Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro Frida Wikes, amesema kuwa uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazo muhusu aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya unaendelea vizuri katika Mkoa wa Kilimanjaro.
"Kesi za mshitakiwa huyu (Sabaya) zimekuwa zikienda mfululizo hivyo kesi nyingine...
Ni katika kujiuliza tu ndugu zangu.
Maseneta wa jimbo la Oregon Marekani, Kim Thatcher na Dennis Linthicum, wamewasilisha ombi la kutaka kuitishwa kwa baraza la uchunguzi (Grand Jury) ili kuchunguza kile wanachoita: “CDC’s Willful Misconduct to Hyperinflate COVID-19 Data Following Federal Law...
Ndugu wa Wahanga wa mlipuko uliotokea Beirut Agosti 2020, walionusurika tukio hilo pamoja na Mashirika ya Haki za Binadamu wametaka kufanyika uchunguzi huru chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa (UN).
Wamesema Uchunguzi wa ndani umekuwa unakwamishwa mara mwa mara na umeshindwa kufikia vigezo...
Hii miradi ndio kichaka ambacho mzee alikitumia kupiga mamilioni ya mabilioni, bado tunaomba uchunguzi ufanyike!
Kimkakati, katika hizi wizara aliweka watu wa "nyumbani" watunze siri japo na wao wana vikampuni vyao ndani ya miradi
Waliacha bomba la gesi wakaanzisha miradi ya dili
Mh. Samia...
Utafiti wa kutosha ufanyike kuhusiana na mwenendo wa haya Malori jamii ya FUSO.
Magari haya yamekuwa ni chanzo kikubwa sana cha ajali zinazo poteza maisha ya Watanzania wengi!! Yaani kama utasafiri usiku ndio utaona namaanusha nini.
Mwendo wa haya magari sio mchezo ni hatari sana kwa...
Dar es Salaam. Familia ya Hamza Mohamed aliyewapiga risasi na kuwauwa askari watatu, mlinzi mmoja wa kampuni binafsi na kisha naye kuuawa kwa kupigwa risasi, wameeleza kusikitishwa na taarifa kutoka polisi kuwa ndugu yao alikuwa gaidi.
Akizungumzia uchunguzi wa polisi, jana Alhamisi, Setemba2...
Kamanda Wambura ametoa taarifa yake kuhusiana na uchunguzi wa kadhia ya Hamza kuwa alikuwa ni gaidi.
Halipo jipya kwenye taarifa hiyo kwani ni wazi kuwa kilichofanyika ni kuhalalisha tu ambacho polisi kama sehemu ya kadhia wangekitaka.
Ikumbukwe pia kamanda Sirro alishahoji hata uhalali wa...
Kwa mara ya Kwanza polisi wetu wameweza kuchunguza kwa haraka zaidi na kwa muda mfupi mno na kupataa majibu mengi juu ya gaidi Hamza. Kuwa alijifunza Ugaidi mtandaoni, aliishi kwa Siri na kuwa alikuwa ni gaidi wa kidini, Imani kali.
Polisi wetu wameweza kufanya uchunguzi huku gaidi Hamza akiwa...
Leo DCI ametoa taarifa aliyoiita kuwa ni matokeo ya uchunguzi.
Kwangu mimi, na nadhani kwa Watanzania walio wengi, Polisi hawakuwa taasisi sahihi ya kufanya uchunguzi wa mauaji yaliyofanywa na Hamza dhidi ya polisi na pia kifo chake yeye mwenyewe Hamza.
Kwa nini?
Katika tukio la mauaji ya...
Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.
2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza...
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga.
Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa...
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kwamba aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro, Ndaki Muhuli ambaye kwa sasa amehamishiwa wilayani Kakonko alianzisha miradi ya ufyatuaji matofali na uchanaji wa mbao kama miongoni mwa miradi ya halmashauri ya Siha.
Taarifa...
aj
Binafsi jibu ni ndio...huyu jamaa na timu yake wapo vzuri katka kufunya uchunguzi na katka kudadavua ukweli ....bila kuiogopa serikali.
Naamini adi sasa tungejua mbivu na mbichi,but waandishi wa Sasa tz wengi waoga sanaa..
TBS INA JUMLA YA MAABARA 9 AMBAZO ZINATUMIKA KUCHUNGUZI BIDHAA KISASA
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lina jumla ya maabara tisa ambazo zinatumika katika uchunguzi wa bidhaa mbalimbali ambazo ni bora na kuna vifaa vya kisasa vya uchunguzi pamoja na wataalamu waliobobea katika uchunguzi...
Salamu zake ni hizi:
Natoa pole kwa Jeshi la Polisi na familia za Askari 3, na Askari 1 wa kampuni ya ulinzi ya SGA waliopoteza maisha baada ya mtu aliyekuwa na silaha kuwashambulia katika eneo la Salenda, Dar es Salaam.
Mtu huyo amedhibitiwa na hali ni shwari. Nawaagiza Polisi kuchunguza kwa...
Kwa mfano Kama Nilikuwa mlevi sana wa pombe kali na mvuta sigara kwa zaidi ya miaka 20 Sasa nikataka kujua hali yangu ya organ za ndani zipoje; yaani nijue kama kuna dalili za kansa ya mapafu,ini na Koo na pia nifanye kipimo Cha magonjwa ya Figo.
Je, hiyo check-up ya mwili hufanywa kwa vipimo...
Inasemekana kwamba aliyekuwa OCD wa Hai kipindi cha Uchaguzi ndiye amekuwa RPC wa Kinondoni na ndiye aliyemwambia Mbowe juzi walipomkamata kwa kumdhalilisha kwamba safari hii hachomoi watampiga na kesi ya Ugaidi.
Kama hili ni kweli kamanda Sirro unawezaje kutuaminisha kwamba Jeshi la Polisi...
Naliomba jeshi la polisi likamilishe uchunguzi wa nani alimpa Mangula Sumu na ni nani aliemshambulia Lisu kwa risasi ili wote wajumuishe kwenye mashtaka ya kuua viongozi na ugaidi kama mnavotaka kufanya Kwa Mbowe!
Huku mtaani kuna tetesi zinazagaa kuwa Mama umesimamishwa Uongozi wako na Jeshi...
Kuna mambo ambayo mahakama/polisi inabidi mubadilike
Kuna dogo alimchoma mwenzie kisu akakaa mwaka ndani wakidai uchunguzi unaendelea.
Hay mambo yanakatisha tamaa sana mahakamani, mfano mauaji ya kijana Goba.
Huyu dada usishangae mwaka mzima aje hukumiwa huku ndugu wakidanganywa toa hiki toa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.