Askofu Stephano Lameck Musomba, OSA, amesema siasa imeingia kila sehemu, hata mihimili yenyewe siku hizi haieleweki, wakati wa Ibada ya Adhimisho la Mateso ya Bwana Yesu iliyofanyika Aprili 4, 2026, Parokia ya Bunju, Jimbo Katoliki la Bagamoyo.
Mambo lazima yagome, huwezi kufanya huu ujinga na tukaulelea hakuna hiyo namna.
Sasa hivi wananchi wa Tanzania wamekosa wawikilishi kabisa kwasababu raisi achallengiwi wenye chochote kila Waziri ni Chawa wake, Kila Naibu waziri ni chawa wake, kila mbunge ni chawa wake, kila diwani ni chawa...
Wewe watu wanasifia kila kitu unachofanya na unaona wako sawa tu.
Ukiiba wanasifia
Ukikemea wizi wanasifia
Ukikemea uuaji wanasifia
MACHAWA sio watu, si mnawaona humu. Hao hao walifurahia kufungiwa kwa Jamiiforums ila bado wanatumia hii hii platform kupush harakati zao.
Machawa sio watu...
Ieleweke kifo cha UCHAWA kinaelekea kutokea sio kwasababu ya maendeleo ya kiteknolojia na matumizi makubwa ya AI (Akili Mnemba).
Kifo cha uchawa kinatokea kwasababu ya misingi ya uanzishaji wa hii ajira kabisa, tokea mwanzo ilitolewa kwa watu ambao:
Wako tayari kuwazunguka waTanzania wenzao...
Tumeingia kwenye siasa zisizo za kisheria tena ambapo wabunge wapo kwenye uchawa ili kumfurahisha Rais wachaguliwe na Rais kurudi bungeni na sio na wananchi; wananchi wanatekwa alafu bungeni sioni kinachoendelea.
Hakuwezi kuwa na uchaguzi bila mabadiliko. Hii hali ilianza kama masihara sasa...
Mwaka 2020 niliandika uzi humu jamvini kuhusu tofauti ndogo iliyokuwepo baina ya Congo ya Mobutu na Tanzania!
Niliandika uzi ule kwa sababu kuna vitu vingi sana vilivyokuwa vinatokea wakati ule havikuwa na tofauti na mambo yaliyokuwa yanatokea nchini Congo kipindi cha Mobutu. Niliweka na...
Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame.
Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri...
Wakuu,
Wewe mbunge unajua upo hapo kuwakilisha wananchi, au unawakilisha kundi fulani kama watu wenye ulemavu nk, lakini mwanzo mwisho mama ametenda hiki, mama ametenda kile, hakuna kama yeye, dunia haijawahi kuona kama huyu!
Hivi hamuoni aibu? Hamsikii haya kwa huu ujinga mnaofanya? Yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.