Askofu Musomba: Siasa imeingia kila sehemu, hata Mihimili yenyewe siku hizi haieleweki

Askofu Musomba: Siasa imeingia kila sehemu, hata Mihimili yenyewe siku hizi haieleweki

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Askofu Stephano Lameck Musomba, OSA, amesema siasa imeingia kila sehemu, hata mihimili yenyewe siku hizi haieleweki, wakati wa Ibada ya Adhimisho la Mateso ya Bwana Yesu iliyofanyika Aprili 4, 2026, Parokia ya Bunju, Jimbo Katoliki la Bagamoyo.

 
Naifuatilia hii ibada kupitia Ttv Askofu kaongea mengi sana.
 
Ametaja
Uchawa siasani
Bunge kibogoyo
Social justice
Kubambikiziana kesi
Ubaguzi wa kisiasa
Kushangilia vifo
Siasa na dini
Viongozi kupenda kusifiwa
Ujumbe ni Ukweli
 
Ametaja
Uchawa siasani
Bunge kibogoyo
Social justice
Kubambikiziana kesi
Ubaguzi wa kisiasa
Kushangilia vifo
Siasa na dini
Viongozi kupenda kusifiwa
Ujumbe ni Uk

 
Back
Top Bottom