uchawa kwa jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Unataka kujenga nchi 2020s na unawekeza zaidi kwenye UCHAWA uko sawa?

    Mambo lazima yagome, huwezi kufanya huu ujinga na tukaulelea hakuna hiyo namna. Sasa hivi wananchi wa Tanzania wamekosa wawikilishi kabisa kwasababu raisi achallengiwi wenye chochote kila Waziri ni Chawa wake, Kila Naibu waziri ni chawa wake, kila mbunge ni chawa wake, kila diwani ni chawa...
  2. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Tusiilaumu Akili Mnemba (AI) kwa Kifo cha kazi ya UCHAWA. Tufurahi kuwa tunaenda kushuhudia hiki kifo, Tunaenda kuponya kizazi chetu na kinachofuata

    Ieleweke kifo cha UCHAWA kinaelekea kutokea sio kwasababu ya maendeleo ya kiteknolojia na matumizi makubwa ya AI (Akili Mnemba). Kifo cha uchawa kinatokea kwasababu ya misingi ya uanzishaji wa hii ajira kabisa, tokea mwanzo ilitolewa kwa watu ambao: Wako tayari kuwazunguka waTanzania wenzao...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Chadema Polisi wamepata mwanya wa kuonyesha uchawa tena kwa Samia

    Kwa hili la Chadema Polisi wamepata mwanya wa kuonyesha uchawa. Watakimbia kufunga ofisi na kupiga watu kama kawaida yao ili wapande vyeo Majaji nao wanaweka uchawa ili wapande vyeo. Tanzania tuna kazi Wanayosema Chadema kuhusu mfumo mbovu sasa kila kitu kiko wazi
Back
Top Bottom