uchunguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. John Haramba

    Wafanyabiashara wataka uchunguzi kiini moto sokoni, wadai ni njama

    Baadhi ya wafanyabiashara wa Soko la Mbuyuni katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wameiomba serikali kuunda tume ya kuchunguza chanzo cha moto ulioteketeza maduka matatu katika eneo la Stendi ya Mboya, huku wakidai tukio hilo ni njama. Wafanyabiashara hao wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa...
  2. mama D

    Kufufuka kwa wafu - Ni maajabu yanayoendelea kwa kasi nchini huku wanahabari/jamii wakizipa nafasi ndogo kama habari zinazohitaji uchunguzi wa kina

    Habari za watu kufa na kuzikwa na baadae kupatikana wakiwa hai ni za kushangaza mnooo. Yaani mtu amekufa kwa kuugua au ajali au ghafla tuu, hospitalini wanahakikisha amekufa na wanatoa cheti cha kifo na mwili mnakadhiwa, mnaenda kuzika na viongozi wa serikali za mtaa, viongozi wa dini na...
  3. C

    FCC hata kama wamejitoa tunataka majibu ya uchunguzi ya ule udhamini feki

    FCC malalamiko yalifikishwa kwenu sikuy nyingi hawa jamaa wakanusa hatari ya ripoti yenu wakakimbia haraka kama nguchiro na mkia katikati ya miguu yao. TUNATAKA MAJIBU YAWEKWE HADHARANI ili iwe onyo isijirudie tena siku nyingine kwa matapeli ya soka mengine kujitokeza yakishirikiana na TFF...
  4. thirteen06

    Kwa mliooa tukutane hapa

    Kwenye kusaka mwenza utata ni mwingi Sana. Unaweza fika mahali ukahisi kuchoka kuhangaika kutafuta mwenza wa ndoto zako ili kupata alie Bora, matokea yake wote unaowachunguza kwa lengo zuri la kuoa unakutana na sintofaham mbalimbali ambazo ukizifikiria kwa undani unaona kabisa baadae unaweza...
  5. J

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Mabosi wa Polisi Mtwara na Kilindi kupisha uchunguzi wa mauaji

    Waziri Mkuu mh Majaliwa amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO wa Mtwara na OCD na OCID wa Kilindi Tanga ili kupisha uchunguzi wa Tume aliyoiunda. Pia, Waziri Mkuu Mkuu Kassim Majaliwa ameunda timu maalum ya watu 9 yenye watu kutoka ofisi mbalimbali za serikali ambayo imepewa...
  6. Roving Journalist

    Moshi: Moto wateketeza Soko la Mbuyuni

    Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto. Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
  7. M

    JWTZ ifanye uchunguzi dhidi ya tabia na mwenendo wa askari wake Denis Urio

    Hii kesi inayoendelea mahakamani imeufungua macho umma wa Watanzania juu ya tabia ya askari huyo. Aina ya Ushahidi ambao komando Urio ameutoa mahakamani umeacha maswali mengi sana ya umma juu ya tabia ya askari huyu lakini pia hata kuathiri taswira ya jeshi mbele ya umma. Kuna haya mambo...
  8. Suley2019

    Amos Makalla: Chanzo cha moto wa soko la Karume ni mshumaa uliowashwa na mateja

    SERIKALI YARUHUSU WAFANYABIASHARA KUREJEA KARUME KWA MPANGO MZURI. - Umati walipuka kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan. - RC Makalla apokea taarifa ya ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza Chanzo Cha Moto. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameruhusu...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini matokeo ya Tume ya Uchunguzi wa Kuungua Masoko huwa hayawekwi wazi?

    Limeungua soko la Kariakoo, waziri mkuu akaunda tume, hadi leo wahanga hawajulishwa, wala umma haujajulishwa ni nini kilichopo ndani ya ripoti hizo. Sio tu Kariakoo, bali masoko yote yaliyowahi kuungua hakujawahi kuwa na majibu ya wazi kwa ripoti za uchunguzi. Ukimya wa serikali unasababishwa...
  10. J

    Machinga wa Karume waitaka Serikali iwaachie wajenge soko lao lililoungua, Waziri Bashungwa aunda Tume ya Uchunguzi

    Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume. Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko lao wao wenyewe kwa gharama zao. Source: East Africa tv Maendeleo hayana vyama!
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Uchunguzi huu umenishangaza Sana!

    Kwema Wakuu! Nimefanya uchunguzi mdogo nao ni huu; "Wale wanaoonekana ni wajinga ndio wanawatawala werevu. Wale wanaoonekana waovu ndio waliobarikiwa kimaisha. Wale wanaoonekana wahuni na Malaya ndio wanaoimudu ndoa. Wale wanaoonekana wengi ndio wanaotawaliwa na waliowachache. Wale wenye...
  12. M

    Nape aanzishe haraka uchunguzi wa sakata la uvamizi Clouds Media

    Kama kawaida tunaanzia tulipoishia wakati uke kawaida Nape hua habakizi kiporo; naomba sasa aanzishe uchunguzi wa majambazi waliovamia clouds media na silaha za kivita haraka. Maana ile ingesababisha mauaji ya waandishi wa habari ingekuaje? Katika sakata lile sisi wananchi wala hatukuridhika...
  13. Erythrocyte

    Video: Maoni ya Mzee Kasyupa Lumuli Alipipi kuhusu Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Kwa wasiomfahamu huyu Mzee amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kyela na Naibu Waziri wa Kilimo, wakati wa utawala wa Nyerere, ni Mcha Mungu sana na ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika sana Wilayani Kyela na Mkoa wa Mbeya kwa Ujumla. Hebu chota busara hizi kutoka kwake
  14. Replica

    Tume ya ushindani kuchunguza udhamini wa GSM ligi kuu

    Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC) imesema imepokea malalamiko kutoka kwa wadau wa mpira wakiitaka kuchunguza udhamini uliofanywa na kampuni ya GSM kwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania kama hautaathiri ushindani wa soka nchini. Wadau hao wamewasilisha malalamiko yao kwa maandishi ndani ya tume hiyo...
  15. S

    Hivi Rais Samia angeamua kuanzisha uchunguzi wa tukio la Lissu kupigwa risasi, sukuma gang wangekuwa na hali gani? Shukurani kamsitiri

    Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake! Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje? Je, si wangelala na...
  16. MakinikiA

    Majibu ya Tume uchunguzi wa moto soko la Kariakoo

    Salama Watanzania wazalendo, hapa nahitaji tujiulize matukio ya moto kwenye masoko ni ya kujirudiarudia kuna maswali je, ni njia ya watu kupiga pesa kwenye ujenzi. Tume iliyoundwa kuchunguza chanzo cha moto imebaki na majibu kimya kwenye makabati hawaoni umuhimu kutoa majibu hayo, inaundwa...
  17. F

    Hoja ya Nape Kuhusu Uchunguzi wa Akaunti ya Deni la Taifa

    Hoja ya Mhe. Nape (MB) Bungeni kuhusu kukaguliwa akaunti ya deni la taifa sina shida na hoja na anazo haki zote kwa mujibu wa Katiba, sheria na kanuni za Bunge, isipokuwa nachelea kuamini kwamba uzito wa hoja hii unaweza kutambuka wigo wa mhimili wa Bunge na kuleta shida kwenye mhimili wa...
  18. J

    Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

    Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri Nape ameongeza kuwa Serikali ya awamu ya 5 ilikopa mikopo mingi huku asilimia 40 ya mikopo hiyo ikiwa ni ya kibiashara hivyo kuwa na riba...
  19. Analogia Malenga

    Mwangasa: Kila mtu ana haki ya faragha, hadi pale mamlaka za uchunguzi zinapohitaji taarifa

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mtandaoni, Joshua Mwangasa amesema kila mtu ana faragha ya Mawasiliano hadi pale yatakapohitajika kwa ajili ya suala la uchunguzi. Chombo cha Uchunguzi hutakiwa kuandika barua kumuomba anayemiliki taarifa kama kampuni ya mawasiliano kupewa taarifa hizo. Katika...
  20. kyagata

    Ex wako anapokuwekea FBI wakuchunguze, anakua na maana gani?

    Habari wapendwa? Mfano, wewe na aliyekuwa mpenzi wako mmeachana, lakini cha ajabu huyo ex wako anakuwekea mashushushu(FBI) wakufuatilie nyendo zako, inakua na maana gani hii wakuu?
Back
Top Bottom