uchumi

  1. L

    SoC04 Sekta ya Ujenzi na Ukuzi wa Uchumi wa Tanzania katika maendeleo endelevu

    Tanzania na nchi za afrika kwa ujumla wake tumekuwa na uduni katika kukuza SEKTA ya UJENZI kwa MAENDELEO ENDELEVU pamoja na usalama wa nnchi zetu 1. SEKTA YA UJENZI ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote Tanzania ikiwemo. Kati ya sekta inayotumia pesa nyingi katika mataifa...
  2. Tumejiandaaje kuwasikiliza Leo Wachambuzi Uchwara wa Uchumi ambao baada ya Bajeti Kusomwa watahojiwa na wataisifia ili Teuzi zijazo Chura awakumbuke?

    Wachambuzi pekee wa Uchumi ambao niliwakubali na nitawakubali ni Mzee Lipumba, Marehemu Ngowi na aliyekuwa Mwalimu ( Mhadhiri ) wangu wa Somo la Uchumi Chuoni SAUT Mwanza Luzangi, ila wengine Wote kamwe sitopoteza muda Wangu kuwasikiliza kuanzia na Mchumi Mpuuzi Mmoja wa Saa 11 Jioni ya Leo...
  3. K

    SoC04 Rais Samia inafaa zaidi asimamie mapato ya ndani ya Nchi

    Huu ni kutokana na ukweli kwamba,hata hizo Nchi ambazo zimeendelea ni kwasababu tu ya usimamizi bora wa mapato ya ndani ya Nchi. Tunayo mifano mingi ya kuweza tumia kama rejea.Kwa mfano Nchi ya India ilikuwa chini ya koloni la Uingereza mnamo mwaka wa 1947, India ilipata uhuru wake wa bendera...
  4. SoC04 Udhibiti wa Kupanda kwa Gharama za Intaneti Unavyoweza Kuongeza Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Kidigitali

    Utangulizi Kupunguzwa kwa gharama za intaneti ni suala muhimu linalogusa nyanja nyingi za maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Tanzania, kama nchi nyingi za Afrika, ina nafasi kubwa ya kukuza uchumi wa kidigitali kupitia upatikanaji wa intaneti nafuu na yenye kasi. Katika makala hii, tutaangalia...
  5. SoC04 Tanzania tuitakayo:Maono ya kibunifu kwa uchumi endelevu wa tanzania na fursa kwa vijana

    Tanzania ya baadaye inaangazia mwelekeo wa uchumi endelevu unaoweka msisitizo mkubwa katika kuleta fursa za ajira na ujasiriamali kwa vijana. Kupitia mipango ya kibunifu na utekelezaji wa sera makini, tunalenga kujenga uchumi imara ambao unawanufaisha wananchi wote, hususan vijana. Hapa ni maono...
  6. Kulikoni viazi bei iko juu sana 170,000 au ndio uchumi wa kati!

    Habar ndugu zangu Jamiiforums Niende kwenye mada chap. Jana nimetoka gengeni kuulizia tu viazi kidogo naambiwa viazi vimepanda bei maradufu. Kwamba gunia moja ni laki 1 na elfu 70 kamili. Nikajiuliza ni kuwa chips ni chakula pendwa kwa sasa mpaka viazi vimekuwa adimu sana au uzalishajj wake...
  7. L

    David Kafulila na Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaibeba CHADEMA katika Hoja zote za Masuala ya Uchumi.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Wafuatiliaji wa siasa za Nchi hii mtakubaliani nami kuwa Mheshimiwa David Kafulila pamoja na Mheshimiwa Zitto Kabwe ndio watu Pekee waliokuwa wanaubeba Upinzani hasa CHADEMA katika masuala na hoja zote zinazogusu na kuhusu Uchumi.Ndio maana CHADEMA mpaka sasa huwezi...
  8. M

    Kafulila: Uchumi wa dunia ni US$ 105trilion 97% ni deni kukopa na kujenga ndio mpango mzima Duniani

    David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia nzima kwa sasa. Kafulila anatufumbua macho kwamba nchi zote kubwa duniani tunazoziona...
  9. G

    Wenye ndoto za kwenda Marekani au Ulaya, pesa zipo lakini kwenye suala la wanawake mtapata taabu sana. Nchi yetu ni pepo ya mapenzi, tatizo ni uchumi

    Marekani / ulaya / Australia / Canada yani kwa ufupi nchi za wazungu kuna ajira nyingi sana, kupata pesa ni juhudi zako tu, ni kawaida kukuta mtu anafanya kazi za kipato cha chini zisizohitaji elimu ya chuo mfano kazi za kwenye ma godown malipo elf 40 kwa saa, Tatizo la wenzetu wamekuwa...
  10. R

    Ikiwa wameweza kumteua marehemu, viongozi wetu wazuiwe kutukopea na kusaini mikataba, watauza Nchi!

    Salaam, Shalom!! Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza kuiumiza nchi yetu, Sasa viongozi wetu wameonyesha hawana Umakini wowote, maana kiutaratibu...
  11. M

    SoC04 Kazi iendelee kwa kufanya kazi masaa ishirini na nne katika siku saba za wiki kwa kuukuza uchumi wa kila Mtanzania

    Yamkini tukiweza kuruhusu na kufungua sehemu nyingi za kiuchumi kufanya kazi usiku na mchana tutaongeza wigo kubwa la kuwapatia nafasi wasiokuwa na ajira kupata ajira. Tukiachilia hivi karibuni baadhi ya mabasi yaliyoachiwa kufanya kazi ya usafirishaji wa abiria usiku na baadhi ya makampuni...
  12. Athari za uchumi imebadilisha malezi na maadili kwa watoto

    Hali ya uchumi imekuwa ngumu, na zamani, wanamama waliweza kukaa nyumbani na kulea watoto wao vizuri kwa kujishungulisha kwa biashara ndogondogo ana kuweza pia ungalia na kuwa na muda mrefu na watoto wao. Hata hivyo, sasa inawalazimu kuwa na watu wa kuwasaidia kulea watoto kama dada wa kazi au...
  13. Njoo ufunguke kitu kinachokupa wakati mgumu

    Habari za mchana marafiki zangu wa Faida njoo UFUNGUKE Ka Kero kanakokupa WAKATI MGUMU katika harakati zako za kila siku Mimi kwakweli Nina KINYAA SANA mwepesi mno kutapika sasa kitu kinachonipa WAKATI MGUMU nikawa harakati njaa ikauma nikaona nitafute genge au mgahawa nikikuta wahudumu na...
  14. A

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika sekta ya uchumi

    Naitwa Amos maduhu magembe kutoka ubungo manicipal kata ya kibamba. Uchumi ni swala la msingi na UTI wa mgongo Katika maendeleo ya taifa letu la Tanzania Katika maswala ya kiuchumi, tunahitaji kufanya Mambo yafuatayo Ili kuifikia Tanzania tuitakayo baada ya miaka 25. 1. Viongozi kuwa wazalendo...
  15. S

    SoC04 Uchumi wa giza

    Tanzania NI nchi ambayo ina taasisi tofauti tofauti kwaajili ya ukusanyaji wa Kodi, ikiwemo TRA, Polis, na Taasisi tofauti tofauti, Ila cha kushangaza ni namna ya usimamizi wa MAPATO Bado aujawekwa katika mfumo mzuri, Kodi ambayo Serikali inakusanya Nindogo kuliko ambayo Aikusanyi. Tanzania NI...
  16. Y

    SoC04 Tuachane na itikadi ya uchumi wa amri au "command economy" ili tuelekee uchumi wa masoko huru au "free market economy"

    Habari Wanajukwaa wote! Poleni na hali ya kimaisha ambayo tumekuwa tukiishi nayo kwa muda mrefu ambayo haikuwa na budi kutokea ila imefika wakati inabidi kuachana nayo kwa ustawi wa kila mmoja wetu ili kuendana na uchumi wa kudunia unaoendelea hivi sasa. Rejea na kichwa cha andiko hili, nchi...
  17. K

    Tanzania kama nchi tujipange kurekebisha uchumi wetu

    Kila kukicha uchumi wetu unaporomoka. Leo hii Dollar moja ya Kimarekani kwa ubadilishaji(exchange rate) inakimbilia kuwa T.shs.3,000. Wenzetu wa Kenya juzijuzi fedha yao ilikuwa inabadilshwa kwa Dollar moja ya Kimarekani (exchange rate) Ke 163 na sasa imeshuka mpaka Ke 143 kwa Dollar moja...
  18. B

    Mkulima wa Mwani: Sera ya Uchumi wa Buluu katika kilimo cha Mwani, haitekelezwi. Kilimo chawa kigumu

    “Nina Watoto nane, shughuli yangu kubwa ni Kilimo cha Mwani ambayo ni miongoni mwa mazao ninayoyategemea kunipatia mkate wa kila siku. Nafanyia shughuli zangu katika Kijiji cha Shamiani Kangani, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Hapa ndipo pia ninapoishi. Nimekuwa na ndoto ya kuwa mkulima...
  19. H

    SoC04 Uchumi wa vyombo vya habari katika wakati huu wa maendeleo ya Teknologia ya habari na mawasiliano

    Uchumi wa vyombo vya habari katika wakati huu wa maendeleo ya Teknologia ya habari na mawasiliano. Vyombo vya habari, kama vile vituo vya redio, magazeti, vituo vya runinga, vimekuwa vikipitia wakati mgumu katika wakati huu wa mapinduzi ya kidigitali hasa kuibuka kwa mitandao ya kijamii, kama...
  20. O

    Msaada: Maslahi kwenye ajira za polisi yakoje kwa sasa?

    Jamani kwa mwenye anajua maslai ya polisi kwa sasa embu atuambie maake nasikia kwamba ajira walizotoa mwaka huu maslai wataboresha zaidi, ukizingatia kwa sasa ni vijana watupu wamepewa kipaumbele but kwa upande wangu i think this all its done because of the general election on 2025.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…