uchunguzi huru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania LEMA waambie walokutuma, Hatuogopi kufungwa kwa sababu ya Ripoti za Kihuni za JAJI Chande na JAJI Lila,Kwann CCM hawataki uchunguzi Huru?

    Kama Viongozi wa CHADEMA wataishia Jela, swali la msingi ni Wanaishia Jela kwa Haki au Uonevu na Ukandamizaji??. Yaaan wewe LEMA mpumbavu, unataka CHADEMA iwapihie Magoti CCM eti sasa Viongozi wake wasifumgwe??? Wewe LEMA ni mjinga kupindukia, Badala ya kuwaambia Wananchi lazima Tupambane...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT: Tunaitaka Serikali kukubali uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu matukio ya Uchaguzi Mkuu wa 2025

    ACT Wazalendo imepokea taarifa ya Serikali kuhusu kuundwa kwa Tume ya Rais ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025. Pamoja na kutambua umuhimu wa kuwapo kwa uchunguzi kuhusu matukio hayo, tunasikitishwa na uamuzi wa kuunda Tume ambayo muundo wake...
  3. JamiiForums Tanzania Semu: Maridhiano ya kweli, Serikali iwaachie huru wafungwa wa Kisiasa, iruhusu uchunguzi huru wa Kimataifa wa Oktoba 29

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesisitiza kuwa Tanzania haiwezi kufikia maridhiano ya kweli na ya kudumu bila kuwepo kwa misingi ya ukweli, haki na uwajibikaji. Semu ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tatu ya Madiwani wa ACT Wazalendo kutoka kata...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi wa Udaktari Bingwa Bugando wanaosomea Mifupa walalamikia kufelishwa makusudi, waomba mamlaka kuingilia kati

    Ni kwa muda mrefu sasa wanafunzi wa Udaktari Bingwa wa Mifupa Bugando wamekuwa wakipitia mazingira magumu pamoja na kufelishwa makusudi katika idara yao bila uongozi wa chuo kuchukua hatua, ilhali wanafahamu matatizo yaliyopo kwenye idara hii. Chuo kimekuwa kikidahili wanafunzi wa mwaka wa...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uingereza yataka uchunguzi huru Matukio ya vifo Oktoba 29 nchini Tanzania

    Serikali ya Uingereza imeifikisha Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikitaka kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kufuatia kile ilichokiita "ukatili wa kushtua" uliotokea baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, ikiwemo tuhuma za mauaji ya kinyume cha sheria na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…