Kwa hili la Chadema Polisi wamepata mwanya wa kuonyesha uchawa. Watakimbia kufunga ofisi na kupiga watu kama kawaida yao ili wapande vyeo
Majaji nao wanaweka uchawa ili wapande vyeo. Tanzania tuna kazi
Wanayosema Chadema kuhusu mfumo mbovu sasa kila kitu kiko wazi