Ndugu jama na marafik nipo mbele yenu kuomba Kaz ya udereva
Nafanya kazi ya udereva
-gar ya nyumbani
-gar ya tasisi yoyote
-gar ya tx mtandao Uber bolt
Nina uzofu wa mwaka Moja na nusu sasa
Naomba ushirikiano wenu kwenye kulifanikisha hili
Myself napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa platform ya YOUTUBE maana halisi ya Elimu na Burudani.
Kupitia YouTube kuna skills nyingi nimejifunza probably direct ama indirect zimeweza kuwa na impact kwenye maisha yangu binafsi.
Sina maana ku underestimate vyuo vya udereva ila ukiwa...
Habari wana JF
Hongereni kwa kazi ya kujenga taifa
Anatafutwa dereva mwenye leseni ya class C yoyote , kazi yake itakuwa itakuwa ni kuendesha basi la shule na majukumu mengine atakayopangiwa na mwajiri wake
Vitu vinavyoitajika
1. Leseni daraja C
2. Elimu ya kidato cha nne na kuendelea
3...
Habari za muda huu
Ndugu zangu naitaji msada wenu wa gar la kufanyia Kazi bolt Uber Nina uzoefu wa mwaka Moja Kwa sasa Niko tayari hata kuendesha gari binasfii Niko tayari naomba ushirikiano wenu
Kwa mawasiliano
0658673259
0658673259
Wana jamnvi, nina mdogo wangu yupo Dodoma anahitaji kazi ya coster special hire, ana leseni umri wake 26.
Naomba msaada ili apate kazi hiyo. Atakaye fanikisha nikapata hiyo naahidi kumpa zawadi. Msaada jamani
Katika kudhibiti ajali za barabara Jeshi la polisi mkoa wa Tanga limewafungia leseni za udereva madereva 15 Kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani.
Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga Almachius Mchunguzi wakati akiongea na waandishi wa habari ambapo alisema kuwa jumla ya...
Nina uzoefu wa miaka 8 nimeendesha katika nchi tatu ikiwemo rwanda, kenya,pamoja na south Afrika
Nina mepitia veta na nina cheti, nina leseni class E, C, B,D
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote kwa malipo yoyote sina tamaa
Gari ambazo nazimudu pamoja na scania,schman, howo,faw, na zingine...
MBUNGE RUHORO AKABIDHI VYETI VYA MAFUNZO YA UDEREVA KWA VIONGOZI WA CCM ZAIDI YA 150
Ngara; 2/12/2024
Kufuatia kukamirika kwa mafunzo ya Udereva yaliyo tolewa na Chuo cha Lake Zone Driving College kwa Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Ngazi za Kata Wilayani Ngara Chini ya Uratibu wa CCM mkoa...
Habari wanajamvi.
Nilikuwa nauliza utaratibu ukoje pamoja na gharama za Kulipia, Viambatana vya kuambatanisha, Ikiwa Una leseni ya udereva ambayo ukomo wake ni 2027 na imepotea.
Habari waungwana,
Mimi nilisoma udereva katika chuo kimoja cha veta cha serikali huku kaskazini mwaka 2018 na kupewa leseni Class D,
Sasa nina taka kwenda kusomea tena kwa ajili ya kupata leseni Class C, sasa nilikua nimepata fununu kua vyuo vya veta vya serikali havitoi Class C mpaka NIT...
Habari nina kijana (wa kiume) anatafuta kazi ya udereva,
Kumuendesha mtu,
Kiongozi,
Gari la shule, taasisi, kampuni n.k
Kwa aliye na nafasi ya kazi please!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,ninaomba kazi ya udereva,mkoa wa Ruvuma kwenye mashirika binafsi.Nina vigezo na uzoefu wa kazi wa miaka mitano, nawasilisha nakala hii kwenu kwaajili ya kupata fursa,Asante na Mungu awabariki.
Kwema ndgu zangu...
Ni ndgu yenu Mmanyanigho hapa, nilipost thread ya kuja dar
Sasa Dar nilifika salama, nimehustle mpaka nimepanga chumba maeneo ya uswahilini kidogo ila naishi kibingwa.
Hii thread ya leo naomba kujuzwa vyuo vinavyotoa mafunzo ya udereva hasa evening classes maana nna...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana umri miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya ubungo,natafuta KAZI ya udereva boda boda iwe ya mkataba au daywaka ,namba 0785598033, ila leseni sina japo ni mzoefu na natarajia nitakata mwezi ujao
Story of change yangu ni;
"Nashauri serikali ifikirie kuwa na utaratibu wa kuwa na online system ambayo Traffic anaweza kuona leseni ya dereva, hata dereva mwenyewe awe anaweza kuona leseni yake katika huo mfumo na hata akihitaji kurenew lesen yake online apate uwezo wa kufanya hvo kwa...
Habar za muda huu
Asalem aleykum,
Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber.
Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi.
Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.