Habari za muda huu ndugu zangu,
Kwa majina naitwa James Aloyce Kimaka nina umri wa miaka 24, ninaishi Dar-es-Salaam. Ninatafuta nafasi ya kazi ya udereva kwenye shirika kampuni au mtu binafsi.
Nina leseni yenye madaraja A, A2, D, C1, C2, C3, E. Nina uzoefu wa kutosha katika fani hii na pia...