uchumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roca fella

    Uchumba unavunjwa kabla ya sikukuu

    Ni mwanangu Sana, yaani mshikaji tu wa kushare nae mawazo mbili tatu, Basi akanidekeree ( kunipigia simu ) kunichana wazi kuhusu maelekezo wake ( mchumba wake ) amefuma meseji zake akimpiga kibomu mchizi boti mwingine akiomba pesa, ile kusearch zingine eeeh bhanaa meseji zingine ametumiwa...
  2. mdukuzi

    Mwaka jana nilishindwa kuoa kwa sababu za kijinga kabisaa, nilivunja uchumba na mabinti 7

    Kazi yangu inanikutanisha na wanawake wengi sana, umri umekwenda, mwaka jana nikasema nioe ila mpaka leo imeshindikana, nimekaa nikatafakari sababu kwa nini sijaoa ni sababu za kijinga. 1. Madam Shija Huyu ni wife material ila baada ya kwenda kwao nikakuta nyumba yao ni kama banda la kuku na...
  3. S

    Anayekunyima wakati wa uchumba atakunyima hata ukimuoa

    Msome mchumba wako vema kabla hamjafunga ndoa. Kama unanyimwa unyumba ama pesa wakati wa uchumba kwasabb zozote zile, basi ukae ukijua kuwa utanyimwa hata kwenye ndoa kwasabb zinazofanana na hizo. Kazi kwako. Endelea kulea uzembe huku ukijifariji kuwa utaisha mkiingia kwenye ndoa.
  4. Maleven

    Mambo niliodharau kwenye uchumba yananitesa ndoani

    Huyu mwanamke nilikua najiona kama najilazimisha kua nae ila sijui ni nini kilichokua kama kinaniforce kuwa nae, kwanza alikua anapenda kudanganya vitu vodogo vidogo, nikimuangalia naona kabisa hafai kuwa na mimi ila sasa sijui shida nini mpaka tukafika mbali, nilipaswa hufikia mwisho kipindi...
  5. chizcom

    Uchumba wetu ulikufa sababu ya dini ni tofauti

    Leo pitapita yangu picha zilizopo kwenye digital camera kabla kuja smartphone kupiga picha nikaona picha ya mchumba wangu ambaye tulipendana sana. Ulianza kubadilishwa na wazazi baada kujua mimi ni mla kitimoto na bia mbili za baridi. Jibu nililo mpa "yani dini yangu yenyewe imenishinda kwenda...
  6. C

    Ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuchagua mwenza na uchumba unapaswa kudumu kwa muda gani kabla ya kufunga ndoa?

    Ukisoma threads nyingi hapa jukwaani zinahusu mahusiano ya wanandoa, utagundua kwamba wengi waliingia bila kujua ni nini hasa walipaswa kufanya kabla ya kufikia maamzi mazito ya kuoana. Niwaombe mliopo kwenye ndoa mtusaidie mambo kadhaa tunayotakiwa kujua hasa wakati wa uchumba na je, uchumba...
  7. Nyenyere

    Siri ya kudumu kwenye mahusiano

    Wakuu, nawatakieni amani na furaha mioyoni mwenu. Leo nina mada fupi tu kwa wote ambayo naomba tujadili. Katika mahusiano ya mapenzi, hasa kwenye ndoa, kuna tofauti kubwa sana kati ya nini atakacho mwanamume na nini atakacho mwanamke. 1. Kwako mwanamke- Elewa kwamba heshima (respect) pekee...
  8. Joao de Matos

    Uchumba kwake ilikuwa ni shida, ndoa nayo ni shida

    Hi ishu ilimpata ndugu yangu mmoja upande wa mama. Ni iko hivi Ni kijana mmoja hivi alikuwa anamasters na Ni mwalimu wa chuo flani nyanga za juu kusini na alikuwa Ana mchumba wake wa kike ambaye alikuwa anatarajia kufunga nae ndoa, alimpendaa Sana walienda mpaka kununua shela la harusi yao...
  9. my name is my name

    Harmonize amvisha Pete ya uchumba Kajala

    Hallelujah!! Hayawi Hayawi sasa yanekuaaa 😉 Love is a beautiful thing hasa ukipata mtu umpendae na yeye akakupenda 😍 leo hii jioni Harmonize amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi Kajala Masanja. Inasemekana Pete hio imegharimu bilioni 10 za kitanzania. Pete hiyo imenunuliwa...
  10. F

    Mwanaume aliye tayari kwa urafiki, uchumba hadi ndoa anahitajika

    Habari ndugu zangu, nawasalimu kwa jina la JF.. Upendo uendelee. Natumaini mu wazima wa afya, lakini pia tuwaombee wale ndugu zetu wanaotamani kuwa humu lakini wameshindwa kutokana na sababu zisizozuilika. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, mimi ni mtu wa jinsia ya kike. Sifa zangu...
  11. American Dream

    Mahusiano miaka 10 hata harufu ya engagement ring hamna na Bado upo tu

    Hello Wadau!! Huu ujumbe kwa waleee wanajijua wenyewe nasubiri comments zenu za makasiriko. Yani mpo kwa relationship Toka upo chuo ulivyokuwa na 22 Hadi Leo uko na 32 na eti wamsubiria mtu. Ikifika weekend huyoo kwenda kupika, kufua nguo na kusafisha mazingira ya kwa msela Ili uonekane wife...
  12. Equation x

    Njia rahisi inayoweza kumsaidia mwanamke aliyepo kwenye uchumba sugu, kupata ndoa

    Wadada wenye uchumba sugu. Kuna wadada wapo kwenye mahusiano zaidi ya miaka kadhaa, na wanatamani waolewe; lakini wanaume walionao bado wanawapiga dana dana. Njia rahisi inayoweza kukusaidia, mwanaume wako afanye maamuzi ya haraka katika kukuoa, fanya hivi:- Andaa bajeti ndogo ya laki mbili...
  13. Pascal Mayalla

    The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba The Biggest Star wa Kike wa Bongo? Happy Valentines!

    Wanabodi, Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!. Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali, Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo...
  14. thirteen06

    Kwa mliooa tukutane hapa

    Kwenye kusaka mwenza utata ni mwingi Sana. Unaweza fika mahali ukahisi kuchoka kuhangaika kutafuta mwenza wa ndoto zako ili kupata alie Bora, matokea yake wote unaowachunguza kwa lengo zuri la kuoa unakutana na sintofaham mbalimbali ambazo ukizifikiria kwa undani unaona kabisa baadae unaweza...
  15. karv

    Uhusiano kati ya kundi ya kundi la damu (blood group) na Uchumba/Mimba/Ujauzito/Mtoto

    1. Binadamu ana damu ambayo ina seli nyeupe, chembe sahani na sell nyekundu.. hizi seli nyekundu ndio zinabeba oksijeni na kabondayoksaidi na kimiminika chenyewe 2. Seli nyekundu zina protini inajishika ukutani mwake inaitwa antigen. Kuna antigen A au B au seli inakuwa haina antigen: • Ambaye...
  16. Mboka man

    Uchumba sio ndoa muda wowote unavunjika hivyo ishi na mchumba wako kwa akili

    Jamani,hii ni kengele ya tahadhari kwa wapenzi mlio katika mahusiano zaidi ya miaka mitatu mkiwa wachumba. Kibongobongo tunaita uchumba sugu ambao umeshaliza watu wengi kwani katika kipindi cha uchumba vijana hujifanya wanaekeza kwa wachumba wao vitu vya gharama, wapo wengine walizalishwa...
  17. IgKim

    Naomba kufundishwa kuandika barua ya uchumba

    Naomba mmoja anisaidie barua ya uchumba inaandikwaje kwa watu wa Ruvuma tafadhali ama yeyote anaejua
  18. K

    Hivi kuvalishana pete za uchumba ni lazima kuwe na wageni waalikwa pamoja na sherehe?

    Hello wakuu. Nina mpango wa kumvisha pete mtarajiwa wangu. Swali langu ni je, lazima kualika watu au naweza kumuita ghetto tu nikamvalisha na mchezo ukaisha?
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Barua ya Uchumba; sababu 30 zilizonifanya nimpose Binti Yenu

    BARUA YA UCHUMBA; SABABU 30 ZILIZONIFANYA NIMPOSE BINTI YENU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Taikon , kijana wenu, mwana wa Tibeli, kutoka nyota ya Jibi, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Na, Kwa Baba na Mama Mkwe, wa Nchi ya Maziwa na Asali, inayomea miti izaayo matunda misimu yote. Neema ya Mungu...
  20. mathsjery

    Nitoe kishika uchumba, then mahali the uchumba kisha ndoa, eti enhee!

    Wajuvi wa mambo inakuwaje kuwe na mlolongo wa aina hii. Je ni sheria? Ama mila na desturi zinazoweza achwa. Mantiki yangu: Kuna umuhimu wa kupitia hatua zote hizo na si kupotezana muda labda mniambie why? Natoa kishika uchumba cha nini au kina maana gani? Natoa mahali ndo nitangaziwe uchumba...
Back
Top Bottom