Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela amewasimamisha kazi wakuu wa idara watatu wa halmashauri ya Sengerema kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za miradi ya maendeleo.
Waliosimamishwa kazi ni Tabwe Seleman ambaye ni kaimu mweka hazina wa halmashauri hiyo, Renatus Shule (kaimu...