uchumi

  1. Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

    Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje. Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia. Sharia haijaacha...
  2. L

    Uwekezaji zaidi kutoka China kuleta kuwanufaisha watanzania na uchumi wa Tanzania

    Mwishoni mwa mwezi Aprili mamlaka za Tanzania ziliualika ujumbe wa wafanyabiashara kutoka China kutoka mkoani Guangdong nchini China kwa lengo la kufahamisha fursa za uwekezaji nchini Tanzania, wakati Tanzania ikiendelea na utekelezaji wa ajenda ya maendeleo ya viwanda. Mamlaka hizo ziliualika...
  3. SoC03 Ndoto ya asubuhi ya Watanzania ya kuwa na Tanzania ya uchumi wa gesi na madini imo mikononi mwa viongozi wa Taifa hili

    UTANGULIZI Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za gesi asilia na madini katika bara la Afrika na duniani. Hili linathibitishwa na mifano mingi ya madini yenye thamani kubwa yanayopatikana katika mikoa mingi nchini, kama vile dhahabu, Tanzanite, almasi, chuma, nikeli, makaa ya...
  4. Katibu Mkuu ANC: Hali ya Uchumi ni mbaya, nchi inaweza kufeli

    Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC) cha #AfrikaKusini, Fikile Mbalula ambaye ametaja sababu kuwa ni kukatika kwa Umeme kunakotishia kuzorotesha Ukuaji wa Uchumi. Mbalula amsema "Kama baadhi masuala hayatopatiwa suluhu, tutakuwa Nchi...
  5. Tetesi: Mjadala wa "debt ceiling" unaondelea sasa USA: ni anguko la dollar ya Amerika au kitisho kwa uchumi wa dunia?

    "Debt ceiling" ni mjadala fikirishi. America kama ipo kwenye anguko la kiuchumi vilee.., na pia wapo kama vilee kwenye kubana mzunguko wa dollar yao kutishia uchumi wa dunia kuanguka kama mbinu ya kutafuta uungwaji mkono wa kidiplomasia kutengeneza washirika wapya juu ya vita vya kuinusuru...
  6. Kauli ya Tanzania kuingia uchumi wa kati Dr Philip Mpango wakati huo ulikuwa waziri wa Fedha, imeishia wapi ?

    Mwenye kuweza kutuambia ile kauli mbiu imeisha wapi?
  7. Mbunge Edward Ole Lekaita Asisitiza Matumizi ya Uchumi wa Kidigitali & Apongeza Ujio wa Minara ya Mawasiliano kwenye Kata 12 za Jimbo la Kiteto

    MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ASISITIZA MATUMIZI YA UCHUMI WA KIDIGITALI & APONGEZA UJIO WA MINARA YA MAWASILIANO KATIKA KATA 12 ZA KITETO "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuweka fedha nyingi sana kwenye Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Nampongeza Waziri Nape na Naibu...
  8. Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

    Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Waliosokia kikao cha PM wakamfutia shtaka la uhujumu uchumi. Na kisha usiku wa kuamkia...
  9. Urusi ni super power ya mdomoni, jana nilitaka kusafiri nikakumbana na haya ndani ya ndege za Urusi

    Naongea nachokiishi siyo nachosimuliwa, kabla mrusi wa buza hujaanza kunibishia shiba sana kwanza vitumbua kwa mama willy hapo Tandale, nakusisitiza kabisa ichaji techno ya shangazi yako unayotumia kwa kujiiba ku comment JF, nasisitiza hakikisha una pitia notice ulizokalili kuhusu uchumi kwa...
  10. Tetesi: Walimu wamegeuza Shule za Serikali kuwa Vitega Uchumi vyao

    Habari zenu wote wanajamii Forum wenzangu. Napenda kuwasilisha mshangao wangu kwenu,katika hii awamu ya sita nimeshuhudia kuwepo na kudaiwa pesa kila siku ambazo Waalimu uagiza wanafunzi kwenda nazo wakitoa sababu mbali zisizo na kichwa Wala miguu, je pesa zinazopelekwa na serikali hazitoshi...
  11. B

    Chongolo awasili Geita kuzindua vitega uchumi vya CCM

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo leo tarehe 15 Mei, 2023 amewasili wilayani Bukombe mkoa wa Geita kwa ziara ya siku moja na kuzindua majengo mbalimbali ya Chama Cha Mapinduzi ikiwemo ukumbi wa mikutano, nyumba ya kupumzika wageni (Rest House) na mgahawa (Restaurant)...
  12. Mwigulu unaona TRA wakicheza na uchumi wetu?

    Walianza NEMC sasa ni zamu ya TRA kumgombanisha Rais na wananchi wake anaowapenda. Ni ukweli usiopingika kuna Taasisi zinamuingiza Mhe. Rais katika mtego na wananchi kadiri siku zinavyokwenda, waliaanza NEMC na sasa ni zamu ya Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA). Wizara ya fedha na biashara...
  13. SoC03 Uchumi wetu

    UMASIKINI WETU UKO MIKONO MWETU ,NA UTAJIRI WETU UKO MIKONO MWETU Tanzaniani ni nchi tajiri Sana inakila maliasiri Kila mkoa . Pia tanzaniani saizi inawa Wasomi wengi Sana ,kwa Nini Bado tu masikin. Tu masikini kwa sababu watu wengi akilizetu tumeziweka kwenye kuajiliwa kuliko...
  14. M

    Saa nne na nusu Dar es Salaam - Morogoro, haina siha kwa uchumi wetu

    Dar es salaam mpaka Morogoro ni umbali usiozid kilometa mia mbili lakini muda unaotumika kwa sasa hasa mabus ya Abiria ni masaa manne mpaka matano.Hii haina tija kwa uchumi wa nchi. Ni lazima lifanyike jambo la haraka.
  15. W

    Kuhujumu Uchumi na Ulanguzi

    Wakati nikikuwa nilikua nasikia hizi habari za hali ngumu ya uchumi na kukawa na operation ya kukamata wahujumu uchumi na walanguzi, tukasikia kuna nyumba zimekutwa zina basements na huku chini wame store bidhaa za kila aina. Je, hiyo ilisababishwa na nini na kwanini kukawa na uhujumu uchumi...
  16. Uchumi wa Frame Tanzania

    Uchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame. Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake, nchi kwa sasa iko kwenye uchumia wa frame, si Jeshi la Police, Si Jeshi la Wananchi, Si makanisa...
  17. SoC03 Kuchochea uchumi: Serikali iwastaafishe watumishi wa umma wenye miaka zaidi ya 50 na kuajiri vijana kuziba pengo hilo

    Habari! Itungwe sheria ya dharura itakayofanya kazi kwa kipindi kifupi (yaani sheria ya mpito). Kila mtumishi wa umma mwenye umri wa miaka 50 na kuendelea astaafishwe kwa lazima na nafasi yake aajiriwe mtumishi mpya kijana wa miaka 18- 45. Ajira hizi za kuziba mapengo zisihesabiwe na...
  18. SoC03 Tafuta pesa

    Hii ni kauli ambayo imekuwa ikitrend sana tokea mwaka jana Hadi Leo huku ikifanya wengine wajikwamue na wengine bado wasipate njia za kutoka. Binafsi nimegawanya katika njia mbili, 1: WATU WENYE AJIRA 2: WATU WASIO NA AJIRA 1: WATU WENYE AJIRA. Binafsi nimekuwa mmoja wa mashuda katika hili...
  19. L

    Safari milioni 274! Mapumziko ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanaonyesha kuimarika kwa uchumi wa China

    "Kuweka rekodi", "nguvu kubwa”, "imani”... Haya ni baadhi ya maneno yaliyotumiwa sana na vyombo vya habari vya nchi mbalimbali wakati wa kuripoti mapumziko ya Siku ya Wafanyakazi Duniani hapa China yaliyomalizika hivi karibuni. Takwimu zinaonyesha kuwa wakati wa mapumziko ya siku tano...
  20. Swali fikirishi: Je, tunahitaji idadi kubwa ya watu ili kujikwamua kiuchumi au tunahitaji watu wenye tija kwenye uchumi wetu?

    Angalizo: Mada hii haiwahusu wenye mtizamo wa kuijaza dunia katika mtizamo wa imani za dini. Wakuu, bila kuwachosha naingia moja kwa moja kwenye mada. Kwanza, nikiri wazi kuwa mie si mtaalamu wa uchumi, bali ni mdau wa mambo fikirishi tu. Nimekuwa nikisoma baadhi ya maoni ya watu wakisema eti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…