uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Mohamed Said

    Zanzibar na Uchaguzi Mkuu Ujao 2025

    https://youtu.be/-zGdlZBs2aU?si=ZahbODqjYS3nvSYV
  2. T

    Katakata ya umeme imeanza upya kuelekea uchaguzi mkuu, hapa kirumba Mwanza umekatwa.

    Hili suala la kukatika umeme limeanza upya mbali na kuaminishwa na Naibu Waziri Mkuu kuwa limekwisha baada ya Mitambo kuanza kufanya kazi Rufiji. je kulikoni leo huku Kabuhoro wamekata muda mrefu tu bila taarifa.TANESCO iko shida kubwa, Watamharibia mama.
  3. chiembe

    Pre GE2025 Amos Makalla: Wanaosema No Reform No Election hawana fedha za kufanya Uchaguzi

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayosema hawatoingia kwenye uchaguzi pasipo kuwa na mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi...
  4. B

    Mkutano wa Uchaguzi ulijaa Raia kutoka Asia ya Mbali na Uchina. Hii ina maana gani kwa siasa zetu?

    Ktk Dunia hii ambayo mbabe ni Mtu mwenye uchumi imara na ustawi wa watu tumezoea kuona Nchi za Asia ya mashariki na mbali ikijikita hasa kwenye siasa za uchumi na maendeleo. Ni ktk hali hiyo tumeona China huwa haiingili wala kujihusisha na siasa za nchi nyingine. Kwa Lugha nyingine huwa hawana...
  5. Li ngunda ngali

    Chadema na ACT wakiungana ni wazi watapata mafanikio Uchaguzi ujao

    Nawaza na kushauli pia, Lissu na Zitto waunganishe nguvu kwa maslahi mapana ya Nchi ili pamoja na mambo mengine, waikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao. Mfano, Chadema wakubali kumuunga mkono Zitto awe Mgombea wa nafasi ya Rais. Vilevile wakubaliane kuachiana Majimbo kulingana na uungwaji wa...
  6. Hance Mtanashati

    Ili Chadema iwe rahisi zaidi kwao kushinda uchaguzi, basi mtu mwenye nguvu na ushawishi CCM ahamie Chadema kumchallange Samia

    Kama itatokea mtu mwenye nguvu na ushawishi ndani ya CCM na akaamua kuhamia Chadema kumchallange Mh Samia, itakuwa rahisi zaidi kwa Chadema kuchukua nchi kuliko kumsimamisha Tundu Lisu . Huyu mtu kwanza ataondoka na idadi kubwa ya wanachama wa CCM ukijumlisha na wale wa Chadema ushindani...
  7. R

    Pre GE2025 Free Dr Slaa, tunamuhitaji kudai Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya Oct 2025

    Hellow Tanganyika! Mzee Slaa ameshiriki kiasi kikubwa kuleta mabadiliko ya Fikra Nchi hii, mchango wake ni wa kupigiwa mfano. KAZI iliyo mbele yetu ni kulazimisha mfumo huu kandamizi kusikiliza, kutii na kutekeleza matakwa ya umma wa wananchi Watanzania tutakao mabadiliko ya Kweli kimfumo Ili...
  8. B

    Pre GE2025 Athari zitakazo jitokeza endapo CHADEMA (chama kikuu cha upinzani) haitashiriki uchaguzi Mkuu 2025

    Kukosekana kwa chama kikuu cha upinzani kushiriki uchaguzi mkuu katika nchi kunaweza kuwa na athari kadhaa za kisiasa, kijamii, na kiuchumi. Hizi ni baadhi ya athari zinazoweza kutokea: 1. Kudhoofika kwa Demokrasia Ushiriki wa vyama vya upinzani ni muhimu kwa kuhakikisha uwazi na uwajibikaji wa...
  9. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 Ninaiona dola ikiweka utaifa mbele na CHADEMA ikishinda uchaguzi mkuu 2025

    Mwaka 2025 ni mwaka wa ukombozi wa Umma . Tundu lissu na CHADEMA itashinda kwa imani kwamba yatafanyika yafuatayo:- 1.Tundu lissu ataimarisha umoja chamani , kuongeza wanachama hai na kuwa na kipato kikubwa chamani . 2.Kupooza majeraha ya wafuasi wa Magufuli , Tundu lissu ni muhanga wa...
  10. S

    Anachosema Lissu ni kwamba, Bunge lisivunjwe mwezi wa sita, Rais na Wabunge waendelee hadi Reforms zikamilishwe, ndio uchaguzi mkuu ufanyike

    Ukitafakari sana, bila kuwa na utando wa kishabiki kichwani, Lissu anaongea kitu cha maana na hapa tayari ameonyesha ku-compromise na CCM. Nimesikiliza mahojiano yake kwa makini sana. Pendekezo lake la "No Reforms na Elections" kwa alivyofafanua na nikamuelewa, anasema kwamba, Chadema wako...
  11. Genius Man

    kwa hii tume anayounda mgombea wa chama tawala tutegemee kitendo cha kujiteuwa na sio uchaguzi wa haki

    Katika uhalisia ndani ya taifa mgombea wa chama tawala ndio anajiundia tume mwenyewe hii sio demokrasia wakati nchi inawagombea zaidi ya mmoja na inamfumo wa vyama vingi vya siasa na ina wataalamu wa kisiasa kwanini mgombea anaunda tume ? Nilishauri tume huru kuundwa na wataalamu wa masuala ya...
  12. K

    Pre GE2025 Ushauri wa upendo kwa Tume Huru ya Uchaguzi

    Kama inavyofahamika kuwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu kwa ushauri wa upendo kabisa muanze kujipanga vyema na madudu yaliyojitokeza kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa yasijirudie kwenye usimamizi wenu. Pili ni vema mkaangalie uwezekano wa kuwaajiri watumishi wenu nchini kote waigeni...
  13. milele amina

    Watumishi wa Umma someni hapa Kuna Ujumbe wenu muhimu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Msije mkasema hamkujulishwa au hamkuambiwa mapema! Niwatakie siku njema!! Makonda, RC Dodoma,Mkurugenzi Moshi Manispaa na wengine wengi. ====== Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake...
  14. Tlaatlaah

    Uteuzi wa Dkt. Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza urais wa CCM uchaguzi mkuu wa OCT.2025, ni wa kisayansi katika siasa za kisasa.

    Kwanza umefanyika kimkakati, lakini pia umefanyika kwa muda muafaka kama surprise, lakini kwa kuzingatia sheria na katiba ya CCM, bila kuathiri kwa namna yoyote ile sheria na katiba ya nchi kuhusiana na masuala ya uteuzi wa wagombea uongozi na uchaguzi wenyewe. Azimio la kumuidhinisha Dr...
  15. RWANDES

    Pre GE2025 Utabiri: 2025 CHADEMA kushinda Uchaguzi Mkuu

    Habari ni kwamba nguvu iliyopo na ushawishi ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA nikubwa na yakushangaza vijana wengi wanaunga mkono chama hicho pamoja na mawakili wengi tanzania ambao wengi wao niwanaharakati , wapiga kura kumbukeni siyo wazee ni vijana ambao wamemaliza vyuo...
  16. Akilindogosana

    Pre GE2025 Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atashinda kwa 95%, Samia atakuwa nafasi ya nne.

    Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno...
  17. kante mp2025

    Pre GE2025 Nina wasiwasi sana na uchaguzi wa Rais Oktoba 2025

    Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025. Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana wagombea wasali sana.
  18. BonventureSr

    Pre GE2025 CCM ina Mengi ya kujifunza kwa CHADEMA Kwenye Uchaguzi

    Wote mmeona namna huu uchaguzi ulivyo kuwa wa wazi, Tofauti na Ndio za CCm na Hapana zao
  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Pre GE2025 Hawa ndio walioumizwa sana na matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA

    1. Rais Samia 2.Dr. Nchimbi 3. Paul Makonda 4. Mrisho Gambo 5. Lucas Mwashambwa 6. @Mtumshi wa Mungu asiyemjua Mungu mama D 7. Crimea 8. Gwajima 9.Job Ndugai
  20. Udart

    Uchaguzi wa CHADEMA ukiisha, baadhi ya watu heshima zao zitashuka

    Habari ya asubuhi, nimekuwa mfuatiriaji wa huu UCHAGUZI na kipindi Cha kampeni CHADEMA ila hawa baadhi ya makada heshima ZAO ZITASHUKA Kwa kiwango Cha 4g badhi ni hawa. 1. Yericko Nyerere. huyu jamaa binafsi nilikuwa mfuasi wake wa kutupwa ni kama wale waumini wa mtumishi mwamposa nilikuwa...
Back
Top Bottom