udereva

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ghost MVP

    Magari ya Wanafunzi (SCHOOL BUS) yamekuwa na udereva mbovu na uvunjaji wa Sheria

    Hizi gari madereva wanajiona kama Viwete Kuwa wanahitaji Special Care, mara kadhaa nimeshuhudia Gari la shule likivuka taa za barabarani bila hata kuchukua tahadhar na ilikuwa inawaka Red. Madareva wamekuwa rafu sana wa wanafunzi hawa wadogo, magari yanakimbizwa mnoo, hawachukui tahadhari, na...
  2. mercphason

    Kwenye Usaili wa Udereva wa Serikali mambo hani huzingatiwa?

    Wakuu, naomba kujuzwa kwa anaejua usaili wa dereva wa serikali uwa mambi gani muhimu yanaulizwa na kuzingatiwa. Asante.
  3. Roving Journalist

    Polisi na IHET waja na mifumo kudhibiti shule za udereva zisizokuwa na sifa nchini

    Katika kuhakikisha mifumo inaondoa changamoto na malalamiko kwa wananchi hususani katika shule za udereva ambazo hazijasajiliwa, Jeshi la Polisi na Taasisi ya Mitambo Mizito na Teknolojia IHET wamekuja na mfumo uitwao (DSRS) Driving School Registration System ambao Utazitambua shule ambazo...
  4. Yofav

    Msaada: Nahitaji kujifunza udereva na kupata cheti pamoja na leseni kwa ujumla

    Habari wakuu, Kama heading inavyoeleza hapo juu, Naomba kwa mwenye experience na masuala haya ya mafuzo ya udereva yanavyokwenda anishauri ni Driving school gani niende ili kupata elimu ya mafunzo ya kuendesha Magari japo haya mdogo kwanza lakini muhimu nijipatie cheti... Ningeomba kujua pia...
  5. figganigga

    Madereva wa Dar, Likizo Msijiendeshe kwenda Mikoani mkidhani mumeiva kwa Udereva chondechonde!

    Salaam Wakuu, Naomba nikushauri wewe Dereva unaye endesha Gari Dar Es Salaam, Usije ukahisi umeiva kwa Udereva ukataka ujiendeshe kwenda Mkoani kula Sikukuu. Ni kweli Mungu amejalia umepata hilo Gari, lakini angalia lisigeuke Kaburi lako. Kwa barabara za Mikoani wewe ni Learner tu ukatae...
  6. Mr passion

    Natafuta kazi ya udereva

    Habari, Mimi ni kijana umri miaka 27 mkazi wa Dar es Salaam, natafuta ajira ya udereva wa class A2,D Kwa magari madogo ya biashara ama binafsi. Tupeane ajira ndugu zangu kuukimbia umaskini.
  7. dyuteromaikota

    Mamlaka ya kutoa leseni za udereva angalieni watu mnaowapa hizo leseni

    Unakuta mtu yupo yupo tu lakini basics za barabarani hajui hata kidogo. Mtu ameblock barabara na wala haoni shida. Mtu amekukuta umepaki sehemu anakuja kukublock ushindwe kutoka mpaka umuite! Mbaya zaidi wakati anapark kulikuwa na nafasi kubwa tu ya kumfanya asikublock. Inaudhi sana.
  8. J

    Nina TIN Number ambayo sijawahi kuitumia kwa biashara yoyote zaidi ya kupatia leseni ya udereva, Je Tax Clearance nitadaiwa?

    Kama heading inavyojieleza, Tangu nipate TIN Number, Haijawahi kutumika kwa biashara isipokuwa tu ilitumika kipindi nahitaji leseni ya udereva, Je TIN hiyo naweza kuitumia kufungulia biashara sasa? Je katika kupata Tax Clearance kutakuwa na complications zozote? Nawasilisha.
  9. Mahrez

    Dereva na udereva

    Natumai mko sawa kiafya Lengo la kuanzisha uzi huu ni kupeana mbinu {njia} tofauti za udereva kama kusomea udereva kutafuta leseni kurenew leseni na ajira za ndani na njee ya nchi na kadhalika
  10. P

    Nafasi za kazi ya udereva wa pikipiki (2)

    VIGEZO 1. Uzeofu wa miaka 1-5, Ajue aina zote za pikipiki. 2. Cheti cha ujuzi. 3. Leseni ya udereva. muhimu kuzingatia 4. Awe mwepesi kwenye mawasiliano. 5. Umri usiopungua miaka 25 -35 6. Wadhamini wanatakiwa watatu. ZINGATIA Tafadhali wasilisha barua ya maombi ya kazi na nyaraka ya...
  11. Black fighter

    Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo, security na house work

    Nina umri wa miaka 20 mkazi wa Dar es Salaam ninatafuta kazi kati ya hizo tajwa hapo juu na uzoefu wa kuendesha magari wa miaka 2 pia nakazi za nyumbani. Elimu yangu ni form four level pia na driving certificate ya magari madogo
  12. fungi06

    Yyuo vya udereva vilivyofungiwa Tanzania

    Napenda kutanguliza juhudi ya baadhi ya platforms zinazofanya vizuri kutufikishia wanajamii taarifa ambazo ni za muhimu maskioni kwetu... Nimekua nikifwatilia kwa siku chache sababu zinazo pelekea kuongezeka kwa ajali Tanzani, kumbe kunaanzia mbali sana. Moja kati ya vyanzo vinavyosababisha...
  13. samwel william

    SoC03 Vikwazo kupata Leseni ya Udereva hasa kwa Madaraja ya Class C na E

    Habar wapendwaa, leo nataka nishare na nyie changamoto iliyopo kwa sasa ukitaka kupata leseni ya udereva hasa kwa class C na E, nipasua kichwaaaa. Mimi ni dereva, leseni yangu iliisha muda nilikua nataka kuongeza mdaraja nipate C na hapa nimesoma veta course ya PSV ila balaa mfumo waliouweka...
  14. heartbeats

    Msaada wa kazi ya udereva wana JF

    Wakuuuu kwa anayeweza kutoa msaada au connection ya kazi ya udereva. Namwombea baba yangu. Ana leseni class D, E, G ni mzoefu wa magari miaka mingi. Mwenye connection au maelekezo naomba msaada nimtupie mzee taulo, shukrani.
  15. King Rabbit

    Natafuta kazi Udereva magari Makubwa/Madogo

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,nimekuwa nikijaribu kutafuta kazi ya udereva kwa muda mrefu bila mafanikio mpaka nafirikia kwenda kusoma tena operator ili kuongeza wigo wangu katika soko la ajira. Nimejaribu kuandika barua tofauti katika ofisi tofauti kuomba nafasi ya kujitolea lakini...
  16. Roving Journalist

    Mbeya: Polisi waandaa mafunzo maalum kwa madereva wenye leseni lakini hawakupita vyuo vya udereva na wasio na leseni

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga akiwa katika Stendi ya Mabasi Kabwe Jijini Mbeya, amezindua wiki ya nenda kwa usalama barabarani Kimkoa kwa kufanya ukaguzi wa vyombo vya moto, magari, pikipiki na bajaji pamoja na kubandika Stika za nenda kwa usalama barabarani. Akizindua...
  17. jaytravo

    Natafuta kazi ya udereva, nina uzoefu wa miaka miwili

    Mimi ni dereva natafuta kazi ya udereva. Nipo Dar Es Salaam, Kijichi Leseni Yangu ni Class C1,E,D. Nina Uzoefu Wa Miaka Miwili Cv (1)Elimu Form 4 cheti (2)Cheti Cha Udereva Umri wangu miaka 26 0756912507
  18. Samatime Magari

    Je, umesikia habari za Uhakiki wa Leseni na Cheti Uliposomea Driving kwa Madereva ?

    Je unajua kwamba kwa sasa ukitaka kurenew leseni ni mpaka uwe na cheti cha udereva, Yani cheti cha uliposomea udereva, sasa kama leseni ilikufata nyumbani jiandae. Sasa naweza jiuliza hii issue imetokea wapi, iko hivi.. . Duru zinasema kuna mwamba mmoja maarufu kwenye ndondi alikua anapiga...
  19. BigTall

    Jeshi la Polisi Mbeya lawataka Bodaboda kushiriki mafunzo ya udereva

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amewataka madereva Bodaboda wa Jijini Mbeya kushiriki mafunzo ya udereva katika vyuo vilivyosajili na kutambulika kisheria na kuhitimu ili waweze kupata leseni ya udereva. Ameyasema hayo Aprili 03, 2023 katika kikao kazi cha uongozi wa...
  20. JanguKamaJangu

    Naibu Waziri: Madereva hatarishi wafutiwe leseni za udereva

    Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini ametoa maelekezo hayo kwa Makamanda wa Mikoa kuwafutia na kuwanyang'anya leseni madereva hatarishi ambao wamekuwa hawafuatia na kuzingatia sheria za usalama barabarani licha ya Elimu ya mara kwa mara ambayo imekuwa ikitolewa na Jeshi la Polisi...
Back
Top Bottom