Ipo hivii hawa wanawake ndio wahusika namba moja kwa kudate na masponsa.
Na hawa masponsa wengi wao ndio viongozi wetu au ni watu walio kwenye vitengo vikubwa vikubwa wakiendesha taasisi au makampuni yanayo chakata uchumi wa taifa.
Sasa ni hivi nyie wanawake mnawaambukiza ma uti,kaswende na...
Wakihojiwa juu ya hali ngumu ya maisha wananchi hao wametupia lawama serikali lakini zaidi wabunge wao kua tatizo.
Wananchi hao Kwa nyakati tofauti wameonesha kukerwa na kuzorota Kwa maisha huku biashara nyingi zikifa kibudu.
Mwanamama mmoja katika mahojiano hayo akiongea Kwa uchungu amesema...
Mimi sio mwana uchumi, niko tayari pia kuelekezwa na kupigwa
ILA,
Ila naamini Uchumi sio hesabu.
Haya ma-graphs ni techniques za serikali zetu kujionesha wanafanya jambo.
Binafsi naamini kipimo bora cha uchumi ni kupima ukuaji wa ubora wa maisha wa jamii masikini sana kulingana na huduma...
Zanzibar pasingetokea mapinduzi ambayo yaliyoasisiwa Tanganyika na wakubwa na kumfanya Rais Amani Karume akubali Muungano kwa shingo upande, basi leo hii Zanzibar ingekuwa na uchumi mkubwa pamoja amani lakini Leo hii Zanzibar inatia huruma.
Kila kitu kinaamuliwa kutoka bara,kuanzia Rais wao...
Wakati mkutano wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unafanyika mjini Beijing, wataalamu na wachambuzi wa mambo ya ushirikiano wamekuwa wakifanya mapitio ya baadhi ya miradi inayotekelezwa na China barani Afrika, na matokeo yake kwa uchumi wa nchi hizo. Kinachoonekana ni kuwa...
Kuna kipindi ule upepo wa kesi za uhujumu uchumi Na utakatishaji fedha ulizidi kiwango chake , hasa kile kipindi cha mwendazake...sidhani kama ule upepo ungemuacha huyu jamaa yangu mwenye tabia za m
Kihaya😀..
Wakati nusu ya Wairani wakiishi chini ya mstari ufukara, huku hali ya uchumi wa Iran ikiendelea kuzorota na pesa yake ya Rial ikipoteza thamani wakati wananchi wakizidi kugeukia ununuzi wa dhahabu, fedha za kigeni na kuhamisha mitaji nje ya nchi.
Katika mwaka uliopita, Rial ya Iran imepoteza...
Hatupaswi kuishi jumlajumla.
Ni vizuri ukajitathmini na ujiwekee kiwango chako cha pesa na mali ambacho chini ya hapo utafanya lolote usishuke.
Madhara ya kuishi bila kujiwekea kiwango chako cha chini cha umasikini au kuishiwa utajikuta umeingia kwenye levo ya umasikini ambao haitawezekana...
Mimi sio muumini wa vita ya uvamizi,lakini nipende kukiri kuwa Syria iliishi kinyonge mno kuliko Ukraine inavyojipambanua katika vita hii kati ya Russia na Ukrain.
Kila nikiwa katika kazi zangu za kila siku nikikumbuka vibaka wa kariakoo wanavyochomwa moto wa petroli na kusahau kuwa kumbe...
Tanzanian billionaires, like those in many developing countries, often invest in industries like beverages due to several key factors:
1. Established Market Demand: The beverage industry, especially for affordable and mass-market products, has a consistent and growing demand. The consumer base...
Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani??
Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel.
Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa...
Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu ina faida nyingi kwa nchi, hasa katika maendeleo ya kiuchumi. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za kiuchumi zinazoweza kupatikana kwa kutumia mifumo hii:
1. Kukuza Ustawi wa Kijamii
Usawa wa Kijamii: Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu inahimiza usawa na haki, kwani...
Kama unaweza kujichotea mabil ya pesa na hakuna mtu wa kuhoji. Kwa nini usiwe mwenyekiti wa kudumu maisha?
Hata kama utatambua kuwa kupata hata madiwani na wabunge ni ngumu maaana wananchi walishapuuza chama unachokimiliki kama kuku wa kufuga wa mayai.
Unakuwa na kundi dogo kama la akina...
Kama mtu umefanya biashara nchi hii utagundua kwamba aliyetunga sheria zingine za kodi hajawahi hata kuuza karanga.
Sheria za kodi na kanuni zake zimelalamikiwa kwa miaka nenda rudi, huku TRA wakisema hawahusiki na sheria hizo na wanawakandika wafanyabisahra kama zilivyoandikwa, liwalo naliwe...
Ukiangalia sarafu dhaifu za Afrika, inadhihirika kuwa udhaifu wa nchi hizi unachangiwa na sababu nyingi zenye utata. Iwe ni kutokana na kutokuwa na uthabiti kisiasa, changamoto za kiuchumi, utegemezi wa misaada.
Shuka nazo hizo.
10. Angolan Kwanza (AOA)
Exchange rate: 1 AOA = 0.0012 USD
9...
Sote tunafahamu umuhimu wa utalii kwenye kuchangia pato katika uchumi wa nchi yetu. Hivyo basi, panapotokea taharuki inayoweza kusababisha kupungua kwa idadi ya watalii, anayesambaza hiyo taharuki ni sawa na mhujumu uchumi tu.
Sasa kulikuwa na haja gani kwa hawa watu wawili kupiga makelele na...
TANESCO kwa nini mbona mnakwapua pesa za wanyonge bila huruma. Mwanzo wananchi walipiga kelele kuwa mmepandisha kodi ya jengo kutoka 15,000/= hadi 2,000/=lakini mlikuja kukanusha huku ukweli mkiujua.
Sasa hivi kuna uhuni unaofanywa wakati wa kununua umeme kuliko hapo awali. Sasa hivi karibu...
Hivi karibuni Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liliinua makadirio ya ongezeko la pato la taifa la China kwa mwaka wa 2024, kutoka asilimia 4.6 za awali hadi asilimia 5, hatua inayoonesha imani ya jumuiya za kiuchumi za kimataifa kuhusu uchumi wa China. Makadirio haya pia yameongeza matumaini...
Yuan ya Uchina imesaidia kufadhili mashine ya biashara na vita ya Urusi - lakini siku hizo zinaweza kuwa zinaelekea ukingoni.
Vikwazo vya Nchi za Magharibi vimeifungia Urusi nje ya mfumo mkuu wa kifedha wa kimataifa unaotawala dola maarufu kama (SWIFT) lakini nchi hiyo imeweza kustahimili...
Wasalamu, Ukitaka kwenda mikoa ya kusini kutokea Ifakara option ni mbili lazima uje Dar au upite Makambako Songea ambapo itakuchukua siku mbili.
Tofauti na kama ikipatikana barabara ya kupita mbuga ya Selous utatumia masaa sita kufika Lindi na mikoa ya Kusini.
Ipo njia ya miguu wanatumia siku...