa Nape kutoa kauli zenye utata kuhusu ushindi wa CCM dhidi ya Upinzani Tanzania. Mwaka 2015 aliwahi kutamka kuwa CCM itashinda hata kwa bao la mkono. Mwaka 2020 katika...
  14. Mindyou

    LGE2024 Goba: Mgombea wa CCM licha ya kutokuwa na kazi (jobless) amepitishwa lakini mgombea wa CHADEMA ambaye alikuwa ni dereva ameenguliwa

    Wakuu Huko Goba, wagombea wa CHADEMA wenye kazi rasmi wameenguliwa kwa madai kwamba shughuli zao hazitambuliwi kama kazi rasmi za kiuchumi. Hii ni tofauti na wagombea wa CCM ambao, licha ya kujitangaza kuwa hawana ajira (jobless), wamepitishwa kugombea. Hivi karibuni, mgombea wa CHADEMA katika...
  15. Mindyou

    LGE2024 Nachingwea: Asilimia 99 ya wagombea waliowekwa na CHADEMA waenguliwa kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa

    Wakuu, Uchafuzi wa Serikali Za Mitaa bado unaendelea. Hivi karibuni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Wilaya ya Nachingwea kimeeleza kusikitishwa na hatua ya kuenguliwa kwa wagombea wake kuelekea uchaguzi mdogo wa serikali za mitaa, licha ya wagombea hao kuwa na sifa stahiki...
  16. Mindyou

    LGE2024 Kada wa CCM: Kama mtu atakuwa hajaenda kuchagua au kuchaguliwa basi hata kwa Mwenyezi Mungu atakuwa hajatenda haki

    Wakuu, Hivi karibuni nimeona video moja ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Makambako, Hanana Mfikwa akizungumzia kutumia viongozi wa dini kuwahamasisha wananchi kwenda kupiga kura. Mfikwa alisema kuwa viongozi wa dini watumie ushawishi "kuwaelimisha" wananchi kuhusu kushiriki kwenye...
  17. The Sheriff

    LGE2024 Mahakimu mkoa wa Pwani wajengewa uwezo namna bora ya kuendesha Mashauri ya Uchaguzi

    Kufuatia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mnamo tarehe 27 Novemba, 2024 Mahakimu wote wa Mahakama mkoani Pwani wamepatiwa mafunzo ya namna bora ya kuendesha mashauri ya uchaguzi. Mafunzo hayo yalitolewa jana tarehe 08 Novemba, 2024 katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi...
  18. Mindyou

    LGE2024 Mgombea wa CCM aliyeandika amezaliwa mwaka 2024 kwenye fomu, aripotiwa kupitishwa kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Kama mmeona hivi karibuni kumekuwa na mbinu ya kuwaondoa wapinzani kwenye uchaguzi kwa vigezo tofauti tofauti ikiwemo kuweka taarifa zisizo sahihi kwenye fomu za kugombea. Huyu ni mgombea wa CCM kwenye fomu yake amejaza amezaliwa Disemba 24, 2024 yani kwa lugha nyepesi amejaza fomu...
  19. M

    LGE2024 CHADEMA mnaenguliwa kwa sababu mnapenda kuenguliwa

    Kumekuwa na kelele za CHADEMA karibu Nchi nzima wakilalamika kwamba wameenguliwa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024. Mimi naomba kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, kama ni kulalamika mmeshalalamika sana na kama ni kulia mmelia sana. Kungekuwa na mtu wa kuwasikiliza...
  20. Mindyou

    LGE2024 Amosi Makalla: CHADEMA wamepoteza muda mwingi kwenye maandamano, kwenye uchaguzi huu hawajajipanga

    Katibu Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Amos Makalla, amewashauri viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kumaliza migogoro iliyopo ndani ya chama chao. Amos Makalla amesema kuwa CHADEMA wamepoteza muda mwingi kuaandaa maandamano na kwamba hawakuwa wamejipanga...
Back
Top Bottom