Msanii na mfanyabiashara maarufu, Zuwena Mohammed, anayefahamika kwa jina la kisanii Shilole, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake mpya usiku wa kuamkia leo, Desemba 23,2024
Tukio hilo lilifanyika katika hafla ya kifahari ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa katika eneo la Kijitonyama, Dar...
Habari Wana JF.
Kuna ndugu yangu mmoja mtoto wa kwanza wa Baba mdogo wangu wa kike.
Tulimuoza Mwaka Jana mwezi wa 1 ndoa kabisa ya kanisani. Aliolewa na kijana mmoja waliefahamiana chuoni.
Sasa hii ishu mimi nimepata last week na mpaka sasa imeshindikana kusolve Tangu mwaka Jana. Wazee...
Katika zama hizi, kuna mijadala mingi kuhusu muda unaohitajika kabla ya watu wawili kuamua kufunga ndoa. Wengine wanaamini kwamba muda wa uchumba wa miaka kadhaa ni muhimu ili kufahamu tabia halisi za mwenza wako na kuona kama mnaweza kuishi pamoja kwa maisha ya ndoa. Lakini pia, kuna wale...
Nini Maana ya Uchumba?
Uchumba ni kile kipindi cha Maandalizi ya kufungwa kwa ndoa. Maandalizi haya huhusisha utoaji wa mahari na uandaaji wa sherehe ya harusi (kama itakuwepo). Ikumbukwe kuwa, suala la sherehe Kikristo sio la lazima. Hivyo, hutegemeana tu na wahusika wenyewe wanataka nini...
ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu,
na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na magumu mtakayopitia kwa urahisi na wepesi sana....
hongereni sana kwa hatua mliyofikia,
Mungu...
Tanzania raha sana, matukio ni mengi, na watu wanakwenda na matukio. Tukio moja lina trend wiki 2 , mwezi, miezi 3 na kubwa sana linachukua miezi 4-6 kisha linazimika.
Issue ya ukodishaji wa bandari za Tanganyika especially Dar es salaam port kwa DP world ilitrend kwa muda mwingi na sasa...
Wana JamiiForums hope mko poa kabisa
Naomba kuuliza hili maana linanitesa sana. Mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nimemlipia mahari na nikamvalisha pete.
Ila mimi baada ya kuona haeleweki nikampotezea. Swali ni kuna madhara yoyote ukiachana na mtu ambaye ushamlipia mahari na kumvisha pete...
Huyo siyo mtu ni kupe, na kama siyo kupe basi hafai kuwa mke, maana hatokuwa msaada kwako.
Ndiyo! Kama ameshindwa kutafuta hela kwa ajili ya vitu vidogo kama hivyo unaoa kwa ajili ya nn sasa? Kuzaa tu? Hata panya anazaa.
Acha ujinga wewe, chukuwa mke atakayekuwa msaidizi wako kiuchumi...
aomba nishee ka story kangu, ila wanawake 🙌. Bana nakumbuka nimemaliza chuo, sasa nilikuwa na pisi iko mwaka wa mwisho. Sasa home ilikuwa ni karibu na chuo nilikomaliza kusoma na yeye ndio alikuwa anasoma hapo. Kuna siku bwana nilimwambia tukutane mara moja nimuone kwa sababu nilikuwa nimemmisi...
Kwa dada zangu wote wa kizazi hiki chetu: Sababu zinazoweza kukufanya ukose mchumba ukabaki singo muda mrefu au maisha yote huku unalialia:
1. Kutokuwa na hofu ya Mungu. Binti huenda kanisani wala msikitini upo tu nyumbani. Mvulana serious akikuangalia ataona ni mtu wa kutumika tu na si mtu...
kabla yay kuamua kufunga ndoa mliishi uchumba kwa kipindi cha muda gani?
maana naona saivi watu wanaishi uchumba na wanazaa na watoto kadhaa kabisa, lakini hawana habari ya kutambulishana makwao wala mipango ya kuthibitisha kuishi kama mke na mume kwa ndoa.
na ikitokea Mungu kaingilia kati...
Ingawa neno “uchumba” halipatikani katika Bibilia, tumepewa kanuni kwamba Wakristo wanastahili kupitia kabla ya ndoa. Kanuni ya kwanza ni kwamba ni lazima tutafautishe mtazamo wa dunia kuhusu uchumba kwa sababu mtazamo wa Mungu wahitilafiana na ule wa dunia (2 Petero 2:20). Huku ikiwa mtazamo wa...
Hello!
Kwakuwa wadada wengi hufanya ndoa kama fashion au kama ajira basi wako tayari kufunga ndoa na mtu yeyote ilimradi tu anapumua na anaweza kumudu bei ya sukari na ugali basi.
Turudi kwenye mada.
Kosa hilo ni kwa wachumba kutokutaja amri zao kuu (msimamo mkuu).
Mfano
*Nitakusamehe kila kosa...
Akiwa kwenye mahojiano na mwandishi wa waandishi wa habari, Askofu Mwamakula amesema anafananisha mazungumzo ya CCM na CHADEMA kama wapenzi walioingia kwenye mahusiano bila kufata utaratibu, sasa hivi mambo yameharibika kila mmoja analalamika.
Akisema Mazungumzo ya CHADEMA na CCM yalikuwa siri...
Wapendwa,
Kumeibuka kasumba na tabia isiyo ya kiungwana ya kuchepuka nje ya ndoa au uchumba hivi sasa.
Na inaonekana sasa jambo hili ni kama la kawaida tu. Hapana. Si sawa hata kidogo.
Tabia hii inahatarisha sana na kulegeza uhai na afya ya ndoa na uchumba katika jamii. Ndoa kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.