uchumi

  1. J

    Tazama jinsi Samia alivyomzidi akili Magufuli kwenye uchumi

    Hii ni chart ya Shilingi ya Kenya vs Shillingi ya Tz, kama mnavyoona shilingi yetu iliporomoka dhidi ya Shilingi ya Kenya hadi kufikia 1Ksh=Tshs 23 kipindi cha Magufuli, Samia amefufua uchumi wa nchi na sasa shilingi yetu imepanda dhidi ya Kenya hadi kufikia 1Ksh=18Tshs. Na ndio kwanza hata...
  2. J

    Kamari inadhoofisha Nguvukazi na kupunguza mzunguko wa Fedha kwenye Uchumi

    Nilitegemea mikutano mitatu ya kwanza ya CHADEMA hali ya Uchumi ndio ingekuwa Hoja kuu. Cha ajabu hoja kuu imekuwa Maridhiano ya CCM na CHADEMA ambayo hayawahusu Watanzania wote. Unapopata fursa ya kuongea na Wananchi zungumzia mambo ya Taifa siyo ya chama chako. Nampongeza Komredi Chongolo kwa...
  3. I

    Je, huu ndio mwisho wa ukuaji wa juu kwa uchumi wa China?

    Wakati sehemu kubwa ya dunia ilipopitia mdororo mkubwa wa uchumi mwaka 2008-2009, China, kupitia juhudi kubwa za matumizi ya serikali, iliweza kukabiliana na dhoruba na kuinua uchumi wa dunia. Huku ulimwengu ukitetereka "karibu hatari" kwa mdororo wa ulimwengu kwa nyuma ya vita vya Urusi huko...
  4. Uteuzi wa Katwale Ukuu wa Wilaya Chato: Kalemani kaoneshwa njia ya kuondoka? Aligombea ubunge Chato, akapachikwa Kesi za Uhujumu Uchumi

    Sijafahamu lengo la SSH kumpeleka Katwale kuwa mkuu wa wilaya ya Chato. Huyu ndugu ni mtaratibu, mpole, na aliwahi kufanya kazi NEMC kama mwanasheria, akajijenga kisiasa, akakubalika kweli kweli, ila Jiwe akawa anamtaka Kalemani ambaye alikuwa dhaifu kisiasa. Ikasukwa zengwe, akapita Kalemani...
  5. K

    Awamu ya sita kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imejipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao barani Afrika, Serikali imeanza kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA). Dira ya serikali ni kuifanya Tanzania kuwa kinara katika...
  6. Marais kutoka Pwani/Pemba wanatuokoa kila mara demokrasia inapominywa, huipa Nchi unafuu wa demokrasia, uchumi na amani

    N:B: >> Pwani inayozungumiwa ni mkoa, sio ukanda wa pwani unaojumuisha mikoa ya ziada ya Tanga, Lindi na mtwara. Kigezo kikuu kwa marais hawa huwa ni utamaduni wao wa ustaarabu, ni utamaduni ambao kwa mikoa ya Pwani na Pemba ni sehemu ya maisha yao kabisa kwa muda mrefu, elimu, dini na...
  7. S

    Tuelekeze nguvu kujenga uchumi siyo mikutano ya Siasa

    Pamoja na mikutano ya Siasa kuruhusiwa kwa Busara za Rais Samia ni Muhimu watanzania tukumbuke kuwa nchi Yetu inaitaji nguvu kazi kujenga uchumi imara nimeshuhudia Leo watu wasio na nauli wakitembea toka Asubuhi kutoka sehemu mbali mbali za jiji la Mwanza kwenda furahisha. Ushauli wangu...
  8. Google kupunguza wafanyakazi 12,000 duniani kote, mdororo wa Uchumi watajwa

    Sababu za punguzo hilo ni Mdororo wa Uchumi na Ukuaji Mdogo wa Uchumi wa Dunia usioendana na Mapato ya Kampuni hiyo kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa Umma, Mkurugenzi Mtendaji wa Google na #Alphabet, #SundarPichai, tayari amewatumia Barua Pepe...
  9. K

    Alichozungumza Rais Samia Kwenye Jukwaa la Uchumi, Davos nchini Uswisi

    Rais Samia Suluhu amehimiza sekta binafsi kuwekeza Afrika katika uzalishaji wa nishati jadidifu ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika wa nishati hiyo. Ametoa wito huo akichangia mada katika mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani unaofanyika Davos, nchini Uswisi.
  10. F

    Nani anahitaji mapokezi makubwa ya heshima, ni Rais Samia ambaye siku zote anapambana kujenga uchumi au Tundu Lissu anayekirudia kivuli chake?

    Ni swali tu ndugu zangu ambalo limekuwa likininitatanisha sana na leo nimeona nishiriki nanyi kulijadili. Nimeona Tundu Lissu akiomba watu wakahudhurie mkutano wa hadhara uliotishwa na chama chake, ni jambo jema kama kiongozi wa kisiasa. Pia, nimeona watu wakihimizana wakampokee Lissu akitua...
  11. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani, Davos, nchini Uswizi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani, Davos, nchini Uswizi.
  12. F

    Rais Samia anazidi kuifungua nchi kimataifa. Tanzania kunufaiki na fursa za kongamano la Uchumi duniani

    Mhe. Rais Dkt.Samia Suluhu ni moja ya viongozi 50 duniani walioalikwa kuhudhuria kongamano la Uchumi duniani linalofanyika nchini Uswisi lakini viongozi kutoka bara la Afrika waliolikwa ni wawili ambao ni yeye na Rais Ramaphosa. Pamoja na mambo mengine, kongamano la mwaka huu lililoanza Januari...
  13. M

    Nimejikagua na kujipima upya kuhusu mwenendo wa uchumi, nimekosa raha

    Kujikagua na kujipima ni jambo la muhimu sana , hebu tafakari miaka mitano yako nyuma na sasa, huko ulimiliki nini na sasa unamilki nini , shughuli zako za kiuchumi je zimetanuka na atleast zinatosheleza mahitaji yako au bado mechi Ngumu sana upande wako ukichukua...
  14. Siku Mchina akianza kutengeneza magari madogo ya kutembelea, uchumi wa Japan utayumba

    Kwenye piki piki, honda na yamaha na suzuki wametolewa sokoni huku Afrika. Mabasi na malori mchina kashika soko, Yutong tatu sawa na scania moja, Kwenye malori ni hivyo hivyo. Sasa siku akiamua kutengeneza gari ndogo za kutembelea, mjapani atapata shida
  15. Mkurugenzi wa Iramba na wenzake 6 Kizimbani kwa uhujumu uchumi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Iramba mkoani Singida, Augustino Matomola na wenzake sita wamefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wakituhumiwa kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya ofisi. Watuhumiwa hao...
  16. Mkuu wa Wilaya na Katibu Tawala wafikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewafikisha Mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Ruben Mfune na Katibu Tawala Msaidizi wa Fedha mkoani Kilimanjaro, Juma Masatu kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh51 milioni. Wawili hao walidaiwa...
  17. Sheria itungwe watu wote wanaotumia Tecno, Infinix na Itel wawe wahujumu uchumi

    Kiukweli Tafadhali sheria naomba itungwe wale watu wote ambao wanatumia simu hizo hapo juu wawe wahujumu uchumi maana tumechoka sana kuziona hizo simu zikiua watu na kulipuka hovyo hovyo. Jana tu kuna Jobless mmoja ambaye ni kabila moja kutoka Kanda ya ziwa amelipukiwa na simu moja hapo juu...
  18. A

    Kuanguka kwa uchumi: Serikali inakosea wapi?

    1. Uchumi wa Tanzania umeendelea kuzorota siku hadi siku. Na sasa maisha ya wananchi wengi yako taabani. 2. Ni nini serikali imekosea hadi hali ya uchumi wetu kuwa taabani kuliko wakati wowote tokea uhuru. 3. Wakati wa mwalimu Nyerere vitu vilikosekana laki bei haikupanda siyo kwa bidhaa hata...
  19. R

    Tundu Lissu ana Mali au biashara anazomiliki hapa nchini? Viko wapi vitega uchumi vyake?

    Wanasiasa kama Lissu naelewa siyo wafanyabiashara, hawana maono yakumiliki Mali, siyo wezi na wameumbwa kupambana wakati wote na matajiri. Lakini pamoja na ukweli kwamba siyo watu wa kujilimbikizia Mali upo umuhimu wa kufahamu anamiliki nini hapa nchini? Anamiliki kampuni gani? Ana ukwasi kiasi...
  20. Tanzania inatajwa kuwa na uchumi bora

    Wachumi wanaamin Tanzania inanafsi nzur.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…