1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate
2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu
Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
Kagame anajua kuna beef la South Africa na USA kwasababu ya BRICS. Sasa kajioendekeza kwa Marco Rubio ambaye ni kama waziri wa mambo ya nje wa USA. Yaani migogoro yetu wanajenshi wetu wanakufa mpaka leo tunasubiria wazungu wazuie sisi kuuwana. Kijinga zaidi silaha tuna nunua kwao.! Lakini kagame...
Unaweza kuziorodhesha dosari zao nyingi tu,lakini mwanamke ndio nguzo ya familia na dunia nzima.Ndio wanaleta furaha,wanapamba nyumba,wanazaa na kulea watoto,ndio nguzo ya kiuchumi ya familia.Tuwape maua yao
Wakati tukiinyoshea Yanga kidole na kuituhumu kuwa kiwango kimeshuka basi, tusiisahau Simba pia. Tunajua Simba inaonekana kwa sababu Yanga anafanya vibaya. Simba inapata matokeo ambayo ni mpaka mtu ashike roho hadi mpira umalizike ndio aiachie. Ukiondoa mechi za ligi kuu.
Kwa kundi la CC...
Wakati Tundu Lisu anatangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CDM taifa, muda mchache baadae Zitto Kabwe kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, hasa ukurasa wake kwenye mtandao wa X (zamani Twitter) ameonesha kufurahishwa siyo na kitendo cha Lisu kugombea, Bali kwamba kuna...
Utawala wa bashar al assad umeanguka
Utawala wa assad ungetakiwa uanguke miaka zaidi ya 10 iliyopita sema kilichokua kinamsaidia ni msaada wa russia na iran ulimfanya kuweza kudumu kwa mda wote huo
Syria wengi ni wa-sunni na ndo wanaounda vikundi vingi vya waasi hata hawa waliochukua nchi ni...
Wanajamvi salaams
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba kujua ubora na udhaifu wa TV za Hisense ninawaza nikanunue.
Nawakaribisha pia kwa ushauri wa TV bora
Natanguliza shukrani
Hakikisha unakuwa na mtu wa udhaifu wako yaani kuna raha nikisema kuna raha niamini kuna raha jamani. Oana na wa aina yako
Ukimuwaza unapata hisia, huchoki kumtazama, unatembea naye njiani kwa kujiamini. Hutopenda ajihisi mpweke au umtese kihisia
Ndugu yangu usikubali kuambatana na mtu asiye...
mwaka 2019 wagombea wengi wa CHADEMA walienguliwa kwa sababu ya mapungufu makubwa kwenye ujazaji wa fomu za uteuzi. Mwaka 2024 CHADEMA wamejifunza somo sasa viongozi wote wanawasaidia kujaza fomu ili lisiwapte la 2019. Ni jambo jema kukiri makosa kwa vitendo
FRV. Gaspar E. Temba...
Nimeisikiliza mara mbilimbili hii Clip, imenifikirisha Sana.
Imenifikirisha kwa kuwa hivi karibuni aliyekuwa Rais wa Iran, Mahmoud Ahmedinejad, alisema kuwa, kuna wakati walianzisha kitengo Cha kuipeleleza Israel, lakini mwisho wa siku wakaja gundua kuwa kiongozi wa kitengo hicho ni mtu wa...
Katika shindano la "stories of change" ambalo lilikuwa likilenga maboresho ya msingi yanayopaswa kufanyika ndani ya taifa ili kuipata Tanzania tuitakayo katika nyanja mbali mbali ikiwemo masuala ya sheria.
Niliezea wazi udhaifu wa sheria zetu za uchaguzi kwamba zipo kama mapambo na Haziwezi...
Ningependa kushare na nyinyi kile ambacho nimebaini, ingawa siyo mhusika wala msimamizi/mwandikishaji.
Majuzi, tarehe 5, nilikwenda Katoro kwenye kata yangu na kuamua kubadilisha kadi yangu ya mpiga kura ili kurekebisha taarifa, saini, na picha. Nilipofika kwenye kata moja, nilipanga mstari na...
Wazungu pamoja na kuwabagua na kuwanyanyapaa watu weusi kwasababu ya rangi ya ngozi yao! Sasa hivi waangalie walivyojichora "tattoo" na miili yao kuwa myeusi kama mkaa! Ebu tupia hapa picha inayoonyesha jinsi wazungu walivyoharibu miili yao kwa tattoo
1 Wakorintho 1:25
[25]Kwa sababu upumbavu...
Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu. Ukienda pale ikulu Zanzibar hayupo mtu Kama huyo na ukienda kwenye data base ya JWTZ Hilo jina halipo...
egron rweyemamu
jenerali mwamwega
jwtz
kati
mkubwa
mkuu
osward rweyemamu
sakata
serikali
udhaifu
utapeli
utapeli kutumia majina ya viongozi
waziri
waziri mkuu
“Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge. Bunge linatakiwa lisimamie na kuhakikisha kwamba pale penye matatizo, linahakikisha kuwa hatua zinachukuliwa. Sasa, sisi kazi yetu ni kutoa ripoti tu,” Professor Assad aliyekuwa kuwa CAG
Wakati...
Spika anasema kwa mujibu wa kanuni ni kuwa mbunge akimtuhumu mbunge mwingine ni lazima siku hiyo hiyo au nyingine awasilishe vielelezo vyake kwa spika na spika atapelekea kwa kamati ya maadili ambayo spika ataichaigua yeye na kuipenda kama sheria na kanuni za bunge zilivyompa mamlaka spika...
Msimtukane Mbowe
Mzee Mbowe ameifanyia makubwa chadema
Mbowe anamadhaifu mengi tu ila karba yake uko kwenu chadema sioni kiongozi anayemkaribia Mbowe hata nusu.
Wengi wanalilia uenyekiti chadema lkn wakipewa uenyekiti chadema haichukui mwaka inasambaratika
Hamuoni zito alilia uenyekiti wa...
Kuna wakati viongozi wa CCM hujaribu kuwatukana watanzania matusi ya rejareja
Ni nani atakayeamini hiki wasemacho kina Kinana?
Jambo la mapato kuongezeka, ni kweli linaendana na uhalisia?
Mimi nasema hivi, halina uhalisia kwa sababu nyingi tu,
Moja ya sababu ni pamoja na kuwepo sababu za...
Nimeona sasa baada ya mafuriko (na si mafuriko bali "maji kujaa ktk Barabara na majengo yaliyo kando") baadhi ya watu wameona kuwa hilo ndilo jibu la mafuriko ya Rufiji.
Ukweli ni kwamba mafuriko ya Rufiji kamwe hayawezi kuwa sawa na mengine kwa sababu,
1. Ukubwa wa mafuriko na eneo kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.