Kumekua na tabia ambayo imeota mizizi kwa makampuni ya ujenzi kuchimba udongo wa moramu kwa ajili ya ujenzi wa barabara na kuaacha mashimo ambayo ni hatari kwa maisha ya binadam na uharibifu wa mazingira.
Makampuni haya ya ujenzi baada ya kuchimba molamu kwa ajili ya ujenzi wa barabara mradi...
Kuna uuzaji holela umefanyika na baadhi ya Maafisa wa Serikali ya Kijiji kwa muwekezaji anayechimba molamu jambo ambalo linahatarisha usalama wa makazi ya Watu hasa Watoto wanaoishi maneo haya kutokana na shughuli zinazoendelea.
Kuna shimo refu limeachwa hapa ambalo wakati wa mvua maji hutuama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.