Bila kupoteza muda kama kichwa cha habari kinavyosema ulianzaje kujipanga na maisha kabla ya kuingia kwenye ndoa ukiwa katika kipindi cha uchumba.
Hebu tupeane mawazo wenzetu mliioowa mlianzaje kujiandaa na kujipanga kabla ya ndoa.
Habari zenu wandugu..
Nimependa nilete hii mada. Hivi ni kwanini wanawake wanashindwa kumudu mafanikio hasa wa miaka hii ya utandawazi.
Mfano wa kweli kuna watu wengi nawafahamu wanawake zao baada ya kufanikiwa wakavunja mahusiano.. Pia hata Mimi ishawahi nitokea kuna binti nilikuwa nae...
Habari za Jumapili. Poleni kwa majukumu na pole kwa Mashabiki wenzangu wa SIMBA ila safarii bado.
Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka 5 sasa (2016-2021) ila shida inakuja kwenye Simu yakee, hataki niishike na nikiishika nakuwa natumia nguvu sana, na anasema hataki nimkague ila...
Ukweli bado vijana wengi tuna dhana ile tunaamini mwanamke ambaye hakuombi hela ndo anafaa kuwa mke sasa limeibuka wimbi kubwa la wanawake wapiga mizinga ukisikiliza maoni ya vijana wanasema wanawake hawa ni hit and run hawafai kuolewa.
Sasa nimeamua kuleta mada ili tupeane uzoefu kwa wanaume...
Naomba mnisadie hili jambo.
Nimedumu na mpenzi wangu kipenzi kwa muda wa miaka mitatu mpaka sasa.
Tuna ndoto kubwa ya kuja kuwa wanandoa muda si mrefu, lakini katika miaka mitatu mimi "male" sijawahi kufika nyumbani kwake.
Yeye mara kwa mara huja nyumbani kwangu kunitembelea, sasa amekuwa...
Hello Guys mimi ni Mwanaume miaka 30,naishi Dar,Am serious natafuta mchumba,Awe mkristu,mrefu wa wastani,maji ya kunde au mweupe asilia,Asiwe na mtoto,Elimu kuanzia form four na kuendelea, Awe au asiwe na kazi kwangu sawa tu,kabila lolote kutoka mkoa wowote,awe mcha Mungu na mwenye hofu ya...
Wadau kuna mdada nadate naye ni kichefuchefu sana. Haya mambo yananipa ukakasi sana wa kusonga naye mbele.
1. Hana romantic language yaani huyu dada ana maneno magumu sijapata ona siku anakuja home namwelekeza na mtu wa bajaji, tena first day ananambia "bwana eeh kama vipi mi nageuza zangu homu...
Serikali inatarajiwa kupokea Dollar million 40 au shilingi Billioni 100 kutoka kampuni ya Barrick ikiwa ni sehemu ya kishika uchumba cha Dollar Millioni 300 ambayo Barrick iliahidi kuipa serikali ili kumaliza mgogoro wa madini.
Wazee wenzangu,
Ukiwa na mchumba na umesha mvika pete ongeza umakini zaidi ya awali, wengi wanakuwa wapole sanaa balaaa ukisha muoa yani inakuwa ni kama vita ya jihad.
sijui kwanini inakuwa hivyo.
Ila kwa wale mnaoitana wachumba na hata pete mjavikwa nasema mnafanya umalaya acheni mara...
Wakuu, habari za wakati huu?
Naomba kupewa dondoo kuhusu suala la pete ya uchumba.
1. Pete ya uchumba ni lazima mvalishane hata kama tayari mnaishi wote?
2. Pete ya uchumba lazima umvalishe mwenzio mbele za watu au unaweza ukamfanyia tu suprise mkiwa wawili hata chumbani ukamvalisha?
3. Pete...
Wanabodi,
Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho...
CHUNGU LAKINI DAWA
Kama hana bikra usimuoe, achana naye. Tafuta mwenye bikra ujichukulie mwali.
Kama hana bikra usitoe mahari kama umeamua kuoa. Toa mahari kwa mwanamke uliyeikuta bikra kwake. Mtu hana bikra unatoaje mahari.
Kama hana bikra usifanye harusi. Harusi ni kwa mwanamke mwenye bikra...
Kwanza nikiri hii ni ID yangu ya pili kwaajili ya issue hii tu, nisingependa kutumia yangu halisi kwasababu za kibinafsi zaidi.
Nina mchumba wangu tupo kwenye mahusiano kama mwaka sasa unafika na soon tulikuwa tunasubiri jambo fulani ili mwezi wa 11 tufunge ndoa, kimsingi tunapendana sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.