Kumeibuka mada na mijadala mingi hapa JF na mitandao ya kijamii kutoka miongoni na wafuasi wa CCM inayokosoa, kulaani au kulalamikia mwenendo na misimamo ya utendaji wa Rais Samia. Zaidi kinachoendelea kwenye mijadala hii ni kumtaka Rais Samia “avae mabuti” na kupita njia za mtangulizi wake...
Serikali ina ahirisha match ya Simba na Yanga eti sababu Mwinyi anazindua kitabu. Huu ni wendawazimu.
Anayetaka kuhudhuria Uzinduzi wa Mwinyi si aende na anayetaka kwenda angalia mpira si aende?
Huu ndo udhaifu ambao tunaukataa miaka yote. Kuchanganya mambo binafsi ya Serikali na Wananchi...
Habari wana JF[emoji1666]. Leo nimekuja nasula la kisaikolojia ambalo linahusu namna wanawake wanavyoathiri saikolojia ya wanaume ili kuwafanya watumwa...
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na...
Kuna msemo unasema kiendacho kinazunguka hurudi kinazunguka.
Wabunge takribani Asilimia 95 walipatikana kwa kauli na Maamuzi ya Hayati Dkt. Magufuli wakati akiwa mwenyekiti na katibu wake Dkt. Bashiru (Rejea mchakato baada ya Kura za maoni) Kawaiyo jamaa hao wataendelea kulihusudu jina la...
Wakichunguza kesi walizoelekezwa na wanasiasa badala wafuate mfumo wakisheria wanawapelekea Kwanza wanasiasa kuuliza kama wachukue hatua gani?
Nchi nyingine uchunguzi ukikamilika unapata taarifa kamili kupitia vyombo vya habari na hatua zakuchukua. Lakini pia hakuna siku wananchi wanyonge...
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema kwa mujibu wa nyaraka za chama hicho tawala, kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu.
Nape ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 15, 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya waziri mkuu...
Ndugu zangu badala ya kutoa ushauri naomba mniruhusu nimhukumu Mama Samia kwa hotuba zake na teuzi zake japo ni mapema saana kufanya hivyo. Ameanza vizuri kwa ujumla lakini inabidi ajue mapema uimara wake na udhaifu wake:
Uimara wake (strengths):
1. Alimtendea haki sana JPM wakati wa msiba...
Wakuu habari.
Kuna huu msemo kua hakuna aliyekamilika chini ya jua. Hivyo kila mtu ana madhaifu yake, unaweza kua unaujua udhaifu wako au huujui lakini bado utakua na mapungufu flani kadha wa kadha.
Mimi udhaifu wangu mkubwa ni u laissez faire na kua too gentleman. Mimi hua sio mtu wa kutake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.